Israel kuweka kambi ya kijeshi Somaliland ili itumie kushambulia Houthi

Israel kuweka kambi ya kijeshi Somaliland ili itumie kushambulia Houthi

Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi
Somaliland wamefanikiwa kuwadhibiti Magaidi wa Alshababu na ni marafiki wa Ethiopia.
Sio Watu wenye misimamo mikali ya Kidini.
 
Mkuu i can understand your concern. Historia inaonyesha wasomali wako Djibouti, Somaliland, Somalia na parts of Kenya. Wakati wa ukoloni kulikuwa na French Somalia ( Djibouti) British Somalia (Somaliland) na Italy Somalia ( huku kwa akina Alishabab). Baada ya kupata Uhuru Somaliland iliamua iungane na Somalia. Hata hivyo hila za Wasomalia zilisababisha kukiukwa kwa makubaliano ya awali ya muungano. Hivyo kipindi chote cha Muungano Wasomaliland hawakuwa wameridhika na pia hawakuwa wanaunga mkono ideology za Kikomunists za akina Siad Barree. Political islam unayoisikia ya akina Alshabab haiko Somaliland. Aidha, wako na uhusiano mzuri na Ethiopia. Juzi juzi kule UK Wasomaliland walifanya Kongamano ambapo walipinga vikali kile waislam wengine wanafanya kuendeleza Agenda ya Political islam ndani ya nchi za magharibi. Nikutoe wasiwasi tu kuwa katika vita yetu dhidi ya Political islam zipo Serikali za nchi majority muslims ambazo zinaunga mkono mapambano haya. Nchi hizo kinara ni UAE. lakini zimejitokeza nchi nyingine ikiwemo Saudi Arabia, Bahrain, Egypt, Jordan. Kwa upande wa Israel wamekuwa na Ushirika wa karibu na Azerbaijan. Hivyo usishangae Somaliland kama Serikali ikaunga mkono jitihada hizi. Mbili usisahau kuwa Houthis ni Shia, wakati Wasomaliland ni Sunni. Hawa ni paka na chui
Wazanzibar watachie Tanganyika yetu
 
Malizia pia Palestine ni Sunni ambao ni paka na paka na Somaliland.
 
Wanataka kuimaliza somalia, hao saudia mavi kitambaani kwa kuwa watumwa wa US, ikitokea hivyo makundi ya kiislam yatazidi na ndipo hali itakapochafuka zaidi, Israel hatafika muda huo itakuwa ishasambaratika
Unawaza tu au tuamini ndiyo uhalisia?
 
Waarabu wenyewe wana uhusiano na Israel wewe Mwafrika ambae hujui hata adui yako unajifanya Mujahidina.
Mimi sina interest yeyote na waisrael wala wayahud wala waarabu mimi naangalia interest za dini yangu na kizazi changu wanaogusa maslahi ya dini apo kwangu ni adui direct, kwakua na wao ni washenzi lengo lao ushoga usambae kilazima islam haiwezi kukompromise na upuuzi huo anaoutaka Marekani na zayuni hivyo hata ukiniita mujahidina it's okey and am happy
 
Wanataka kuimaliza somalia, hao saudia mavi kitambaani kwa kuwa watumwa wa US, ikitokea hivyo makundi ya kiislam yatazidi na ndipo hali itakapochafuka zaidi, Israel hatafika muda huo itakuwa ishasambaratika

Israel imekuwepo hata kabla uzombi wenu haujabuniwa, leo nini kipya mtafanya kuifuta, mnauawa tu kila siku.
 
Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu.
Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia.....
=================================

Israel is interested in establishing a military base in northern Somalia in order to keep tabs on Yemen and the Bab al-Mandab Strait, Middle East Monitor, the Qatari state-funded news site reported on Tuesday.

According to the report, in exchange, Israel would establish relations with Somaliland, which controls northern Somalia but is not currently recognized by Israel.

Middle East Monitor noted that Somaliland is geographically strategic. It is a former British colony that borders Ethiopia, Somalia, and Djibouti. Somaliland was considered an autonomous region of Somalia that declared independence in 1991.
Hawajakubaliwa kuweka kambi somali land bado ,ila wameomba
 
Somaliland kukubali kuikaribisha Israel kutafanya Somaliland itambulike rasmi na jumuiya ya kimataifa kama taifa kamili.

Watu wanaangalia kinachowafaa kwa wakati husika na wala sio mambo ya dini ambayo hawayanufaishi na hii ndio maana mataifa ya kiarabu yanayojitambua yana uhusiano na Israel.
ww mbona makanisaninwatu wanalawitiwa thus dini haikufainacvording to you mbona huachi kuwa mkristo so hata hao somaliland usiwasemee
 
Malizia pia Palestine ni Sunni ambao ni paka na paka na Somaliland.
Sikiliza, msiwe mnadandia tu discussions kama vile una recite juzuu. Hapa Makamas ambayo ni branch ya muslim brotherhood wame hijack agenda yenu na wapalestina wenu wa mchongo. Baada ya muslim brotherhood kufukuzwa Egypt, Saudi Arabia na UAE Hamas wakajichanganya na Iran na Hezbollah ambao wote ni SHIA. hivyo Hamas katika macho ya Sunni wengi wa Mashariki ya Kati amekuwa ni adui.
 
Wanataka kuimaliza somalia, hao saudia mavi kitambaani kwa kuwa watumwa wa US, ikitokea hivyo makundi ya kiislam yatazidi na ndipo hali itakapochafuka zaidi, Israel hatafika muda huo itakuwa ishasambaratika
Wewe ndio hujui kabisa unachoongea, yaani Israel isambaratike kisa nini sasa..🤣🤣🤣
 
ww mbona makanisaninwatu wanalawitiwa thus dini haikufainacvording to you mbona huachi kuwa mkristo so hata hao somaliland usiwasemee
Madrassat imekufanya usijue hata kuandika.😛😛
 
Ningependa sana wailete huku ili mchakazwe, maana kunao mko sijui Kibiti, Mtwara na mumeingia mpaka Msumbiji.
Na magaidi wengi ni wakenya walilipua waste gate wakachinja vibaya
 
Siamini kama wataruhusiwa maana hao Somaliland ni wale wale kwenye uzombi pia.
Christian Ethiopia imepewa Base ya Navy pale Somaliland vipi Israel isipewe Base Somaliland ni Waislamu poa.
 
Back
Top Bottom