Israel Inapiga Bila Kuchoka Lebanon, Iran ni Vilio TU Na Kubweka

Israel inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi.

Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation

Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa kushanmbulia Israel, lakini ulikua mkwara mbuzi, Israeli ikaendelea kumwaga moto bila majibu yoyote.

Sasa hivi wanasema watasitisha negotiation, wakati mwanzo walisema nao wataishambulia Israel . 🤣🤣

Wajaribu kurusha hata kijiko ndani ya Israel waone Tehran itavyowaka🤣
Au warushe hata sindano tu waone🤣🤣

Endeleeni kucheka na Netanyahu mkifikiri ana utani na nyie, muulizeni Ayatollah khamenei na mwenzake Larijani🤣

Cc; Adiosamigo
mdogoee
6 Pack
Ritz
zitto junior
Echolima1
Khaibar
100 others
View attachment 3611148
Natamani maislam yote yafukuzwe Ulaya na America,
Kuna kituko kimoja, kinashangaza, mabinti wa kiislam wenye asili ya Syria na Somali, lakini uraia wa Canada, walienda Syria kuolewa na magaidi ya ISIS, sasa mkristo alipoyaua ma ISIS hawa mabinti walikamatwa, wakawekwa,, kwenye kambi kule Syria, nchi ya kiarab, kiislam, sasa Hao mabinti eti wanalia wanasema wanataka warudi kwao Ulaya, Canada, Australia!
Wazungu wanasema blood facken, mlienda wenyewe kuwa wake wa magaidi, mbaki huko huko! Shenz kabisa
 
lakini haijawahi kuangusha ndege hata moja ya Israel
Kwahiyo wakipiga targets unasifia Israel, ila zikiangushwa unadai ni za USA pekee. Maana yake USA ndio inatumika zaidi vitani Israel wanategea tu kwa mbali ndio maana hata losses kubwa kapata USA maana ndio alikuja wazi wazi sio Israel anasubiri US ishambulie yeye anakuja nyuma na kukimbia.
Iran ikabakia kwenye hadithi za ajabu kuwa eti Israel inatumia uchawi kuwaangamiza viongozi na makamanda wa Iran!!
Unaweza weka source ya taarifa yako? Inakuaje mtu makini kama wewe unaamini taarifa feki ambazo haziko verified?
Hata mwakajana Israel iliishambulia Iran bila ya usaidizi wa USA, na ikawamaliza makamanda wengi wa Iran.
Unapotosha mfano refuelling planes walipewa na USA, haya B2 bombers zilizolipuwa Fordo na Natanz zilikua za USA, pia Air defense za US zilitumika kuintercept makombora ya Iran yaliyokua yanaelekezwa Israel. Sasa unasemaje USA haikuhusika? Kwanini mnapotosha?
Trump hakuwahi kutamka kuwa eti kwenye vita hii bila msaada wa USA, Israel ingemalizwa na Iran.
Usipindishe, hat JD vance kasema pia kuwa bila silaha na nguvu ya USA hao Israel wasingeweza kupigana na Iran na video zipo kibao tu YouTube. Unakataa ukweli ulio wazi
 
Siku ile Iran ilipoishambulia Israel kisa magaidi wa Hezbollah Israel ililipiza kisasi kwa kushambulia na kuharibu vibaya viwanda vya silaha vya Iran na hiyo ndio inaifanya Iran isite kuishambulia tena Israel.
 
Natamani maislam yote yafukuzwe Ulaya na America,
Kuna kituko kimoja, kinashangaza, mabinti wa kiislam wenye asili ya Syria na Somali, lakini uraia wa Canada, walienda Syria kuolewa na magaidi ya ISIS, sasa mkristo alipoyaua ma ISIS hawa mabinti walikamatwa, wakawekwa,, kwenye kambi kule Syria, nchi ya kiarab, kiislam, sasa Hao mabinti eti wanalia wanasema wanataka warudi kwao Ulaya, Canada, Australia!
Wazungu wanasema blood facken, mlienda wenyewe kuwa wake wa magaidi, mbaki huko huko! Shenz kabisa
Acha uongo dogo, ni mkristo gani alimpiga ISIS? Hivi unajua Iran ndio ilimuondoa ISIS Iraq na Syria huku wakurdi kupitia SDF/YPG wakipigana na ISIS.
Ila wakristo wa USA na wayahudi wali support ISIS na hata Rais wa sasa Al Sharaa kawekwa na Trump na ni mwenyekiti wa Al Qaeda hapo Syria.

