Mkuu, hii sasa ndiyo huwa tunaiita Tu QuoQuo Fallacy, na kama tutajikita kwenye hii hoja basi ni dhahiri kusema kwamba mfumo mzimo wa utawala wa dunia hauna maana. Dunia yetu imefika pabaya sana na udhaifu kama huu ambao umejionesha kwa mataifa ya Magharibi hasa Marekani na Uingereza unaweza kutumiwa na nchi kama Uchina, Urusi na Iran.
Baada ya hili haitaingia akilini kwa mtu yoyote mwenye akili timamu pale ambapo Marekani atataka kukemea ukorofi unaofanywa na Uchina dhidi ya Taiwan, Urusi dhidi ya Ukraine au Iran dhidi ya Syria. Ushahidi wa hili ulionekana kwenye kikao cha March 19 mwaka huu, ambapo Yang Jiechi aliwakemea Anthony Blinked na Jake Sullivan pale walipozungumzia mabaya ya Uchina.
Aliwaambia kwamba ninyi mna matatizo mengi na mna rekodi mbovu ya haki za binadamu na matatizo mengi ya ndani, hivyo hamna uhalali wowote wa kuweza kutunyooshea sisi vidole. Ifahamike tena kwamba Korea-Kaskazini vituko vyake vyote vile anayewafadhili kiteknolojia na kiuchumi ni Uchina na Urusi. Leo hii wakifanya Kim akifanya vituko halafu tukaja na hoja ya maslahi unadhani inaingia akilini kweli ????
Sheria za Kimataifa (International Law) inategemea sana vitu kama Reciprocity, Consensus, Consent and Good-Faith hivyo kama taifa kubwa kama Marekani ameshindwa kuheshimu sheria za kimataifa anataka nani aheshimu ??? Mauaji yanayofanywa kule ni dhahiri yanaangukia kwenye kipengele cha Uhalifu wa Kivita (War Crimes) lakini Marekani ndiyo amekuwa wa kwanza kuzuia ICC isifanye Uchunguzi wa makosa yanayofanywa na Hamas na IDF kule GAZA. Plato anasema hivi "At his best, man is noblest of all animals. Separated from law and justice he is the worst" .
Sheria zinatungwa ili kututofautisha sisi na wanyama, hivyo tunavyofumbia macho na kufuata zile sera za wakina John Mearsheimer na Henry Kissinger za Realism za kusema mwenye nguvu ndiyo anatawala nadhani tutakuwa tunakosea mno.
Suala jingine ambalo linanipa ukakasi ni jinsi ambavyo watu wameshindwa kuungalia mzizi wa hili tatizo. Wengi wetu tunadhani tatizo limeanza na baada ya makombora kurushwa na Hamas, lakini hili tatizo limekuwepo muda mrefu sana na tokea hata kabla ya Marekani kuzaliwa. Kikubwa ambacho inabidi tukiangalie siyo majengo mangapi yamelipuliwa au watu wangapi wamekufa, lakini tujiulize maswali makubwa kama: Kwanini majengo yanalipuliwa na watu wanauwawa ???
Mzizi wa haya yote ni The Balfour Declaration of 1917, ambao ulitangaza kwamba Dola la Mturuki litavunjwa na Palestina itakuwa ni nchi ambayo watapewa Wayahudi. Mtatizo makubwa hapa ni suala la utaifa wa Palestina (State-Hood) na ulowezi wa makazi (Israel's Illegal Occupation), haya ndiyo mambo ya msingi ambayo inabidi tuyazungumze.
Kwanini Israeli inanyang'anya makazi ya Wapalestina na kuwapa raia wake ??? Kwanini Marekani na wengine wanazuia Palestina isiwe nchi huru itakayokuwa na mipaka yake (Two-States Solution) kama ilivyoazimiwa zamani ??? Haya ya mambo ya Israeli na Hamas kurushiana makombora ni madogo (They are just syndromes and not a disease itself) kuliko Utaifa wa Palestina na Ulowezi.
