Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Mkuu, kwani unadhani hawajui?? Wanatafuta gear ya kuonewa huruma eti hospitali, shule, misikiti na blaa-blaa nyingi. Majengo na miundo mbinu yoyote hujengwa au huweza kukarabatiwa lakini Uhai hautengenezwi, haununuliwi bali hulindwa kwa gharama sana.Mashimo yako chini ya ardhi, unaondoa kwanza nyumba
Kwa hiyo ni kweli kwa mfano mwizi anayefukuzwa halafu akarukia ndani uani kwa mtu, watu wenye hasira kali huweza kuvunja geti ili wampate "mtu wao". Je, wewe unalalamika geti limevunjwa au unamtoa haraka ili kuepusha maafa zaidi?
= Mashimo yako chini ya ardhi, unaondoa kwanza nyumba✅✔️