Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Wanacho kipigania ni kitu gani sasa? kama siyo kuuwa raia wasio na hatia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel kwa kupiga ubalozi wa IranAliyeanza kumchokoza mwenzie ni nani?
Sehemu za wao kufanya majaribio ya silaha zao wanazotumia mabilioni ya dollars kuzitengeneza na kuziboresha kila siku.Hivi vita vina faida gani?
Watengenezaji na wauzaji wa silaha.Hivi vita vina faida gani?
Wenzio wanatetemeka we bado una mahaba ya kitotoIsrael ikilipiza kisasi madhara watakayopata Iran ni mara 10 ya waliyopata israel. Tuombe tu wasishambulie vinu vya nyuklia. Irsni naye atajibu kwa kushambulia vinu vya israel.
Kusema Israel anashambulia tu hovyo ni uwongo mkubwa!!Vita anayoweza Israel ni kuweka mabomu kwenye ndege na kurusha mabomu ardhini tena wala hachagui anaua raia wa kawaida yani anashambulia makazi.
Umeona jinsi Iran alivyokuwa mstaarabu juzi aliposhambulia Israel? Hajapiga maeneo ya wananchi bali amepiga kambi za jeshi.
Sasa ole wake Israel ajikoroge apeleke hizo mabomu ya angani kwa raia wa Iran, ole wake akapige nyumba za makazi ya watu kule Iran; kitakachompata Israel ataenda kuomba msaada wa hifadhi kule Gaza.
Uongooo. Israel hana tabia za warabu wa buzaKwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran pamoja na vinu vyake vya NYUKLIA.
Raia joe Biden wa marekani ameionya Israel isivishambulie vinu vya NYUKLIA vya Iran na badala yake ijibu kama Ilivyopigwa Ili kutokupelekea kuzunguka Kwa vita rasmi.
Israel inadaiwa imeshamaliza vikao toka juzi juu ya kujibu shambulio la Iran na vyombo vya kijasusi vya marekani vimedai Israel ataishambulia Iran masaa machache yajayo.
Soma Pia: Rais Biden wa Marekani asema hakuna chochote kitachotokea nchini Iran leo
Yesu amekujaje hapo?. Akili za kibikira 72 utazijua tuNikajua Israel hajibu tu bali ni golden chance ya kuungana na mabwana zake Marekani kuimaliza Iran kama wafuasi wa Yesu wanavyodai kwamba alisubiriwa Iran kuingia kwenye mfumo.
So far Iran ndiye mbabe wa Mashariki ya Kati maana ameishambulia Israel bila huruma, badala ya Israel kutangaza vita rasmi yeye anatangaza kulipiza kisasi kichovu.
Kwanini Iran apate madhara zaidi,na Israel ipte madhara kidogo?Israel ikilipiza kisasi madhara watakayopata Iran ni mara 10 ya waliyopata israel. Tuombe tu wasishambulie vinu vya nyuklia. Irsni naye atajibu kwa kushambulia vinu vya israel.
Ubabe usiokuwa na maana huwa unatumaliza sana sisi wanaumeHivi vita vina faida gani?
Hizo "tovuti mbalimbali" unazozipitia hazina mrejesho, au walikua wanaotea (wishful thinking)tu?Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran pamoja na vinu vyake vya NYUKLIA.
Raia joe Biden wa marekani ameionya Israel isivishambulie vinu vya NYUKLIA vya Iran na badala yake ijibu kama Ilivyopigwa Ili kutokupelekea kuzunguka Kwa vita rasmi.
Israel inadaiwa imeshamaliza vikao toka juzi juu ya kujibu shambulio la Iran na vyombo vya kijasusi vya marekani vimedai Israel ataishambulia Iran masaa machache yajayo.
Soma Pia: Rais Biden wa Marekani asema hakuna chochote kitachotokea nchini Iran leo
Hataishambulia iran as Taifa!; Ilaha kichwa Cha ayatola na chawa zake Lebanon na Yemeni wasubiri kugeuzwa kifusi kama gaza!Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.