UDHAIFU MWINGINE WA HII HOJA YENU NI HUU SASA:
Mnasema bwana Nyani Ngabu kashindwa kuangalia picha kubwa lakini nadhani wengi wetu hapa tumeshindwa kuona mbali kwa kushindwa kuangalia nyuma kihistoria. Mchezo ambao unafanywa na Marekani na Uingereza kupitia Israeli (Proxies, Alliance Systems and Appeasement Policy ) ndiyo mchezo ambao ulisababisha vita vya kwanza na vya pili vya dunia dunia na mauaji ya halaiki ya wayahudi kule Auschwitz na Siberia (The Holocaust and Jewish Pogroms).
Kuna mwanahistoria Professor wa Oxford University, ambaye aliishi kipindi cha vita ya pili ya dunia aliandika mwaka 2016 kwamba mazingira yaliyosababisha kutokea kwa vita ya kwanza ya dunia ndiyo yapo kipindi hiki ambacho tunaishi sisi. Tena siku zote vita hutokea pale ambapo mataifa makubwa hayategemei kabisa, kama ambavyo Frantz Fanon aliwahi kusema "World War One was a catastrophic miscalculation of the Capitalist World"
Labda nikikumbushe kwa haraka tu: Vita ya kwanza ya dunia ilisababishwa na Austro-Hungary na siyo Imperial Germany. Tatizo lilikuwa hivihivi, Imperial Germany ilikuwa ndiyo mfadhiri mkubwa wa Austro-Hungary katika kukalia kinyume na kulowea eneo la Serbia. Watu wa eneo lile (Bosnians and Serbs) walivyokuwa wanadai uhuru wao dhidi ya ulowezi wa Austro-Hungary, Imperial Germany alikuwa akitetea kwamba Austro-Hungary ina haki zote za kujilinda.
Baada ya kuona kwamba hawasikizilizwi, Serbians wakaamua kutengeneza mtandao wa kigaidi uitwao UNIFICATION OR DEATH a.k.a THE BLACK HAND ambao ulianza kupambana na dola la Austro-Hungary. Kiuhalisia huu mtandao ulikuwa unapuuzwa tu kwasababu haukuwa na nguvu ya kuweza kufanya lolote dhidi ya taifa kubwa na lenye nguvu la Austro-Hungary ambalo linafadhiliwa na taifa tajiri duniani kwa wakati huu The Imperial Germany.
Lakini wote tunajua nini kilitokea: Kijana mdogo wa miaka 20 tu Gavrilo Princip mwanachama wa The Black Hand, akiwa na hasira alimuua Mwanamfalme wa Austro-Hungary, Franz Ferdinand na mke wake na kusababisha vita ya dunia iliyouwa mamilioni ya watu barani Ulaya. Ujerumani, Uingereza, Ufaransa, Urusi na Marekani ambao walikuwa wanaunga mkono pande mbili tofauti walilazimika kuingia kwenye vita kulinda maslahi yao, lakini tatizo lilikuwa ni dogo tu, uvamizi wa Bosnia-Herzegovina uliofanywa na Austro-Hungary na kufumbiwa macho na mataifa makubwa ya Ulaya.
Imperial Germany alikuwa na nguvu ya kuweza kumwambia Austro-Hungary acha ujinga, lakini yeye akaamua kunyamaza na kumlinda (His First Ally). Akaenda mbali na kuuunga mkono The ULTIMATUM CONDITIONED ON WAR dhidi ya Serbia. Hii ndiyo njia nayoiona Marekani akiiendea.....
Vita ya Pili, ya dunia chanzo kikubwa kilikuwa ni FAILURE OF CHAMBERLAIN'S APPEASEMENT POLICY.
Alianza Hirohito kuvamia Uchina mwaka 1931 na dunia ikanyamaza na kusema ni maslahi tu
Akaiga Mussolini kuvamia Ethiopia mwaka 1935 dunia ikanyamaza na kusema maslahi tu.
Akaiga Hitler na na kuvamia Czechslovakia mwaka 1938, wakasema ni maslahi tu.
AKaiga Urusi na kuvamia nchi ya Finland mwaka 1939, wakasema ni maslahi tu.
Ujinga huu unafanyika hoja kubwa mezani ilikuwa ni hii-hii TU QUOQUO FALLACY, kwamba kama wewe Muingereza unamiliki asilimia 23% ya ardhi ya dunia kama makoloni yako, tena uliyapata kinguvu kwanini utuzuie na sisi tusijipatie makoloni yetu kimaslahi. Hoja hii ukiingalia Mechanically inashawishi sana na inonekana ni hoja ya msingi, lakini imejaa umaamuma mwingi. Ilifikia kipindi Neville Chamberlain alienda kabisa Berlin kumuunga mkono Hitler akiamini kwamba kuna siku yataisha.
