mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Matumizi ya kisu yanategemea mtumiaji kisu chenyewe hakina hatia 🔥😇😆😆Hizo "tovuti mbalimbali" unazozipitia hazina mrejesho, au walikua wanaotea (wishful thinking)tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya kisu yanategemea mtumiaji kisu chenyewe hakina hatia 🔥😇😆😆Hizo "tovuti mbalimbali" unazozipitia hazina mrejesho, au walikua wanaotea (wishful thinking)tu?
Kwa ajili ya kupunguza collateral damage. Hii ni kwa mujibu wa vienna convention nadhani.Hivi n lazima mtu atoe taarifa kwamba anashambulia ,.je kijeshi hii ya kutoa taarifa inaitwaje?
tupo tupo. Tunawasoma manguli wa diplomasia na mahusiano ya kimataifa kutoka katoro geita na veyula au chaduru dodoma.Mimi nasoma comments tu , nipo active Jf kusikiliza wachambuzi nguli wa kivita kutoka Katavi na Kimbangulilo
Njoo katavi huku tule nyama za digi digi na asali fresh kabisa afu jioni tunapiga machungwa ya inyonga.Mimi nasoma comments tu , nipo active Jf kusikiliza wachambuzi nguli wa kivita kutoka Katavi na Kimbangulilo
Je vinu vya nuclear vya iran vinafikik akirahisi?Israel ikilipiza kisasi madhara watakayopata Iran ni mara 10 ya waliyopata israel. Tuombe tu wasishambulie vinu vya nyuklia. Irsni naye atajibu kwa kushambulia vinu vya israel.
Sio kirahisi hivyo, kumuua ayatollah kutaingiza Urusi vitani hamna ambaye yuko tayari kwa Nuclear holocaustHuo ni ujumbe wa shirika la kijasusi la Israel (Mossad) kwa dunia baada ya jaribio la Iran kutaka kumuua waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Infantry army information.Hivi n lazima mtu atoe taarifa kwamba anashambulia ,.je kijeshi hii ya kutoa taarifa inaitwaje?
Ila kuna muda Faiza ni kama una akili, twende PM basi au?Hizo "tovuti mbalimbali" unazozipitia hazina mrejesho, au walikua wanaotea (wishful thinking)tu?
Una nyege mshindo?Ila kuna muda Faiza ni kama una akili, twende PM basi au?
Siyo hivyo, unajua Faiza we ni mwanamke mrembo sana, mi nakupendaga tu yani.Una nyege mshindo?
Kwanin yupo mafichoni??Sio kirahisi hivyo, kumuua ayatollah kutaingiza Urusi vitani hamna ambaye yuko tayari kwa Nuclear holocaust