Israel kwawaka moto.Hezbollah katumia aina mpya ya silaha

View attachment 3103076
Hapo ni eneo la Kiryat Balik karibu na Haifa mipango miji wakiondoa kifusi haraka kutokana na kombora la Hizbulah.Pale chini kuna alama kama ya damu na ngua za mhanga.
Uharibifu huo unalingana kama ule unaoonekana Gaza mara kwa mara.
Wewe ndo yupi kati ya hao......maana hata uthibitisho hata kabendera ka taifa teule sijaona
 
Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi.
Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini baada ya Hizbullah kurusha aina mpya ya maroketi ambayo yana ufanisi zaidi katika kupiga eneo lengwa.
Maroketi yaliyotumika kwa mara ya mwanzo kulenga ndani ya Israel ni yale ya FAD- 1 na FAD- 2.
Asande sana situdiyo

Tuma salamu kWa vandu vandatu
 
View attachment 3103076
Hapo ni eneo la Kiryat Balik karibu na Haifa mipango miji wakiondoa kifusi haraka kutokana na kombora la Hizbulah.Pale chini kuna alama kama ya damu na ngua za mhanga.
Uharibifu huo unalingana kama ule unaoonekana Gaza mara kwa mara.
Sasa hezbollah kupiga nyumba mbili za maraia wa israel ndio ushindi wakati israel imepukutisha gorofa zima na viongozi wa kuu wa hezbollah wawili na makamanda wandamizi 16 bado lile shambulizi la mtandao hezbollah 860 wameuawa, viongozi wa hezbollah 291 na maraia 500 bado waliojeruhiwa hawana macho kama 500 na wengine hawana mikono na miguu wengine hawana mapumbu 3000 sasa nani kampa kipondo mwenzake?
 
Ukijiuliza mwenyewe vizuri utapata jibu
 
Vita ni vita mura unachukiaje Israeli kushambuliwa mbona wenyewe wakipiga huko Lebanon na Gaza mnakenua meno nje.
Mijutu mingine mijinga sana akipiga Israel wanashangilia tena hata ile ya pager hio ni terrorist act kabisa lakini huwezi kusikia Europe au US waka condemn hapo. Watakusifia hapo Israel ni Clever wakati hio ni one of the Stupidity act
 
Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi.
Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini baada ya Hizbullah kurusha aina mpya ya maroketi ambayo yana ufanisi zaidi katika kupiga eneo lengwa.
Maroketi yaliyotumika kwa mara ya mwanzo kulenga ndani ya Israel ni yale ya FAD- 1 na FAD- 2.
Israel yeye Hana silaha nzito?
 
Haya makundi ya wahuni wahuni yatapilimbwa vibaya sana, juzi tu kiongozi wao kaliwa kichwa na IDF.
 
Katika hizo kuna mchanganyiko wa ballistic zimepigwa kutoka Iraq na Yemen kwa muda mmoja na zote zime hit targets
Sawa tunaruhusiwa kudanganya vitani...asante kwa taarifa kutoka hapo chumbani kwako.
 
Sasa hezbollah kupiga nyumba mbili za maraia wa israel ndio ushindi wakati israel imepukutisha gorofa zima na viongozi wa kuu wa hezbollah wawili na makamanda wandamizi 16 bado lile shambulizi la mtandao hezbollah 860 wameuawa, viongozi wa hezbollah 291 na maraia 500 bado waliojeruhiwa hawana macho kama 500 na wengine hawana mikono na miguu wengine hawana mapumbu 3000 sasa nani kampa kipondo mwenzake?
Namsikitikia sana Hassan Nasrailla maana viongozi wake waandamizi wanakufa Kila uchao na Hana uwezo wa kwenda mazikoni maana 24/12 Yuko kwenye mahandaki
 
Tel aviv yawaka moto.Haijapata kutokea.
Kwa mara ya mwanzo ballistic missile aina ya Qadr 1 imepiga TelAvi kwa mujibu wa Israel yenyewe na vyanzo vya Hizbullah
 
Back
Top Bottom