Well, he was dead wrong: Hitler wanted more, he wanted Europe, he wanted the World believing that it would be handed to him the same way Czechslovakia, Rhineland and Austria were handed to him. Together with Stalin connived to curve Poland as their own fiefdom, and this was a last-straw thab broke the camel's back.
Kwanini nasema hivi: Historia inatuambia kwamba kama Israeli, Uingereza na Ufaransa ambao wote chumi zao zilikuwa zinafadhiliwa na Marekani, pia ndiyo washirika wakubwa wa Marekani mwaka 1957 waliamua kufanya ujinga nyuma ya mgongo wa Marekani na kuamua kuvamia Misri baada ya Gamal Nasser kutaifisha Mfereji wa Suezi. Unafahamu nini kilitokea ??? Wanahistoria wanasema ile vita ingemuingiza Urusi moja kwa moja na yangetokea makubwa ambapo ingemlazimu na Marekani kuingia.
Uzuri kipindi kile tofauti na kipindi hiki, Marekani ilikuwa ina viongozi wenye akili timamu ambao wengi wao walishuhudia madhara ya vita ya dunia. General Eisenhower na John Foster Dulles walitoa mkwara mzito kwa Uingereza, Ufaransa na Israel kwamba watoke mara moja misri na waondoe kabisa mawazo ya vita dhidi ya Misri. Wazayuni walifyata mkia na walilamika sana lakini mkubwa alishasema na huo ndiyo ukawa mwisho wa vita. Eisenhower angeamua kufanya Appeasement kwa Uingereza, Ufaransa na Israeli basi ingekula kwa Marekani na angevutwa kwenye vita isiyomuhusu kwasababu angewajibika kuwalinda washirika wake.
HOJA YA MWISHO KABISA KUHUSU WAYAHUDI NA WAZAYUNI KUJAA URUSI NA MAREKANI:
Binafsi mimi nadhani hii ni hoja mufilisi kwasababu inadhani Uyahudi na Uzayuni ni kitu kimoja. Historia imetuambia tena na tena kwamba A JEWISH SOCIETY IS NOT MONOLITHIC, wako wayahudi ambao wanaunga mkono wayahudi wenzao wasinyanyaswe lakini siyo Wazayuni. Kuna kipindi Rotschild alihojiwa na redio kubwa ya Israeli akawananga na kuwaambia mambo yanakuwa magumu kwasababu "There are fanatics and bigots in both Palestinian and Israel circles"
Lakini kikubwa na kibaya zaidi ni kwamba mamilioni ya Wayahudi waliouwawa kule Urusi ya Kisovieti waliuwawa na Wayahudi wenzao ambao walikuwa ni Wakomunisti. Mpaka kufika 1934 asilimia 80% ya utawala wa Kisovieti ulikuwa umejaa Wayahudi. Leon Trotsky, Vladmiri Lenin, Lavrentiy Beria, Felix Dzerzhzinsky, Lev Kamenev, Grigory Zinoviev na wengine walioanzisha The Red Terror iliyolenga Wayahudi walikuwa ni Wayahudi.
Trotsky alipiga marufuku kabisa watoto kufundishwa Yiddish na akatengeneza mfumo wa Kijasusi mashuleni kwamba watoto wa Kiyahudi wawe wanatoa taarifa ya kila walichofanya jana yake na wazazi wao majumbani. Ukikutwa unazungumzia sijui CHOSEN PEOPLE or ISRAELI/PALESTINE basi unauwawa bila huruma. Tena usisahau kabisa kwamba waliovujisha siri ya mpango ovu uliopangwa na Wazayuni, Uingerea, Ufaransa na Urusi ya Ramanov dhidi ya Uturuki na Ujerumani kwenye mkataba wa Sykes-Picot (The Sykes-Picot Treaty 1916) ambao ulisema utatengeneza Israel nje ya Palestina walikuwa ni Wayahudi wakina Lenin.