So kama Isis ni magaidi basi huyo USA ndio mfadhili ugaidi
 
Siku ile Iran ilipoishambulia Israel kisa magaidi wa Hezbollah Israel ililipiza kisasi kwa kushambulia na kuharibu vibaya viwanda vya silaha vya Iran na hiyo ndio inaifanya Iran isite kuishambulia tena Israel.
Pona ya Israel ipo mbali kijiografia, ila wangeporomoshewa drones na askari wa miguu nchi ingetekwa ndani ya wiki.
 
Kwahiyo wakipiga targets unasifia Israel, ila zikiangushwa unadai ni za USA pekee. Maana yake USA ndio inatumika zaidi vitani Israel wanategea tu kwa mbali ndio maana hata losses kubwa kapata USA maana ndio alikuja wazi wazi sio Israel anasubiri US ishambulie yeye anakuja nyuma na kukimbia.

Unaweza weka source ya taarifa yako? Inakuaje mtu makini kama wewe unaamini taarifa feki ambazo haziko verified?

Unapotosha mfano refuelling planes walipewa na USA, haya B2 bombers zilizolipuwa Fordo na Natanz zilikua za USA, pia Air defense za US zilitumika kuintercept makombora ya Iran yaliyokua yanaelekezwa Israel. Sasa unasemaje USA haikuhusika? Kwanini mnapotosha?

Usipindishe, hat JD vance kasema pia kuwa bila silaha na nguvu ya USA hao Israel wasingeweza kupigana na Iran na video zipo kibao tu YouTube. Unakataa ukweli ulio wazi
Akili zake anaelewa alichosema Trump kuhusu kutokuwepo kwa Israel kwamba Iran kutumia nuclear.... Trump amemaanisha anguko la taifa la Israel na rasmi inakuwa Palestine, maana Iran huwa hawasemi Israel, huwa wanasema ni Palestine. Israel hawaitambui.

Israel ikishambuliwa miundombinu ya kiraia, ni mwezi tu watu wote watakimbilia US na EU walipotokea.. Israel itazungukwa na kushambuliwa vibaya kabla serikali haijaanguka na viongozi kukimbia nchi... Hivyo Trump anasema kweli..
 
Ulimsikiliza Trump aliposema Israel pasipo US si chochote na wangepigwa wamalizwe... Ameongea kitu ambacho kila siku tunawaambia humu...

Israel si lolote si chochote au nikuwekee video?
Leo Trump amekuwa mtu wa kuaminika kwenu? Maajabu haya, huyu Trump si ndio kila kauli yake kuhusu vita mlikuwa mnaiponda na kusema mzee ni muongo leo amekuwa wa kuaminiwa hadi na nyinyi?
 
Natamani maislam yote yafukuzwe Ulaya na America,
Kuna kituko kimoja, kinashangaza, mabinti wa kiislam wenye asili ya Syria na Somali, lakini uraia wa Canada, walienda Syria kuolewa na magaidi ya ISIS, sasa mkristo alipoyaua ma ISIS hawa mabinti walikamatwa, wakawekwa,, kwenye kambi kule Syria, nchi ya kiarab, kiislam, sasa Hao mabinti eti wanalia wanasema wanataka warudi kwao Ulaya, Canada, Australia!
Wazungu wanasema blood facken, mlienda wenyewe kuwa wake wa magaidi, mbaki huko huko! Shenz kabisa
Masikini kama wewe ndio huwa wanapenda kutamani au kuomba sijui nikipewa millioni 100 nitafanya hivi
Endelea hivyo hivyo ili uendelee kuwa na masikini na kufa haraka kupunguza idadi ya masikini duniani
Na utakufa huku idadi ya waislamu ikiongezeka huko ulaya na US.
 
