Mkuu, kwani unadhani hawajui?? Wanatafuta gear ya kuonewa huruma eti hospitali, shule, misikiti na blaa-blaa nyingi. Majengo na miundo mbinu yoyote hujengwa au huweza kukarabatiwa lakini Uhai hautengenezwi, haununuliwi bali hulindwa kwa gharama sana.Mashimo yako chini ya ardhi, unaondoa kwanza nyumba
Hauchoki na hizi story za kipuuzu hizi we ****?Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.
Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya wapalestina 12 pamoja na uharibifu mkubwa wa msikiti na nyumba za jirani
Mashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.
Wanadiplomasia wanaojihusisha na masuala ya Mashariki ya Kati wamesema mashambulizi hayo yanatoa mtihani mkubwa kwa mikataba iliyofanya Israel na mataifa ambayo wanaitetea Palestina,
Marekani nayo imeshusha shehena kubwa ya silaha kwa jeshi la IDF la Israel kutoka ndege za mizigo zisizopungua 45 katika kipindi cha siku 10 huku meli nyingine ya kivita ikiwa iko njiani kuelekea eneo hilo la vita.
US military equipment pours into Israel, 45 cargo planes loaded with armaments sent to IDF
ukraine anapigana Vita na mtu anaejielewa na anabusara . Hamas wao wanafurusha maroketi sehemu yeyote na kuteka wazee, watoto n. k,Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Ukipigana na mbabe hutakiwi kupigana kama unapigana ndondi chini ya WBC.ukraine anapigana Vita na mtu anaejielewa na anabusara . Hamas wao wanafurusha maroketi sehemu yeyote na kuteka wazee, watoto n. k,
Hebu pita pale kwa mnama upate kilo moja na faru john, nakuja kulipaMkuu, kwani unadhani hawajui?? Wanatafuta gear ya kuonewa huruma eti hospitali, shule, misikiti na blaa-blaa nyingi. Majengo na miundo mbinu yoyote hujengwa au huweza kukarabatiwa lakini Uhai hautengenezwi, haununuliwi bali hulindwa kwa gharama sana.
Kwa hiyo ni kweli kwa mfano mwizi anayefukuzwa halafu akarukia ndani uani kwa mtu, watu wenye hasira kali huweza kuvunja geti ili wampate "mtu wao". Je, wewe unalalamika geti limevunjwa au unamtoa haraka ili kuepusha maafa zaidi?
= Mashimo yako chini ya ardhi, unaondoa kwanza nyumba✅✔️
Yani Israel wapi kapiga silaha mbona hutujaona hata bastola, tunaona anavunja majumba, shule, misikiti, makanisa na Hospital sa huyu Israel anabusara au akili zako zimepinda.ukraine anapigana Vita na mtu anaejielewa na anabusara . Hamas wao wanafurusha maroketi sehemu yeyote na kuteka wazee, watoto n. k,
Sa vipi.missile zitoke chini ya majumba au hospital hivi uliwahi kuishi hospital za wajinga auMashimo yako chini ya ardhi, unaondoa kwanza nyumba
Huko Syria si ndiko kwenye kambi za kijeshi za MarekaniMashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.
Kwa hiyo Mungu anasapoti Wapalestina kuuawa, n Mungu wa Israel pekee na sio Mungu wa Afrika, ....Israeli ni taifa jingine toka zamani za kale. Taifa dogo chini ya Daudi walimuua Goliathi, na majeshi yakakimbia mbele yake. Na chini ya ufalme wa Daudi, wafilisti na mataifa mengine yalipigwa vibaya sana. Leo hii, chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu, Gaza wanapigwa vibaya sana na bado moto unaendelea hadi kipindi cha mpinga Kristo ambapo itapigwa vita ya mwisho itayomaliza ulimwengu huu.
Tuzungumze au tujikite katika hoja ya Israel kufanya mashambulio huko Syria kwa madai kwamba Syria inaunga mkono kundi la HAMAS. Hayo mengine hayatuhusu kwa sasa.Huko Syria si ndiko kwenye kambi za kijeshi za Marekani
Hasira za nini kiongozi; are you part of the cinflict - mimi na ijinga wangu sina guts za kus - side upande wowoteSa vipi.missile zitoke chini ya majumba au hospital hivi uliwahi kuishi hospital za wajinga au