Huu mkataba ulivujishwa na The Pravda ambapo uliwapa hasira sana Wajerumani na ndiyo ulipelekea watu kama Adolf Hitler kuwaita Wayahudi ni wasaliti wa Ujerumani hadi kuamua kuwaua kifo kibaya kama kile. Habari hizi huwezi kuzikuta kwenye mitaala ya vyuo kama Cambridge au Harvard, ila ukisoma sana na kufanya tafiti utapa ukweli.
Ukienda ukaishi Urusi ya leo kuna minong'ono mingi na taarifa za chinichini ambazo Warusi wenyewe wakikuambia utakubaliana nazo kwa sehemu kubwa sana. Inasemekana Joseph Stalin ni Myahudi ambaye jina lake lina mizizi ya Kiyahudi Iosif ambalo yeye binafsi hakupenda sana kulisikia kabisa. Inasemekana Yuri Andropov alikuwa ni Myahudi na kuna babu zake wana majina ya Kiyahudi kabisa. Inasemekana Leonid Brezhnev alikuwa ni Myahudi kabisa. Na ushahidi wa kutosha upo kwamba mama yake Vladmir Putin ni Myahudi na Putin amelelewa na kukulia kwenye jamii ya Kiyahudi kule Urusi. Dymitry Medvedev bila chembe ya Ubishi ni Myahudi kindakindaki......
Ukiangalia leo vizuri hata nyuso za hasa pua za Andropov, Brezhnev, Stalin utakubaliana na kile ambacho wengi wanasema. Ukimaliza muangalie vizuri Serger Lavrov halafu mtafute Dymitry Patrushev ambaye ni mtoto wa Nikolai Patrushev (Former FSB Director) utakubaliana na mimi. Lakini genge la wakina Putin ndiyo lilikuwa la kwanza kuua, kufilisi na kufunga mamia ya Wayahudi ambao walipewa jina baya la Russina Oligarchs.
NB 1: Aliyewapa The Palestinian Liberation Organization (P.L.O) vitabu ya The Protocols of the Learned Elders of Zion ili kusambaza chuki dhidi ya Wayahudi ni Myahudi Yuri Andropov aliyekuwa Mkurugenzi wa KGB. Lakini ukiongeleza hizi habari mbele ya Wayahudi utaambiwa wewe ni Antisemite, lakini kuna Rabbi aliwahi kukiri hadharani kwamba matatizo mengi ya Wayahudi yamesababishwa na Wayahudi wenyewe kuwa vichwa nguvu: Akakiri kwamba mitandao ya upelelezi kama K.G.B, F.S.B, S.V.R, GRU na makundi mengi ya kigaidi yanayotesa dunia yaliasisiwa na wayahudi.
NB 2: Namnukuu Karl Marx (Myahudi) kwenye andiko lake liitwalo "The Jewish Question"
"What is the worldly religion of the Jew? Huckstering. What is his worldly God? Money.…. Money is the jealous god of Israel, in face of which no other god may exist. Money degrades all the gods of man – and turns them into commodities…. The bill of exchange is the real god of the Jew. His god is only an illusory bill of exchange…. The chimerical nationality of the Jew is the nationality of the merchant, of the man of money in general"
NB 3: Henry Kissinger (Myahudi) aliwahi kusema hivi "If Jews in the Soviet Union are put in gas chambers that is not an American problem but a humanitarian problem" Hakuwa anatania kabisa na alimaanisha kwamba Wayahudi wa Urusi wakiwa wanauwawa siyo tatizo ambalo linatakiwa kuikosesha usingizi Marekani.
Hoja ya msingi hapa ni hii: A Jewish Society is not a Monolithic Entity hadi kusema wasikemewe kwasababu jamii za Marekani na Urusi zinatawaliwa na Wayahudi. There is more to Jewishness than Zionism,.....
RAI YANGU:
Sheria na Utu visopwekwa mbele, basi hata wahusika wenyewe waliotengeneza haya mazingira (Marekani, Israel, Uingereza, Urusi, Iran, Hamas, Hezbollah) hawatapona kabisa. Pia sisi tunaoshangilia na kuchagua pande kwenye huu ugomvi kwasababu ya dini au mlengo wa kisiasa bila kuangalia haki ya Mungu na Ukweli nadhani tutakuja kuhukumiwa na kujuta sana huko mbele............
I REST MY CASE MKUU WANGU,................