Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi.
Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini baada ya Hizbullah kurusha aina mpya ya maroketi ambayo yana ufanisi zaidi katika kupiga eneo lengwa.
Maroketi yaliyotumika kwa mara ya mwanzo kulenga ndani ya Israel ni yale ya FAD- 1 na FAD- 2.