Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

mwaka 1967 wewe mwandishi ulikuwa na umri gani? mpigie simu hayatola komein akuambie mataifa 16 ya kiarabu yalipomshambulia Israel nani aliibuka mshindi na adhabu alowapa waaarabu ya kuteka ardhi zao mpaka wampigie magoti ili wazipate
Wakati ule kulikuwa na MEDIA zaidi ya Western Media ndio zinazo toa habari lazima waseme Israel yuko peke yake.

Ikiwa sasa hivi wanasema Israel anapiga silaha za Hamasi hatujaona hata bunduki kwenye hayo majumba 😂
 
Sikushangai ndivyo mlivyo Kama Bwana Yesu alivyosema hiyo ni zawadi mumepewa ya kuwa mashoga

Jesus said some are born gay.
Here Jesus refers to "eunuchs who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the ancient world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.

Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.

Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.

Tulia Dawa iwaingie. Mlichokoza moto wenyewe
 
wajomba zako Hamas hao wame chimba mashimo chini ya shule ya chekechea na kufurumushia marocket yao wakilambwa na Mk-84 mna kuja kulia lia hapa hii ni genocide
 
Attachments

  • IMG_20231023_091013.jpg
    IMG_20231023_091013.jpg
    232.4 KB · Views: 1
Hawa wakristo akili hawana mtu anayesema Mungu ni binadamu mnadhani yuko sawa.

Israel hi vita hashindi hata avunje majumba yote ya Gaza

Nakuhakikishia Israel anatufuta njia ya kuomba vita iishe yeye na Amerika, lakini hawana jinsi wanaona aibu kusema vita hi tusimamishe sababu aliahidi lazima awamalize Hamasi.

Msikie huyu Gen wa US amesema Israel hawezi wapiga Hamasi hata kwa miaka 18 ni kichaa, nyie ndio mna akili kuliko yeye. Hata kama kuna mengine anaongea uwongo lakini ukweli Israel hawezi pigana na Hamasi

View: https://youtu.be/gPgDFHacUG4?si=QBkiXlCcfHL0mg8p

Naunga mkono,,israel anapigwa sana huko,hali yake ni Tete kabisa
 
Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi.

Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya wapalestina 12 pamoja na uharibifu mkubwa wa msikiti na nyumba za jirani

Mashambulio mengine kama hayo yameendelea kule nchini Syria ambako Israel inasema nchi hiyo inaiunga mkono Hamas.

Wanadiplomasia wanaojihusisha na masuala ya Mashariki ya Kati wamesema mashambulizi hayo yanatoa mtihani mkubwa kwa mikataba iliyofanya Israel na mataifa ambayo wanaitetea Palestina,

Marekani nayo imeshusha shehena kubwa ya silaha kwa jeshi la IDF la Israel kutoka ndege za mizigo zisizopungua 45 katika kipindi cha siku 10 huku meli nyingine ya kivita ikiwa iko njiani kuelekea eneo hilo la vita.

US military equipment pours into Israel, 45 cargo planes loaded with armaments sent to IDF

Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
hawa jamaa viongozi wao wamesoma elimu ya dini na sio elimu dunia. sasa wamehitimu chuki ya kidini kwa wayahudi kupita kiasi. ule uchokozi walofanya wao wameona ni mzuri ila sasa kipigo wanachopata wanakimbilia kwa mashabiki wao duniani kote kutaka suppoti.
".......ule uchokozi walofanya wao wameona ni mzuri ila sasa kipigo wanachopata wanakimbilia kwa mashabiki wao duniani kote kutaka suppoti".
Walijisahau -Hawakuomba walau ka-ushauri kwa hao mashabiki wao duniani kote endapo watataka sapoti pindi mambo yakiwaendea mrama. Matokeo yake sasa hao mashabiki wanasuasua kutoa support kwani wanaujua mtanange wa Myahudi - haangalii makunyanzi. Ni kisago tu. HAMAS ameshajua alikuwa hajui Muisraeli kipondo chake ni balaa. 🔨 Sasa wananyweshwa dawa💉💉💉 halafu wanalialia. Wasubiri dawa iwaingie vizuri.
 
