Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Kelele zetu hazisaidii, Cha msingi tuombe yasitutokee sisi ila wao tuache watwangane Hadi atakayeshindwa aombe poo!
 
Kinachoendelea Huko Ni Kibaya Hasa Kutaka Kufuta Taifa
Watu Wanauwawa Tu Kwa Wingi Namna Hiyo. Dunia Imepatwa Na Nini Tena
Mamlaka Zipo Kimya Watu Wanakufa
 
Ukiona dini unatakiwa uipambanie kwa kuuwa watu achana nayo , siungi mkono kuuwa watu kwa namna yoyote ile
Mungu wakusaidiwa na wanadamu huyo mimi simtaki.
Mungu huwa anajitrgemea kwa nguvu na uweza, ninsmwamini Mungu mwenye nguvu zote sio wa kusaidiwa na kupiganiwa
 
Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo
Hili ndilo jambo linalopaswa kuwa mjadala. Gaza walipewa huduma zote na Israel: chakula, maji na nishati. Wakajenga miji vizuri tu na ukawepo utulivu. Ajabu ni kwamba hawakuthamini hilo
 
Israeli ni taifa jingine toka zamani za kale. Taifa dogo chini ya Daudi walimuua Goliathi, na majeshi yakakimbia mbele yake. Na chini ya ufalme wa Daudi, wafilisti na mataifa mengine yalipigwa vibaya sana. Leo hii, chini ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu, Gaza wanapigwa vibaya sana na bado moto unaendelea hadi kipindi cha mpinga Kristo ambapo itapigwa vita ya mwisho itayomaliza ulimwengu huu.
Vita ya gogu wa magogu na Israel itakuwa lini baada au kabla ya unyakuo?
 
Kelele zetu hazisaidii, Cha msingi tuombe yasitutokee sisi ila wao tuache watwangane Hadi atakayeshindwa aombe poo!
Wewe inaonuesha hujui historia . Dunia nzima ni kama mtaa , Ambapo nchi ni majumba . Na wote ni jirani, unaweza kuwa chongo kuwa huoni kinachoendelea, lakini majumba yote huathirika inapoungua jumba Moja. Kinachotuunganisha sisi sote ni kabila , dini na ubinadamu tulionayo , kama hutajiandaa utaonaa inafika kwako , watoto wa Israel wamefika Kenya, Somali wamatumia jina kama alshabab na hk. So kama hujajianda unakuta wanafika tz. Na jinsi ya kuweza kuepuka na tatizo ni kusimamia haki popote ili iweze haki kuenea huko, kwakuwa kama dhulma ikishinda huko itaenea kama corona .
 
Moderators nawaaminia kwa ubora wa kazi zenu tokana na hii habari.
Moderator wao wakiona mkristo anatuka waislam kawaida na wakiona Muislam anaongea ukweli kuhusu ukristo ndo wachukue action 😂

Nyie sikila siku mnatukana Waislam humu, au Waislam wao wamekuwa kama watu wa Gaza wakiuliwa civilian tunawau Hamasi wakiambiwa ingieni basi Gaza ohh Hamasi wako kwenye mashimo haha 😂

Kweli Yesu hajakosea kuwaita kondoo walio protea.
 
Bado tu hujauona uteule wake? Si ndio kama hivi, ka nchi kadogo lakini watu wanaishia tu kutishia kukapiga, lakini hawajaribu!
1. Hana uteule, kama uteule asingehangaika miaka 75 na bado anahangaika .
2. Wote wanasema tu , Lakini ni Iran peke ambayo inayoogopwa na Wana israel.
3. Wanatishia wengi lakini wanayestahiki kupigania haki yao ni wapalestina wenyewe.
4. Siku Israel ikianza kupokea wanajeshi wa nje , siku hio Israeli itakitana na Hizbollah na Iran mbele yao kusapoti Palestine.
5. Wana israel wanajitambua kuwa wao peke yao ni wanadaamu na wote ni wanyama .

Somea kuhusu uzayuni baadae angalia na fahamu .
 
1. Hana uteule, kama uteule asingehangaika miaka 75 na bado anahangaika .
2. Wote wanasema tu , Lakini ni Iran peke ambayo inayoogopwa na Wana israel.
3. Wanatishia wengi lakini wanayestahiki kupigania haki yao ni wapalestina wenyewe.
4. Siku Israel ikianza kupokea wanajeshi wa nje , siku hio Israeli itakitana na Hizbollah na Iran mbele yao kusapoti Palestine.
5. Wana israel wanajitambua kuwa wao peke yao ni wanadaamu na wote ni wanyama .

