Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

Habari inasema wakimbizi innamaanatayari wapo Israel kama wakimbizi sasa sisi wangudu syo wakimbizi tayari tunamakazi yetu yakudum huku nguduu tuna
Sasa mlikuwa mnalia lia nini humu kina Joshua na mwenzake walivyouliwa aibu sana taifa teule linaomba msaada kutoka Ngudu.
 
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

Bila kusahau unguja
 
Sasa mlikuwa mnalia lia nini humu kina Joshua na mwenzake walivyouliwa aibu sana taifa teule linaomba msaada kutoka Ngudu.
Tilimlilia kama mtanzania mwenzetuu na si mwisrael kwan Joshua alikua mkimbizi si alikua masomon hao wakimbizi lazma wapgane ili nao wawe sehem ya hyo ardhi inayopiganiwa tena umewataja kwa idadi 30000
 
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.

Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma
INYALA
YAWAYA
MAKWENJE
DARAJANI
SHAMWENNGO
IMEZU
MWASHOMA
ITEWE
NYASHISHI
NGUDU
kIBOSHO

Na maneo mengine nendeni mkapigane Gaza siyo kupigana humu JF kwa Maneno.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1835702820667793829?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari zaidi Bofya hapa chini

Chuki ya mwamedans kwa mayahudi haimithiriki
 
Back
Top Bottom