wajomba zako Hamas hao wame chimba mashimo chini ya shule ya chekechea na kufurumushia marocket yao wakilambwa na Mk-84 mna kuja kulia lia hapa hii ni genocide

Na hawa mabwana zako wanaweweseka mchana na kupiga makelele
 
mwaka 1967 wewe mwandishi ulikuwa na umri gani? mpigie simu hayatola komein akuambie mataifa 16 ya kiarabu yalipomshambulia Israel nani aliibuka mshindi na adhabu alowapa waaarabu ya kuteka ardhi zao mpaka wampigie magoti ili wazipate
Hiyo ndo gharama ya kujitia ubabe ilhali hujamsoma vizuri huyo wanayemuita Adui(Israel). Safari hii ataineutralise HAMAS na pengine Palestina haitakaa irudie tena kuwakaribisha hayo makundi ya kigaidi nyumbani kwake eti ili wamsaidie kumpiga Israel kwa shinikizo la udini na madai ya kuikomboa ardhi yao.
Siungi mkono wala siipendi vita kamwe lakini kitendo cha kufanya ambush kwa Israeli kilichofanywa na kundi la HAMAS kilikuwa ni kibaya sana.
Wapalestina na Waarabu wenzake Watulie kwanza wamwache Israel atoe usongo kwa HAMAS.😎
 
Sikushangai ndivyo mlivyo Kama Bwana Yesu alivyosema hiyo ni zawadi mumepewa ya kuwa mashoga

Jesus said some are born gay.
Here Jesus refers to "eunuchs who have been so from birth." This terminology ("born eunuchs") was used in the ancient world to refer to homosexual men. Jesus indicates that being a "born eunuch" is a gift from God.

View: https://youtube.com/shorts/_JZwtSJl_mI?si=64Ti01B4CdzmqcbA

Cc Lucha adriz Alwaz Adiosamigo Ritz Mrs Besyige mrangi raraa reree Extrovert incharge
 
Naunga mkono,,israel anapigwa sana huko,hali yake ni Tete kabisa
We unadhani kuvunja hayo majumba ana taka kubalance eti askari zake walio uliwa 5000 na zaidi plus 1250 ni vilema kabisa 😂

Super power wenu hakuna aliye salimika ila wale walikimbilia chooni kujificha 😂

Hata Israel auwe vipi raia wasio na hatia pale Gaza ni tofauti kuwauwa askari kwenye kambi nne ni kipigo kikubwa sana.

Afu wamechukua wale Majenarali wote kwenye hizo kambi 😂

Amerika na Europe walipoteza pesa nyingi sana kuifanya Israel aonekane super power ameaibishwa masaa mawili tu 😂

Jeshi la Israel wamepata kichaa imebidi America apeleke askari 2000 eti ndio wao watangulie mbele kwenye ground war.

Walingia jana jeshi la Israel kutest waliwacha vifaru viwili na caterpillar lao chezea Hamasi 😂

Afu huyo Sisi Rais wa Misri angekuwa si kibaraka Israel ingepata shida sana kwenye hi vita.

View: https://youtu.be/QiCfZlk0LK8?si=Ch-5b742sbBhHmdW

Wanaume wapo kazini leo hio
 
Tuliwaambia mapema huyo Israel hachokozwagi kihuni hamkusikia
" Kazi ya kusamehe magaidi ni ya MUNGU , kazi ya kuyapeleka magaidi Kwa Mungu ni ya Israel" waziri wa ulinzi wa Israel.
 
Attachments

  • 7145e3c0-0ee4-434a-9e32-626d8d52e548.mov
    6.2 MB
Back
Top Bottom