Leo Trump amekuwa mtu wa kuaminika kwenu? Maajabu haya, huyu Trump si ndio kila kauli yake kuhusu vita mlikuwa mnaiponda na kusema mzee ni muongo leo amekuwa wa kuaminiwa hadi na nyinyi?
Ipo wazi, vya uongo vyote alivyosema Trump hata waliokuwepo serikalini kwake walimpinga, hata wengine kujiuzulu..

Wenye mahaba na Israel humu wengi wao wanadanganyana vijiweni, usistaajabu ukaambiwa Israel ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko US, wana intel bora kuliko US, wana tech kuliko US, US ni mtoto wa Israel... Hizo ndizo story za Pro Israel from jf... Ukisoma unaburudika maana ni kama comedy wanafanya.
 
Yanatia aibu hata kujishtukia hayajistukii
 
Akili zake anaelewa alichosema Trump kuhusu kutokuwepo kwa Israel kwamba Iran kutumia nuclear.... Trump amemaanisha anguko la taifa la Israel na rasmi inakuwa Palestine, maana Iran huwa hawasemi Israel, huwa wanasema ni Palestine. Israel hawaitambui.

Israel ikishambuliwa miundombinu ya kiraia, ni mwezi tu watu wote watakimbilia US na EU walipotokea.. Israel itazungukwa na kushambuliwa vibaya kabla serikali haijaanguka na viongozi kukimbia nchi... Hivyo Trump anasema kweli..
Wewe ni nabii uchwara hamna lolote ujualo, hivi huyu Trump mliyekuwa mnashinda humu mkimponda leo kawa mkweli!!! ama kweli dini ni mbaya kuliko bangi.
 
Pona ya Israel ipo mbali kijiografia, ila wangeporomoshewa drones na askari wa miguu nchi ingetekwa ndani ya wiki.
Hivyo vita vya ardhini Iran hawezi ndio maana anakaa mbali na kurusha makombora angekuwa anavijua angeenda Lebanon kuwasaidia magaidi wa Hezbollah ili "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia" lakini anagwaya anajua nini kitakacho mkuta.
 
Israel inafanya mapigo na mwendo ndani ya Lebanon, Iran waanza kulia Rasmi.

Iran kama ilivyo kawaida Kubweka bweka, safari hii wameacha Kubweka wameanza kutoa milio. Watishia kuvunja negotiation

Iran walianza kusema kuwa Israel akiendelea na mashambulizi Lebanon basi Iran nao Watajibu kwa kushanmbulia Israel, lakini ulikua mkwara mbuzi, Israeli ikaendelea kumwaga moto bila majibu yoyote.

Sasa hivi wanasema watasitisha negotiation, wakati mwanzo walisema nao wataishambulia Israel . 🤣🤣

Wajaribu kurusha hata kijiko ndani ya Israel waone Tehran itavyowaka🤣
Au warushe hata sindano tu waone🤣🤣

Endeleeni kucheka na Netanyahu mkifikiri ana utani na nyie, muulizeni Ayatollah khamenei na mwenzake Larijani🤣

Cc; Adiosamigo
mdogoee
6 Pack
Ritz
zitto junior
Echolima1
Khaibar
100 others
View attachment 3611148
Hii MOU kati ya Marekani na Iran, Israel anapambana kuivunja.
 
Ipo wazi, vya uongo vyote alivyosema Trump hata waliokuwepo serikalini kwake walimpinga, hata wengine kujiuzulu..

