Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

Hamna kitu zamani tuliaminishwa upuuzi mwingi sana kuhusu hawa mazayuni media zote zilikuwa zao.
Screenshot_20231226-191330.png
 
Wakristo wananyanyaswa hata Iraq, Iran, Pakistan, Misri, Indonesia na hata Sudan na kote huko hamna waisraeli.
Leta ushahidi wa wao kunyanyaswa kwenye hizo nchi.
 
Wanaukumbi.

Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza.

🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE

Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa Argamani, captured during Hamas' October 7 attack.

“There is a girl here with a Chinese mother, and I personally ask that you… involve yourself in her case, because her mother is not only pleading for Noa’s life, but also for her own. ” (Noa’s mother is currently battling cancer)

Source: South China Morning Post
===============
🇮🇱🇨🇳 ISRAEL YAWASIHI CHINA KUSAIDIA UTEKAJI BILA MALIPO

Netanyahu ameripotiwa kumtaka Xi kusaidia katika kumwachilia mateka wa Israel Noa Argamani, aliyetekwa wakati wa shambulio la Hamas Oktoba 7.

"Kuna msichana hapa na mama wa Kichina, na ninakuuliza wewe mwenyewe ... ujihusishe katika kesi yake, kwa sababu mama yake sio tu kwamba anasihi maisha ya Noa, lakini pia maisha yake mwenyewe. ” (Mamake Noa kwa sasa anaugua saratani)

Chanzo: South China Morning Post

View: https://x.com/marionawfal/status/1739602601291767954?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

huyo binti amekamatwa mateka ni myahudi aliyezaliwa na mama wa kichina. Israel wanajali sana raia wao.
 
huyo binti amekamatwa mateka ni myahudi aliyezaliwa na mama wa kichina. Israel wanajali sana raia wao.
Maelezo ya nini wakati yanajieleza hizo propaganda mnalishwa nyie msiojielewa wangekuwa wanawajali October 7 wangewashambulia na Apache kisha wanawasingizia Hamas na yale magari yote wanataka wayazike.
 
nchi ndogo kama Israeli, imezungukwa na waislamu ambao ni maadui zao pande zote. Lakini hakuna wa kuinua pua. Wapalestina waliokufa wanafikia kama 21,000 halafu kuna watu wanaamini kuwa yahudi ameshindwa.
 
Maadui wake ni nchi gani tutajie. Yemen tu peke yake anampiga Israel yaani kuuwa watoto na wagonjwa mnamsifia malengo ya vita kashindwa mateka wake leo mwezi wa 3 kashindwa kuwakomboa,
 
nchi ndogo kama Israeli, imezungukwa na waislamu ambao ni maadui zao pande zote. Lakini hakuna wa kuinua pua. Wapalestina waliokufa wanafikia kama 21,000 halafu kuna watu wanaamini kuwa yahudi ameshindwa.
Unashindwa nin kujua nchi zinazowazunguka Israeli, tiari USA ameshaaziweka kati na wao wamekubali mfano Jordan na misri
 
Tofauti ya Israel na panya road ni kuwa, panya road wanatumia mapanga Israel wanatumia ndege na vifaru, lkn kiufanisi hakuna tofauti wote wahuni watupu hakuna cha intelejensia wala mavi ya intelejensia.. Ushujaa wao unaishia kupiga watu misikitini kule west bank, lkn kwenye uwanja wa vita mavi matupu..
 
Wakristo wananyanyaswa hata Iraq, Iran, Pakistan, Misri, Indonesia na hata Sudan na kote huko hamna waisraeli.
Mbona muongo we jamaa???
Mataifa yote ulotaja Yana makanisa na Xmas inasherehekewa.
 
nchi ndogo kama Israeli, imezungukwa na waislamu ambao ni maadui zao pande zote. Lakini hakuna wa kuinua pua. Wapalestina waliokufa wanafikia kama 21,000 halafu kuna watu wanaamini kuwa yahudi ameshindwa.
Lebanon keshaishambulia Israel Mara kibao tu.
 
ona gaidi anafikiri IDF hawamuoni, sasaivi yupo zake huko na mabikira 72.
 
Back
Top Bottom