imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ndio ufie Dini iliyomchukua Babu yako Utumwani?!Ulitaka niletetewe kwa treni nimeipima kwa akili zangu nimeona inanifaa na inamake sense kwahio usinpangie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ufie Dini iliyomchukua Babu yako Utumwani?!Ulitaka niletetewe kwa treni nimeipima kwa akili zangu nimeona inanifaa na inamake sense kwahio usinpangie
uae ndio anamsaidia israel kuomba , uae ana mahusiano mazuri sana na somali land, sikuhizi watu wapo kimaslahi sanaSiamini kama wataruhusiwa maana hao Somaliland ni wale wale kwenye uzombi pia.
Hata makenya wengi na mazombi kama Yale lamu na kina logoSiamini kama wataruhusiwa maana hao Somaliland ni wale wale kwenye uzombi pia.
Mimi siangalii uafrica wangu au mabibi zangu mimi sio mbinafsi nimeamua kujiunganisha na dini tu na sio races, kwakua katika dini nitaungana na races tofauti na tutaongea na kuelewana kama tukutanapo mecca ni racesNdio ufie Dini iliyomchukua Babu yako Utumwani?!
Tofautisha Somaliland na Somalia
Inayohitajika na Israel ni Somaliland sio Somalia
Ile ya marekani iliyop djbput imeshindwa kuifungua
Wahi Merembe Mental Hospital ukafanyiwe matibabu ya haraka.Mimi siangalii uafrica wangu
SawaWahi Merembe Mental Hospital ukafanyiwe matibabu ya haraka.
Uchumi wao unaruhusu hilo?....Alshaabab, Isis,Alqaeda watahamia rasmi Somaliland Ili kupambana na hao wazayuni na vibaraka wao.Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu.
Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia.....
=================================
Israel is interested in establishing a military base in northern Somalia in order to keep tabs on Yemen and the Bab al-Mandab Strait, Middle East Monitor, the Qatari state-funded news site reported on Tuesday.
According to the report, in exchange, Israel would establish relations with Somaliland, which controls northern Somalia but is not currently recognized by Israel.
Middle East Monitor noted that Somaliland is geographically strategic. It is a former British colony that borders Ethiopia, Somalia, and Djibouti. Somaliland was considered an autonomous region of Somalia that declared independence in 1991.
![]()
Israel eyes Somaliland base bid to counter threats from Yemen's Houthis, bolster security - report
Somaliland is positioned in the Gulf of Aden and near the entrance to the Bab al-Mandab Strait, through which nearly a third of the world's maritime cargo passes.www.jpost.com
Sio kwamba Somaliland huwa haishambuliwi na Magaidi ukigoogle inaonyesha walishambuliwa mara moja lakini wameweza kuwadhibiti wasishambulie tena.Uchumi wao unaruhusu hilo?....Alshaabab, Isis,Alqaeda watahamia rasmi Somaliland Ili kupambana na hao wazayuni na vibaraka wao.
Haipo hivyo somaliland walijitenga na somalia sema hakuna nchi inaowatambua so far so hawana international recognition, minachofanyika ni kuloby kupitia mataifaa yenye nguvu ili wakukingie kifua utambulikeSio kwamba Somaliland huwa haishambuliwi na Magaidi ukigoogle inaonyesha walishambuliwa mara moja lakini wameweza kuwadhibiti wasishambulie tena.
Mosad wanajua kuwa Somaliland ni kiboko ya Magaidi.
Somaliland ilipojichukulia Uhuru wake kutoka kwa Wakoloni wa Kiingereza Miaka ya 60 ilitambuliwa na Uingereza na Israel na Nchi nyingine 35.Haipo hivyo somaliland walijitenga na somalia sema hakuna nchi inaowatambua
Yes in exchange for international recorgnition na ahadi nyingi za fedha na misaada ,wanaweza kuwapa base israel na marekani its very possible , na anayepika dili hilo ni UAESomaliland ilipojichukulia Uhuru wake kutoka kwa Wakoloni wa Kiingereza Miaka ya 60 ilitambuliwa na Uingereza na Israel na Nchi nyingine 35.
Baadae wakajiunga na Somalia ya Kusini na kuwa Somali Republic huo Muungano wao ulifeli vibaya sana na Somaliland wakaamua kupigana na Udikteta wa Somalia kusini na na kujitenga.
Sasa hivi 🇪🇹 Ethiopia imepewa Naval Base na imeshakubaliana kuitambua na sasa Israel 🇮🇱 nayo na nasikia kuna mpango na USA 🇺🇸 nayo kupewa Base sasa hapo sijui Magaidi wa Ayatolah Houth sijui watakimbilia wapi?!😆😂
Uko sahihi kabisa Ayatolah wa Iran ndie Mzizi wa Fitina katika eneo hilo.Yes in exchange for international recorgnition na ahadi nyingi za fedha na misaada ,wanaweza kuwapa base israel na marekani its very possible , na anayepika dili hilo ni UAE
IRan na waarabu hawajawahi kuwa marafiki tatizo linaanzia hapo, kwahiyo uae na wenzake wana hamu iran na magroup yake yatokomezwe
Na magaidi wengi ni wakenya walilipua waste gate wakachinja vibaya
Hata makenya wengi na mazombi kama Yale lamu na kina logo
Afadhali umeiweka picha, labda ataelewa
Acha kuyakataa mazombi ya kenya na Sasa ndo yanaikamata Kenya kila sectorBinadamu akishajiunga kwenye huo uzombi wenu huwa hamna cha Ukenya au nini, ni majitu yasiyojua uzalendo, hata ndugu yangu wa damu akishahamia kwa hayo mavitu yenu namkana kabisa afe tu.
Jitu jeusi linafurahia mabeberu kuweka kambi ya kijeshi Afrika? Yaan unashabikia ukoloni kisa anayefanya ni Israel. No wonder nchi yenu inanika ufisadi maana hamna akili kabisa.Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu.
Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia.....