Hapo ndipo penye tofauti kati ya nchi zetu na nchi za wenzetu
Kwao wao, maisha ya raia wao ni kipaumbele cha kwanza, haijalishi ni gharama gani itatumika. Wako tayari waingie vitani kumkomboa raia mmoja.
Kuna wakati nakumbuka Israel ilikubali kubadilishana raia wake wawili waliokanatwa huko Syria na wafungwa 30 waliohukumiwa vifungo vya makosa ya kigaidi. Tuna kitu cha kujifunza hapo