Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

Watahama wao na kuku wao. Hii dunia sio yao pekee yao. Hitler bado wapo . Siku wamarekani watapoomba ukimbizi wa kisiasa Djibouti ndio Isreal nao watakimbilia Rwanda. Alikuwepo Firauni lkn hivi sasa watu wanamcheka
 
Ndio wakae kwa kutulia sasa, wamelianzisha walinywe

Uzuri wake pia Dunia inajua kuwa aliyemuanza mwenzake hiyo octoba 7 ni nani
 
Ndio wakae kwa kutulia sasa, wamelianzisha walinywe

Uzuri wake pia Dunia inajua kuwa aliyemuanza mwenzake hiyo octoba 7 ni nani
Kwako dunia inaanzia oktoba 7.Uweli ni kuwa habari na njama zimeanza zamani.Uiengereza inahusika sana.
Kilichofanyika oktoba 7 ni kitu kidogo sana kuliko madhara yaliyowakuta wapalestina kwa miaka 75
Oktoba 7 Israel inasema ni 1137.Inaoenakana hujawaza kujumlisha idadi ya wapalestina waliouliwa na si kuuliwa tu na kuvunjiwa majumba na kuhamishwa maeneo yao tangu mwaka 1948.Hiyo hujajiona kabisa.
Au maumivu hayo ya wapalestina kwako si chochote mbele ya watuj 1137 ya okotba 7
 
Kwako dunia inaanzia oktoba 7.Uweli ni kuwa habari na njama zimeanza zamani.Uiengereza inahusika sana.
Kilichofanyika oktoba 7 ni kitu kidogo sana kuliko madhara yaliyowakuta wapalestina kwa miaka 75
Endelea kuamini unachokiamini,kila mtu ana akili zake
 
Kama Israel inaona wagaza ni tatizo, kwa nini inataka kupeleka tatizo hilo kwa nchi nyingine?
Wao wayahudi ndio tatizo kwa wengine
Kuna upande wa pili watu hawataki kuusikia
Ni kwamba mpango mzima ni USA na washiriki wao wanataka Myahudi akae hapo maana yeye kila anapoenda anaeneza cancer tu
Uchumi wote wao hata Uchaguzi wao ndo wana fund nani ashinde
Hawatakiwi popote na ndio maana USA anataka wapalestina waondolewe na Wayahudi wawe na kwao kilazima

Palestine hatarnda popote tuko hapa
Atapigana ndani na nje ya hiyo ardhi
 
Kuelemewa hatujasema sisi.Ni wao wenyewe na wafadhili wao.
Kinachosikitisha ni kuwa waarabu hawalioni hilo na kuitumia fursa waliyopewa na Mungu.
Na wewe si mnadai ninyi na waarabu ni ndugu katika imani, ingia sasa vitani ukapambane na Israel taifa teule uliwe kichwa. Unajifanya umechukizwa na waisraeli kuwaponda Hamas huku umejificha nyuma ya keyboard.😁😁
 
Umetoa ufafanuzi mzuri kwa vile umewahi kufika kule Lebanon
 
Wayahudi /Judaism imetokana na moja ya kabila LA Jacob /Israel,liitwalo"Judah".Mmoja wa watawala waliotokana na hili Kabila ni "King David". Mtawaka wa Jerusalem na Hebron(Ukingo wa magharibi) miaka zaidi ya elfu 3 iliyopita!
Sawa.
 
Umetoa ufafanuzi mzuri kwa vile umewahi kufika kule Lebanon
Nashangaa sana humu Kuna watoto wengi ambao hata kurudi na kusoma miaka 40 tu iliyopita hawataki kujua
Wao wameona tu Hamas na Myahudi kuuwa hovyo
Lakini miaka yote Wayahudi wamewauwa sana Wapalestina

Hoja inachangiwa kwa hoja ila wao wanaingiza chuki tu

Kweli nimekaa sana huko na ninaelewa historia yao wote
 
Ingependeza zaidi kama Tanzania ingehusishwa kuwapokea Wagaza ili wapokelewe na wavaa vipedo na misuli na makobazi wenzao, Wagaza wa mchongo toka Buza kwa mpalangešŸ¤”
CC:
green rajab
FaizaFoxy
Alwaz
Ritz
kimsboy
 
Waache wakawe mabilionea Congo halafu warudishe pesa zimtandike zayuni.

Wallahi mipango ya Allah ni ya ajabu sana.

Kama wakitajirika hawawezi kujitoa muhanga tena. Njaa ndio husababisha itikadi potovu wewe mama mmoja wa bikra 72 ukifika jongomeošŸ¤”
 
Si wake tu Tanzania. Waje niwape msitu wangu huku Katavi walime mahindi ya Gobo.
 
Tatizo wanazaliana kama panya. Wanaweza kujaa congo na sisi tutaathirika na kizazi cha laana cha wapalestina.

Wayahudi inatakiwa wawapige simu ya kuua kizazi tu
 
Wayahudi /Judaism imetokana na moja ya kabila LA Jacob /Israel,liitwalo"Judah".Mmoja wa watawala waliotokana na hili Kabila ni "King David". Mtawaka wa Jerusalem na Hebron(Ukingo wa magharibi) miaka zaidi ya elfu 3 iliyopita!
Shida ni kuwa wale ni waukraine wasioliweza jua mpk wapake sun scream. Watu waliokuwa watumwa kwenye Jua La MISRI ambao ni watoto WA Yakobo walikuwa na melanin kwenye ngozi zao sio wale wanaopata Kansa ya ngozi kutoka kwenye Jua.
 
Dunia hii ina mambo! Waisrael walitaka kusukumizwa Uganda mwaka 1948 walikataa kata kata, kakini wao leo wanataka kuwasukumiza Wapalestina Afrika ya DRC! Du!
 
Wasituletee hizo nbegu huku kwetu Afrika, awapeleke Yemen au Iran kwa ndg zao huku!.
Hawanaga shukrani hao watu, hao ni sawa na abiria unampa lift halafu badae anadai haki ya kupiga honi!.
Ulaya walifanya kosa hili kuwakaribisha wachache sasa hv eti wanadai haki utadhani nao walizaliwa huko Ulaya!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…