Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

Tafuta Mume utulie wewe mjane,kutema pumba humu hakuwezi kukufanya upate mume bora,
Tulia tu hapo kwa Bi mkubwa,Posa zitakufuata hapo hapo,

Mada za kianaume kaa nazo mbali coz akili ya kuzijadili huna,
Kichwa Panzi wewe.
Kakazana chai chai,unamuwekea link za media ufaransa na israel kwenyewe bado linaandika chai,unajua ni pang'ang'a flan hivi shule imelipiga chenga
 
Hii ni Chai hasira za nini Binti
 
Halafu ukiisha kukubaliwa unapimwa afya unapewa dawa hamna kuzalisha wanawake wao mamaae!
 
Hii ni chai acha hasira binti jamii forum sio ya baba Yako boya wewe hasira za kusemwa na umasikini wako usiniletee mimi
Sasa umekarika nini? Umeuliza chanzo cha habari umeletewa bado unalalamika nini.
 
Kakazana chai chai,unamuwekea link za media ufaransa na israel kwenyewe bado linaandika chai,unajua ni pang'ang'a flan hivi shule imelipiga chenga
Huyo sio kwamba tatizo lake anataka source,huyo hana cha kuchangia hapa,kanajipitisha pitisha tu hapa huku kanatingisha kalio,ili na kenyewe kasisahaulike kua kamo humu JF.
 
Sasa wale wote wafia Israel ni muda muafaka kuonyesha kwa vitendo mapenzi yao.
 
Siku Israel ikizidiwa na makafiri wafuasi allah ndipo tutaenda kuisaidia kwasasa vita vipo gaza walipo magaidi wa hamas
 
Vp wewe huendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…