Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mungu huyo Hayupo.Acha ujinga wewe,Mungu hana hasara na watu,Mungu anatembea kwenye njia zake.
Hizo ni propoganda za Western ikiwa waliweza kuzua Hamasi kapiga Hospital au kachinja watoto si ajabu kusema Mrusi kubomoa mjiUnajua Urusi alichokifanya Bucha, Bahmut na Mariopol?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wakati ule kulikuwa na MEDIA zaidi ya Western Media ndio zinazo toa habari lazima waseme Israel yuko peke yake.mwaka 1967 wewe mwandishi ulikuwa na umri gani? mpigie simu hayatola komein akuambie mataifa 16 ya kiarabu yalipomshambulia Israel nani aliibuka mshindi na adhabu alowapa waaarabu ya kuteka ardhi zao mpaka wampigie magoti ili wazipate
Yees! Israel taifa teule πͺπͺπͺUnakuta MTU na akili zake timamu anakuambia Israeli taifa teule ,How!
Duuh kavaa mtandio kabisa
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
wajomba zako Hamas hao wame chimba mashimo chini ya shule ya chekechea na kufurumushia marocket yao wakilambwa na Mk-84 mna kuja kulia lia hapa hii ni genocideHio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Naunga mkono,,israel anapigwa sana huko,hali yake ni Tete kabisaHawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.
Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza
Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.
Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi
View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p
Mwana kulitafuta mwana kulipata.Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.
Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya wapalestina 12 pamoja na uharibifu mkubwa wa msikiti na nyumba za jirani
Mashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.
Wanadiplomasia wanaojihusisha na masuala ya Mashariki ya Kati wamesema mashambulizi hayo yanatoa mtihani mkubwa kwa mikataba iliyofanya Israel na mataifa ambayo wanaitetea Palestina,
Marekani nayo imeshusha shehena kubwa ya silaha kwa jeshi la IDF la Israel kutoka ndege za mizigo zisizopungua 45 katika kipindi cha siku 10 huku meli nyingine ya kivita ikiwa iko njiani kuelekea eneo hilo la vita.
US military equipment pours into Israel, 45 cargo planes loaded with armaments sent to IDF
".......ule uchokozi walofanya wao wameona ni mzuri ila sasa kipigo wanachopata wanakimbilia kwa mashabiki wao duniani kote kutaka suppoti".hawa jamaa viongozi wao wamesoma elimu ya dini na sio elimu dunia. sasa wamehitimu chuki ya kidini kwa wayahudi kupita kiasi. ule uchokozi walofanya wao wameona ni mzuri ila sasa kipigo wanachopata wanakimbilia kwa mashabiki wao duniani kote kutaka suppoti.
wajomba zako Hamas hao wame chimba mashimo chini ya shule ya chekechea na kufurumushia marocket yao wakilambwa na Mk-84 mna kuja kulia lia hapa hii ni genocide
Hiyo ndo gharama ya kujitia ubabe ilhali hujamsoma vizuri huyo wanayemuita Adui(Israel). Safari hii ataineutralise HAMAS na pengine Palestina haitakaa irudie tena kuwakaribisha hayo makundi ya kigaidi nyumbani kwake eti ili wamsaidie kumpiga Israel kwa shinikizo la udini na madai ya kuikomboa ardhi yao.mwaka 1967 wewe mwandishi ulikuwa na umri gani? mpigie simu hayatola komein akuambie mataifa 16 ya kiarabu yalipomshambulia Israel nani aliibuka mshindi na adhabu alowapa waaarabu ya kuteka ardhi zao mpaka wampigie magoti ili wazipate
Sikushangai ndivyo mlivyo Kama Bwana Yesu alivyosema hiyo ni zawadi mumepewa ya kuwa mashoga
Jesus said some are born gay.
Here Jesus refers to "eunuchs who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the ancient world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.
Ki vipi mkuu?Na hawa mabwana zako wanaweweseka mchana na kupiga makelele
We unadhani kuvunja hayo majumba ana taka kubalance eti askari zake walio uliwa 5000 na zaidi plus 1250 ni vilema kabisa πNaunga mkono,,israel anapigwa sana huko,hali yake ni Tete kabisa
tuliza kinyeo iko dogo kombora lipite apo ndukun! mwakoNa hawa mabwana zako wanaweweseka mchana na kupiga makelele
Walichokoza mkorofi zaidi yao na sasa hawaamini kinachotokea.Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo.
Tuliwaambia mapema huyo Israel hachokozwagi kihuni hamkusikia
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.