Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza.

🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE

Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa Argamani, captured during Hamas' October 7 attack.

“There is a girl here with a Chinese mother, and I personally ask that you… involve yourself in her case, because her mother is not only pleading for Noa’s life, but also for her own. ” (Noa’s mother is currently battling cancer)

Source: South China Morning Post
===============
🇮🇱🇨🇳 ISRAEL YAWASIHI CHINA KUSAIDIA UTEKAJI BILA MALIPO

Netanyahu ameripotiwa kumtaka Xi kusaidia katika kumwachilia mateka wa Israel Noa Argamani, aliyetekwa wakati wa shambulio la Hamas Oktoba 7.

"Kuna msichana hapa na mama wa Kichina, na ninakuuliza wewe mwenyewe ... ujihusishe katika kesi yake, kwa sababu mama yake sio tu kwamba anasihi maisha ya Noa, lakini pia maisha yake mwenyewe. ” (Mamake Noa kwa sasa anaugua saratani)

Chanzo: South China Morning Post

View: https://x.com/marionawfal/status/1739602601291767954?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Maneno mengi majingambo yq Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza.

🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE

Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa Argamani, captured during Hamas' October 7 attack.

“There is a girl here with a Chinese mother, and I personally ask that you… involve yourself in her case, because her mother is not only pleading for Noa’s life, but also for her own. ” (Noa’s mother is currently battling cancer)

Source: South China Morning Post
===============
🇮🇱🇨🇳 ISRAEL YAWASIHI CHINA KUSAIDIA UTEKAJI BILA MALIPO

Netanyahu ameripotiwa kumtaka Xi kusaidia katika kumwachilia mateka wa Israel Noa Argamani, aliyetekwa wakati wa shambulio la Hamas Oktoba 7.

"Kuna msichana hapa na mama wa Kichina, na ninakuuliza wewe mwenyewe ... ujihusishe katika kesi yake, kwa sababu mama yake sio tu kwamba anasihi maisha ya Noa, lakini pia maisha yake mwenyewe. ” (Mamake Noa kwa sasa anaugua saratani)

Chanzo: South China Morning Post

View: https://x.com/marionawfal/status/1739602601291767954?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Habari njema sana Mashallah kwa hakika Allah huwa ongoza waislam katika kupigania haki
 
Binafsi siyo muumini wa uonevu, dhuluma, mauaji, ukandamizaji, ukatili, utesaji, nk. Natamani sana kuona hii dunia ikiwa ni mahali salama kabisa kwa viumbe hai wote.
Kafiri vipi tena! Mmeisha surrender nini?
 
Mossad wameshindwa kuwa locate hao mateka?

Maana tunaaminishwa mossad hakuna kinachowashinda....
Mosad pamoja na IDF hamna kitu, tulilishwa matango poli, Leo hii tunashuhudia wenyewe namna wava kobazi wasio na kifaru wala Ndege hata moja wanavyomkimbiza puta Israel. Kiukwel sikutarajia kama Hamas wataweza kusimama mpaka Leo. licha yakuzuia vyakula, madawa,maji kuingia Gaza lakini bado Hamasi kakaza.
 
Mossad wameshindwa kuwa locate hao mateka?

Maana tunaaminishwa mossad hakuna kinachowashinda....
Tulilishwa matangopori mengi sana kuhusu Mossad. Walishindwa kumtoa mateka mwanajeshi wao Gillard Shalit kunako 2006 mpaka walipokubaliana na matakwa ya Hamas ya kubadilishana wafungwa kunako 2011. Hamas walikaa nae miaka mitano
 
⚡️BREAKING

Iran has increased its uranium enrichment to 60%, at a rate of around 9 kg per month.

The usual enrichment was only 3 kg per month in previous reports.

Iran has enough enriched uranium for several nuclear bombs…

Hii habari ni msiba kwa Israel.
 
Namna hii lazima Mungu atawapa mitiahani ni misukosuko muda wate hawa magaidi ya Israel.
 
Attachments

  • IMG_8559.jpeg
    IMG_8559.jpeg
    69.9 KB · Views: 6
Gazeti la Uhispania la El Mundo:

Israel inatumia wapiganaji wa kigeni katika mzozo wa Gaza, ambapo inalipa euro 3,900
 
Attachments

  • IMG_8560.jpeg
    IMG_8560.jpeg
    38.4 KB · Views: 5
Wanaukumbi.

Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza.

🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE

Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa Argamani, captured during Hamas' October 7 attack.

“There is a girl here with a Chinese mother, and I personally ask that you… involve yourself in her case, because her mother is not only pleading for Noa’s life, but also for her own. ” (Noa’s mother is currently battling cancer)

Source: South China Morning Post
===============
🇮🇱🇨🇳 ISRAEL YAWASIHI CHINA KUSAIDIA UTEKAJI BILA MALIPO

Netanyahu ameripotiwa kumtaka Xi kusaidia katika kumwachilia mateka wa Israel Noa Argamani, aliyetekwa wakati wa shambulio la Hamas Oktoba 7.

"Kuna msichana hapa na mama wa Kichina, na ninakuuliza wewe mwenyewe ... ujihusishe katika kesi yake, kwa sababu mama yake sio tu kwamba anasihi maisha ya Noa, lakini pia maisha yake mwenyewe. ” (Mamake Noa kwa sasa anaugua saratani)

Chanzo: South China Morning Post

View: https://x.com/marionawfal/status/1739602601291767954?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mkiwa masjid ndo mnadanganyana hvyo pumbafuuu
 
Mkuu huyo mshikaji unamuonea pamoja na ukatoliki wake hajawahi kushangilia wala kushabikia kinacho fanywa na Israel dhidi ya wapalestina.
Sawa nimekuelewa bro, hawa watu hawaaminiki wengi wanakuwa wanafiki huku wakishangilia Waislamu kuuwawa
 
Sawa nimekuelewa bro, hawa watu hawaaminiki wengi wanakuwa wanafiki huku wakishangilia Waislamu.
Wanao saport kinacho fanywa na Israel kisa sijui taifa teule wengi wao ni wakristo kutoka barani Africa na wengi wao ni warokole, wafuasi wa vijikanisa uchwara na wafuasi wa manabii na mitume kama akina mwamposa na gwajima.

Lakini kuna mamilioni ya wakristo wanao jielewa duniani wanaandamana kila siku kupinga kinacho fanywa na Israel.
Hata wakristo wa Bethirehem jana hawakusherekea kirsimas kama inshara ya kuwaunga mkono wapalestina.
Mfano ukienda America ya kusini nchi zote raia wake ni wakatoriki lakini wanawaunga mkono wapalestina kwa asilimia 100 ,ww nenda Brazil,chile, Venezuela,Bolivia ,Cuba, Uruguay,Colombia,Nikaragwa, Panama, wote ni waungaji wakubwa mkono wapalestina na ukitaka kwenda jela thubutu kuwadhihaki wapalestina kwa kuwaita sijui magaidi ukiwa ndani ya nchi hizo.
Nchi pekee inayo iunga mkono Israel kwenye bara hilo ni Paraguay na Mexico ,Argentina huwa unabadilika kutokana na utawala uliopo.
 
Back
Top Bottom