Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu

Hizo "tovuti mbalimbali" unazozipitia hazina mrejesho, au walikua wanaotea (wishful thinking)tu?
Matumizi ya kisu yanategemea mtumiaji kisu chenyewe hakina hatia πŸ”₯πŸ˜‡πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu; umesoma vizuri uzi? Kuna sehemu hata moja umeona Israeli ime report kutaka kuishambulia Iran? Hu ni uchunguzi wao USA, kumbuka ni USA pia walitoa report yao ya kijasusi kuhusu Iran kuishambulia Israeli na ikawa kweli. Hebu rudia kuusoma uzi
 
Hivi n lazima mtu atoe taarifa kwamba anashambulia ,.je kijeshi hii ya kutoa taarifa inaitwaje?
Kwa ajili ya kupunguza collateral damage. Hii ni kwa mujibu wa vienna convention nadhani.
 
Mimi nasoma comments tu , nipo active Jf kusikiliza wachambuzi nguli wa kivita kutoka Katavi na Kimbangulilo
tupo tupo. Tunawasoma manguli wa diplomasia na mahusiano ya kimataifa kutoka katoro geita na veyula au chaduru dodoma.
 
Mimi nasoma comments tu , nipo active Jf kusikiliza wachambuzi nguli wa kivita kutoka Katavi na Kimbangulilo
Njoo katavi huku tule nyama za digi digi na asali fresh kabisa afu jioni tunapiga machungwa ya inyonga.
 
Israel ikilipiza kisasi madhara watakayopata Iran ni mara 10 ya waliyopata israel. Tuombe tu wasishambulie vinu vya nyuklia. Irsni naye atajibu kwa kushambulia vinu vya israel.
Je vinu vya nuclear vya iran vinafikik akirahisi?
 
Huo ni ujumbe wa shirika la kijasusi la Israel (Mossad) kwa dunia baada ya jaribio la Iran kutaka kumuua waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
 
Huo ni ujumbe wa shirika la kijasusi la Israel (Mossad) kwa dunia baada ya jaribio la Iran kutaka kumuua waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Sio kirahisi hivyo, kumuua ayatollah kutaingiza Urusi vitani hamna ambaye yuko tayari kwa Nuclear holocaust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…