ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Iran sio kikundi ile ni nchi kamili, acha kutishia nyauItapigwa tu, vuta subira, kwa sasa mnafanyiwa psychological war, mnakaa mkiangalia angani muda wote hamjui mtashukiwa lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran sio kikundi ile ni nchi kamili, acha kutishia nyauItapigwa tu, vuta subira, kwa sasa mnafanyiwa psychological war, mnakaa mkiangalia angani muda wote hamjui mtashukiwa lini
Hata wao waliambiwa kwenye kitabu chao kufuta watu wengine, kwahiyo na wengine kutaka kuwafuta ni SAWA
Unataka ufaidike kwa gharama za maisha yetu ? Ardhi ni ya Ukraine wewe unaingiza Jeshi kuua watu halafu unasema kuna faida!! hakuna tofauti ya yeyote kote huko watu wasio na hatia wanawake kwa wanaume wanakufa kwa ugomviJapo sio sahihi, ila tukipigania ardhi, ni kitu kinaonakena, ni raslimali, ina mantiki maana kila mmoja anataka afaidike
Lakini wewe maskini hapo unamchinja Mwafrika maskini kama wewe kisa uliambiwa na muarabu uabudu mungu ambaye hauwezi hata ukadhihirisha uwepo wake
Saudi Arabia msimamo wake huko pale pale hawezi kurejesha mahusiano na Israel mpaka Palestina iwe huru, wewe unasema Saudi Arabia labda ya Buza
Kwani wao walipoambiwa na Mungu wao wamemfuta nani? si wapo watu mpaka leoHakuna miungu imefaulu kuwafuta Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi
Iran iko imara siku zote, Ndio hawa hawa walipigana na Sadam Huseni wakati ule kibaraka wa USNchi hupigwa, sio mara ya kwanza, japo Iran huwa nawakubali maana kihistoria walikua vizuri sana kabla uzombi wa kidini kuwakwamisha.
Unataka ufaidike kwa gharama za maisha yetu ? Ardhi ni ya Ukraine wewe unaingiza Jeshi kuua watu halafu unasema kuna faida!! hakuna tofauti ya yeyote kote huko watu wasio na hatia wanawake kwa wanaume wanakufa kwa ugomvi
Tuambie wewe mzushi lini Saudi Arabia amerudisha uhusiano na Israel?Saudi wanaendelea kustaarabika, leo hii wanawake wanaendesha magari, uzombi wa dini unawatoka.
It is a break-away province of Somalia, not recognised internationally.Kwani somaland siyo taifa kamili?
Wewe acha uzushi mpaka Leo hakuna uhusiano wowote kati ya Saudi Arabia na Israel, bila kupepesa macho Saudi Arabia wamesema kama hakuna Palestina huru hakuna mahusiano na IsraelFuatilia taratibu, Saudi walishasema watacharuka tu pale Israel itachukua Mecca lakini sio huo upuzi wenu...
Kama vile walivyompaniq Yesu,wakamuua,na kumuita mtoto wa nje ya ndoa,wakati alikuja kuwakomboa.Hawa israel,madhali walimuua Yesu,watapata tabu sana,duniani na mbinguni.Israel akikupania hajawahi kushindwa
Iraq alikuwa na US si ndio alimpa mpaka silaha za kuangamiza watu na akatumia, kwahiyo Iran alipiga watu wawili Iraq na US wakeIran liinchi likubwa sana ilikua aibu kupambana na kataifa kama Iraq, yaani dini imewachelewesha sana.
Sasa mporaji unasemaje anafanya jambo la maana? yaani utoke huko uje unipore halafu wewe unataka kutudanganya ni jambo la maana? Unaua watu, unaharibu mali ili upore? wewe unashida sanaUrusi imejaribu kwenda kupora ardhi ya Ukraine, hao Ukraine wanapigana na kujaribu kulinda ardhi yao.
Lakini nyie mnachinja watu na kulazimisha waabudu sijui nani huyo ambaye ukiulizwa sasa hivi udhihirishe uwepo wake utaanza kunitajia kitabu kilichoandikwa huko jangwani.