Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Alafu wanadai wanaonewa ajabu sanaWamerusha rockets zaidi ya 3000
IDF wanasema ndo record toka kuumbwa kwa dunia
Wamerusha rockets zaidi ya 3000
IDF wanasema ndo record toka kuumbwa kwa dunia
Ila Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za HamasWamerusha rockets zaidi ya 3000
IDF wanasema ndo record toka kuumbwa kwa dunia
Ukrsto huo bila niachwe nfe na dhambi zangu IPA kamwe siwezi shangilia umwagaji wa damuMagaidi yote ya Palestina yauawe na maeneo yao yote ya kupanga mipango yao imeshalipuliwa. Mungu ni mwema sana na mwenye nguvu.
Wanaingia kwenye vita wasiyoiweza hao watawadhaji.
View attachment 1787712
Umeandika nini hapa?Ukrsto huo bila niachwe nfe na dhambi zangu IPA kamwe siwezi shangilia umwagaji wa damu
Sisi sote ni ndugu
Ukifuatilia Al Jazeera utajua ni kwa nini Israel ililipua maofisi yao, wako biased sana na Israel. Kutwa nzima ni kuhoji wapinzani wa Israel na kuonyesha mazishi ya wapalestina bila kuonyesha uharibifu unaofanywa ndani ya Israel. Pia hawasemi chochote kuhusu kukemea uhalifu wa HamasHalafu wakijibiwa Aljazeera unawaona wanabwata bwata,ndiyo maana ofisi zao zimeshushwa to groud Zero
Hamas nao wanarusha rocket Israel kwa hiyo unataka wao wakae kimya kama ni makosa wote wanaoIsrael are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
Na hamas ameweka mitambo yake kwenye makazi ya watu yaani anatumia watu kama human shieldUkifuatilia Al Jazeera utajua ni kwa nini Israel ililipua maofisi yao, wako biased sana na Israel. Kutwa nzima ni kuhoji wapinzani wa Israel na kuonyesha mazishi ya wapalestina bila kuonyesha uharibifu unaofanywa ndani ya Israel. Pia hawasemi chochote kuhusu kukemea uhalifu wa Hamas
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ila Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas
Kazi ya hizo interceptors ni hiyo na kila kitu kina gharamaIla Israeli wanatumia gharama kubwa sana kuziintercept hizo rockets za Hamas