Israel is committing War Crimes

Israel is committing War Crimes

Missile 1 ya Irone dome ni $50,000 - $80000 na hii ndicho kinachopelekea irone dome kuwa lauched pale tu wanapoona rockets zinaeleka kwenye populated area.

Sasa Hamas wamerusha kombora zaidi ya 3000, na bado wanaendelea kuzirusha, Israel haipo tayari kwa hili, tayari wanapiga majengo mbali mbali kama kuzuia hamas kuendelea kurusha rockets.
 
Mniwie radhi kwa kuweka picha hizi.
 
Kuandika tu kwa usahihi kunakushinda, halafu unathubutu kuniita mjinga?

Ni wazi hujui maana ya ujinga ni nini!

Sina hata haja ya kuvipangua viroja vyako kwa kutumia hoja!
Nimeandika nikiwa naendesha gari kwa hasira tu..
Mpumbavu sababu huna hoja zaidi ya ushabiki kwa waandishi kama wa Aljazeera mnaacha fact mnakimbilia ungese... yaani habari mnaleta as if Israel anapigana yake yake...
 
Missile 1 ya Irone dome ni $50,000 - $80000 na hii ndicho kinachopelekea irone dome kuwa lauched pale tu wanapoona rockets zinaeleka kwenye populated area.

Sasa Hamas wamerusha kombora zaidi ya 3000, na bado wanaendelea kuzirusha, Israel haipo tayari kwa hili, tayari wanapiga majengo mbali mbali kama kuzuia hamas kuendelea kurusha rockets.
Ukisikiliza news kutoka kwa Muwaqwama utaona Israel hawafai... Kuna kitu kinaitwa human shield ndio Hamas wanatumia now maana washachoka so hiyo ni mbinu yao kitambo ilifika wakati wanaweka picha za zamani za watoto waliouwawa kuihadaa dunia.. Israel anapiga popote pake ndani ya gaza as long rocket zimerushiwa eneo hilo... Tizama hata news live barrage za rockets zinaonesha zinarushiwa katikati ya Gaza so unataka Israel akae kimya tu... hao Hamas wamlilie Iran kuwachonganisha alafu msaada wa chakula anatoa Morocco Iran kanuna kama sio yeye analia lia tu huku akiwasifu Hamas kwa hadaa
 
Mniwie radhi kwa kuweka picha hizi.

Picha safi tu hizo... maana zimepigwa na watu wa propaganda so hazina uhalisia kimaanishwaji yaani fix tu kamba... jengo lililobomolewa linawaanika wanafiki waongo wa habari
 
Nimeandika nikiwa naendesha gari kwa hasira tu..
Mpumbavu sababu huna hoja zaidi ya ushabiki kwa waandishi kama wa Aljazeera mnaacha fact mnakimbilia ungese... yaani habari mnaleta as if Israel anapigana yake yake...
Unaendesha gari huku unaandika? GTFOH!

Usilete visingizio. Huna hoja!
 
Ni heri uwe na ujasiri ulio na gharama kuu kuliko uoga usio na gharama!

Against all odds…Hamas wanapambana na jeshi la Marekani kupitia Israel!

Nuff respect to them.

Wanaume wa Dar wakisikia tu maneno ‘Panya Road’, wanakimbia!

🤣
Hamas ni wanamume wa shoka hasa.

Nawashangaa hata wanaoiongelea Israel kama taifa.

Israel ni usa+eu in disguise.

Wamejiweka pale kama taifa kushindana na Jamii ya kiarabu kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Hamas anapigana na USA+EU combined.
 
ISRAEL AU PALESTINA sio TZ so tushone na tutulie.WAZIII?
 
Unaendesha gari huku unaandika? GTFOH!

Usilete visingizio. Huna hoja!
Mjinga na muongo huishiwa maneno nakushauri katizame Aljazeera na Presstv umezeshwe sumu uje tena kuandika uharo wako
 
Maslahi ya uhai wa binadamu wasio na hatia hayana mjadala!