Somea kuhusu uzayuni baadae angalia na fahamu .
Kama si mteule, basi hakuna haja ya kulalamika kwa kinachoendelea Gaza
 

View: https://youtube.com/shorts/A0nm0ZkOVCU?si=OWU_d-omk8--ATyq

Dunia nzima watu wenye akili wameisha fahamu Israel na America na Europe sio wote ni Muingereza, Faransa na Mjeruman ndio balaa ya hi dunia.

Je anacho ongea huyu balozi wa South Afrika, Taifa la shetani na US watakubali haki itendeke?

Israel ingekuwa taifa teule kama wanavyo sema vichaa wengine humu silingefata haki hivi mungu wa bibilia zenu, taifa lake ndio liwe above the law, kweli huyu mungu wa bibilia lazima awe kachanganyikiwa kusema Israel ni taifa lake 😂
 
Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo
Wangekuwa na amani wala wasingewaza kupambana na Israel.Siku zote ni mabomu tu.Wewe unaishi dunia gani
 
mtaelewa tu bado hizo ni mvua za rasha rasha ,kumbukeni hatukuwatuma muuwe rai wetu target yetu ni huyo bwana wenu Iran hapo bado tunatest mitambo tu
 
Ujui unacho pigania unasema urusi wakati anabomoa mpaka nyumba za raia bila sababu...........wewe uangalii tv kwako? Na kuhusu hili la Israel na Palestine.........serikali ya chama cha mahamod Abbas inatakiwa kuwadhibiti hamas ili Israeli isitishe kupiga mabomu.......ndio tena bila kupepesa macho .........wale wajamaa wanatia huruma kuwa wanaonewa lakini ujasema kama mwisho jana usiku nilikuwa naangalia Al Jazeera walikuwa wanarusha mabomu kutoka gaza kwenda Israel pamoja na kupigwa kipigo cha paka jizi........wale wanapenda kufa ............badala watulie kwanza hata kama wana magomvi makubwa wanajifanya bado viburi ........sasa watachapika mpaka wanyee
Hizo siasa za kumtaja Mahamoud Abbas kila mmoja ameshajua ujanja wao.Walimmaliza Yasser Arafat kwa hila na huyu babu tayari wamemuweza.Hana mamlaka yoyote kwa wapalestina.Wanampa kwa mkono wa kushoto wanachukua kwa mkono wa kulia.
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Kwa hiyo mrusi kwenye vita unahis unavunja miti ya misituni tu???? Kama hujui kitu/vitu tafuta literatures zitakueleza.
Vita ni vita tu mkuu, kwa nn huwalaumu HAMAS kwa kuendelea kuwashikilia mateka ambao wamewateka????
Unahis Israel anapoendelea kulipua sehem flan unahis hana intelejensia ambayo inaelekeza sehem ya kupiga??? HAMAS wanajificha kwenye maeneo ya watu kwa kutumia kama kinga yao dhidi ya mashambulizi
 
Bro hapo hakuna tofauti na hili" mtu anaua watu tena sokoni anasa Mungu ni mkubwa, hao ni wajinga siyo

Unakuta mtu ana akili zake timamu anaua watu sokoni kwa kujilipua nasema Mungu mkubwa!
Ni mandiko tu hao wanaosema hivyo na hao wanaua watu kwa jina la Mungu . Au unasemaje wewe usiye na akili!
Mimi ndio maana huwa nasema waislamu akili hamna wanaongozwa na mihemko,jazba na kulia kwa lengo la kuonewa huruma,magaidi ya kiislamu yakiwa yanaua watu na kuchinja hawapazi sauti za kukemea
 
Hili ndilo jambo linalopaswa kuwa mjadala. Gaza walipewa huduma zote na Israel: chakula, maji na nishati. Wakajenga miji vizuri tu na ukawepo utulivu. Ajabu ni kwamba hawakuthamini hilo
Mm hilo nilikuwa silijui kumbe Israel aliwasadia sana wagaza. Lakini walishindwa kushukuru.
 
Mm hilo nilikuwa silijui kumbe Israel aliwasadia sana wagaza. Lakini walishindwa kushukuru.
1697980820011.png
 
Back
Top Bottom