Wenye mahaba na Israel humu wengi wao wanadanganyana vijiweni, usistaajabu ukaambiwa Israel ina uwezo mkubwa kijeshi kuliko US, wana intel bora kuliko US, wana tech kuliko US, US ni mtoto wa Israel... Hizo ndizo story za Pro Israel from jf... Ukisoma unaburudika maana ni kama comedy wanafanya.
Trump soma alichoandika jana, au hiki hukubaliani nacho?
20260619_192607.jpg
 
Siku ile Iran ilipoishambulia Israel kisa magaidi wa Hezbollah Israel ililipiza kisasi kwa kushambulia na kuharibu vibaya viwanda vya silaha vya Iran na hiyo ndio inaifanya Iran isite kuishambulia tena Israel.
Ndio maana wameacha vitisho, sasa hivi wanaliwa kuwa Israel wanataka kuvunja negotiation. Vitisho vya kuishambulia Israel basi Tena🤣🤣🤣
 
Leo Israel kakubali hashanbulii tena wewe upo dunia ipi kuanzia mdaa huu hawezi shambulia tena baada ya kusikia Iran wapo serious watashambulia Israel

Afu navyo sikia pia kipigo cha Hezbullah kimewafanya wakubali kusimamisha vita tena vita imesimama kuanzia saaa 4PM Time ya Lebanon

View: https://youtu.be/0vlwkNH-6Bs?si=5ehdbRu0riZCls5Y

Nilikuambia Israel itaendelea kushambulia ukabisha, ausubi hii Israel inaendelea kumwaga moto Lebanon na Gaza🤣🤣
Kwa hiyo tusuhiri Iran wajibu? Huamini kuwa Iran ni wabwekaji TU?
Screenshot_20260620-134444.png
 
Nilikuambia Israel itaendelea kushambulia ukabisha, ausubi hii Israel inaendelea kumwaga moto Lebanon na Gaza🤣🤣
Kwa hiyo tusuhiri Iran wajibu? Huamini kuwa Iran ni wabwekaji TU?
View attachment 3611655
Sawa nakubaliana na wewe Iran hapo karegeza kamba.lakini subiri mda utaongea lakini pia usisahau Hezbullah na yeye anashambulia North Isreal ni balaa na huko Lebanon anawamaliza askari wa Israel
 
Pona ya Israel ipo mbali kijiografia, ila wangeporomoshewa drones na askari wa miguu nchi ingetekwa ndani ya wiki.
Hii akili Yako ilishapitwa na wakati, unafikiri hakuna waliowahi kufanya hivyo? Kawaulize kilichowakuta Egypt, Syria, Jordan na Lebanon🤣🤣🤣

Au nikuulize hao Hezbollah kwa nn wasiingie kufanya hivyo? Si wanapatiwa msaada mkubwa na Iran. Makamanda wakubwa Waliokua na hiyo ndoto wanazamishwa haraka haraka kwenda kuzimu. R.I.P Hassan Nasrallah, huyu alishindiliwa mabomu 17 akiwa amejificha chini ya ardhi MITA za kutosha🤣🤣

R.I.P pia kwa Ismail Haniyeh, huyu alifutwa akiwa hapo hapo Tehran🤣

R.I.P kwa Yahya Sinwar, huyu walimfumua ubongo, wakampiga na picha walivyomfumua ubongo🤣🤣

R.I.P kwa Ayatollah khamenei, huyu walimshindilia mabomu mazito 22 wakatawanyisha Kila kiungo chake, Iran wakaapa kulipa kisasi Hadi Leo kimya waliishia kurusha rusha tu missiles🤣🤣

Hao wote walikua na ndoto kama zako
 
Hivyo vita vya ardhini Iran hawezi ndio maana anakaa mbali na kurusha makombora angekuwa anavijua angeenda Lebanon kuwasaidia magaidi wa Hezbollah ili "kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia" lakini anagwaya anajua nini kitakacho mkuta.
Pale Hezbollah Wana Makamanda wao kibao🤣
Iran huyu mbwekani hana lolote, Israel anaingia sebuleni na kumchomoa yoyote anayemtaka
 
Back
Top Bottom