Hata sheria za kimataifa zinalitambua hilo.

Uhai wa binadamu kwanza, halafu mengine ndo yanafuatia.

Huwezi kuhalalisha ukiukwaji wa haki na uhai wa binadamu kwa kisingizio cha maslahi yako.
Mkuu,unaeleweka sana point yako,iko very clear.Ila anachosema FRANC THE GREAT ni kwamba..Takita nchi zote kubwa unazozifahamu wewe,hakuna yenye uhalali(Credibility) Ya kuikemea Israel inachofanya,kwa sababu hizo hizo nchi pia zimeshawahi ku commit atrocities hapo nyuma in the name of kujilinda na kulinda maslahi yake,Tukianza na Russia ilishaua watu sana kule Chechnya na Georgia sana tu,Mjerumani nae alishaua sana wayahudi mwaka 1945,Mchina naye alishaua sana Raia wake kama unakumbuka Tiananmen Square Massacre,Muingereza naye alishaua watu Iraq na kwenye vita Fork land,Marekani ndio usiseme achilia mbali na WH kuwa controlled na Zionist tycoons.Ndio maana unaona hakuna nchi iko serious kukemea huu mgogoro kwa nia njema...
Sisi raia wa kawaida tunaumia na yanayotokea ila in eyes of the goverments wanatizama kwa jicho tofauti kabisa,....MASLAHI.
 
Enzi za Nyerere tulikuwa na msimamo wa kitaifa wa wa kusimamia haki..

Leo unakuta mtanzania ana support Israel.. shame
Unashangaa nini The Boss . Kama Leo waTz hao hao tena wafuasi wa Ccm wanashabikia u dictator popote ulipo duniani ?!

WaTz wa leo wameshachanganyikiwa. Lakini pia hao hao Palestinians wanakosea kwa kuanza kurusha vi rockets kuelekea Israel. Unamchokoza mwenye nguvu kwa kutegemea nini ?!
 
Israel bila Marekani haina chochote!

Biden…huyo Democrat mpenda amani asiye mbaguzi wa rangi, dini, wala jinsia…yeye kama kiongozi wa taifa kubwa linalolikingia kifua Israel, kwa nini aachie huu unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina uendelee?

Leo nimeona kuna kabinti kameokolewa kutoka kwenye jengo lililopigwa mabomu na hao wahalifu wa Israel. Imeniuma sana.
Lakini unajua nini…fcuk Biden!

Hawezi kumfokea huyo Netanyahu na kumwambia akome huo unyama wake?

Wachina na Warusi kwa nini wanaachia huu uhalifu uendelee? Au hawana ubavu kama wanavyodai?

Massive big up kwa Hamas. Ujasiri wao nauheshimu sana.
@Nyani Ngabu wewe pamoja na exposure yoote uliyonayo . Huo kuwa hao wanamgambo wa ki Filisti wanalianzisha, kwa kuanza kurusha viroketi kuelekea Israel. Wakikaa bila kurusha viroketi wanapoteza nini ?!. Unamchokoza mwenye nguvu. Ukianza kupigwa unalia mwano !!
 
Ndege ya US in spy gaza imebidi USA aingilie kuspy silaha za Hamas sababu mwanae kisha zidiwa kabaki kuvunja majumba ya kuwauwa watoto na wanawake yani media zinavyo mtia aibu kahamaki kenda vunja jumba wanalo kaa Al Jazeera na wengineyo.

Aibu sana kwa Nyatanyahau na jeshi lake la kizionist.
 
Hamas started this war!! I am wondering why you are not blaming them instead your spreading propaganda against Israel??
Hamas huwa hawaanzishi Vita Ila huwa unatafuta sababu watu watu wapigwe na waporwe ardhi
 
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👍🏽

Back
Top Bottom