jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kobazi baada ya kushiba tende za msaada kutoka yemeniWanataka kuimaliza somalia, hao saudia mavi kitambaani kwa kuwa watumwa wa US, ikitokea hivyo makundi ya kiislam yatazidi na ndipo hali itakapochafuka zaidi, Israel hatafika muda huo itakuwa ishasambaratika
Basi kavae suicide vest,uende gaza,kuliko kutujazia server tu.Mimi sina interest yeyote na waisrael wala wayahud wala waarabu mimi naangalia interest za dini yangu na kizazi changu wanaogusa maslahi ya dini apo kwangu ni adui direct, kwakua na wao ni washenzi lengo lao ushoga usambae kilazima islam haiwezi kukompromise na upuuzi huo anaoutaka Marekani na zayuni hivyo hata ukiniita mujahidina it's okey and am happy
Ilimake sense baada ya kula mboko za makalio na kunyonya ub.o wa mwalim wako wa madrasa.Ulitaka niletetewe kwa treni nimeipima kwa akili zangu nimeona inanifaa na inamake sense kwahio usinpangie
Kwa akili yako unaona afrika kuna viongozi au washenzi tu.Jitu jeusi linafurahia mabeberu kuweka kambi ya kijeshi Afrika? Yaan unashabikia ukoloni kisa anayefanya ni Israel. No wonder nchi yenu inanika ufisadi maana hamna akili kabisa.
nakupa hii kaa nayo baada ya miaka kadhaa watawafukuza wasomali hapo na kusema ni NORTH BANK yaani na hapo kwao,benjamin hakawii kujana ramani uchwara mbele ya kamera kuonesha somalia nayo ni israeli,wasomali ndugu zangu mkikubali msambaza ushoga kukaa hapo mtajuta hapo baadae,nchi yenu ndo itageuka kuwa uwanja wa vitaHii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu.
Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia.....
=================================
Israel is interested in establishing a military base in northern Somalia in order to keep tabs on Yemen and the Bab al-Mandab Strait, Middle East Monitor, the Qatari state-funded news site reported on Tuesday.
According to the report, in exchange, Israel would establish relations with Somaliland, which controls northern Somalia but is not currently recognized by Israel.
Middle East Monitor noted that Somaliland is geographically strategic. It is a former British colony that borders Ethiopia, Somalia, and Djibouti. Somaliland was considered an autonomous region of Somalia that declared independence in 1991.
Israel eyes Somaliland base bid to counter threats from Yemen's Houthis, bolster security - report
Somaliland is positioned in the Gulf of Aden and near the entrance to the Bab al-Mandab Strait, through which nearly a third of the world's maritime cargo passes.www.jpost.com
We jamaa don't force yourself to my way..Mimi sio mkosa adabu na sio kwamba hizo lugha hatuzijui ukishindwa hoja jus chill mzee usilazimishe vitu blah blah nyingi. Huwezi kumuamlia mtu mzima nin afanye relux dude ..Ilimake sense baada ya kula mboko za makalio na kunyonya ub.o wa mwalim wako wa madrasa.
Dini zote ni upuuzi mtupu na utumwa wa kifkra hasa dini ya magaidi na washenzi
Lakini ni mazombi ya kenya? Yapo bado?Hao wa shakahola walijipeleka hivyo hao ni mazombi, lakini nyie mnakuta watu wanaishi kwenye imani zao mnaanza kulazimisha waabudu muarabu wenu, mnaanza kuchinja wasiokubaliana na uzombi wenu.
Kenya ni mbali na Red seaKwanini wasiweke Kenya?
Ninaongelea East Africans.Dini zote zilichukua babu zetu acha kelele
Ile vita haikuwa na mshindi mataifa makubwa yalikuwa strategic kuuza silaha USSR alikuwa anaisaidia Iran na US ilikuwa inauzia silaha Iraq tena zile za kawaida sio F-16.Iraq alikuwa na US si ndio alimpa mpaka silaha za kuangamiza watu na akatumia, kwahiyo Iran alipiga watu wawili Iraq na US wake
Vita alishinda Iran, kwasababu Iraq ndio walikuwa wavamizi kwahiyo walifurushwa ndani ya mipaka ya IranIle vita haikuwa na mshindi mataifa makubwa yalikuwa strategic kuuza silaha USSR alikuwa anaisaidia Iran na US ilikuwa inauzia silaha Iraq tena zile za kawaida sio F-16.
Ile vita ilianza 1980- 1988 na iliisha kwa usuluhishi wa UN mbaya zaidi ilikuwa na mlengo wa udini kati ya Sunni na Shia .. na ilikolezwa zaidi na mataifa ya nje kuwachonganisha..Vita alishinda Iran, kwasababu Iraq ndio walikuwa wavamizi kwahiyo walifurushwa ndani ya mipaka ya Iran
Ulikuwa Hujui, hii ni elimu ya primary map readingKumbe Somalia ipo karibu na Yemen
Nilikuwa sijui sisi wengine tumesomea vijijin huwez fundishwa kila kitu mtumishUlikuwa Hujui, hii ni elimu ya primary map reading
Ni karibu sana, hata jamii za kisomali na Kiyahudi zilizopo Africa zilihamia kutokea YemenNilikuwa sijui sisi wengine tumesomea vijijin huwez fundishwa kila kitu mtumish
Asante kwa darasaNi karibu sana, hata jamii za kisomali na Kiyahudi zilizopo Africa zilihamia kutokea Yemen
Sahihi kabisaaa ndio maana nikasema mshindi ni Iran kwasababu hata hao Umoja wa mataifa walikuwa kimya wakati Iraq anavamia, kwa miaka 8 Iran alipambana na mvamizi, baada ya mvamizi kuona hali tete hakuwa na namna zaidi ya kutii agizo la UN, hivyo basi mshindi ni Iran, ona Syria mpaka leo Golan height haijarudi japo vita iliishaIle vita ilianza 1980- 1988 na iliisha kwa usuluhishi wa UN mbaya zaidi ilikuwa na mlengo wa udini kati ya Sunni na Shia .. na ilikolezwa zaidi na mataifa ya nje kuwachonganisha..
Wanajiunga mara ngapi? Au wewe unaishi nje ya safari hii???Afrika mashariki tusikubali maana Somalia wanajiunga na east Afrika navojua wayemen hapo hapatakalika