Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Mzee naona umeamua kujidunga nusu kaputi kuhusu Urusi anavyoharibu miundommbinu na makazi Ukraine.Kwa taarifa yako Urusi anaiba mpaka michoro ya kisanaa na kiutamaduni ya Ukraine ili kufuta kabisa Historia ya Ukraine.
 
We umesahau aliye anza kushambulia civilian ni Ukraine, Mrusi alingiza vifaru vyake mpaa karibu km 40 kufika centre Kyiv siangeweza kumaliza mji mzima kwa vile vifaru.
 
Mkipigwa mnaonewa mkiachwa mnaogopwa ila wafuasi wa mudi ni punguani wa head.
 
Sio mbaya kujifariji,waulizs gaza wana haligani sasa baada ya kupitisha vijikombora vyao.
 
We umesahau aliye anza kushambulia civilian ni Ukraine, Mrusi alingiza vifaru vyake mpaa karibu km 40 kufika centre Kyiv siangeweza kumaliza mji mzima kwa vile vifaru.
Nnachojua ni kwamba vile vifaru vyote mlolongo km. 64 hakikurudi hata kimoja kilikotoka na askari waliosalia walitembea/walikimbia kwa miguu kurudi Urusi.
 
Hivi unaongea nn..? Soma ulichoandika hahah. Eti urusi hapigi vyumba za raia ulikua wapi au hukufuatilia vita vya ukraine na urusi. Aisee urusi imeharibu barabara viwanda makazi ya watu shule na hospitali kule ukraine. Acha ujjnga wa kikobaz
 
Acha ushabiki mandazi yale majumba ukraine na watu waliouawa huoni ila unaona ya waarabu tu wakoloni wa babu zako?Russia anakuwaje mfano wa ustaarabu?
 
Hawaelewi. Na walivyo wanafiki utasikia free palestina. Acha wavune wanachostahili
 
Hivi unaongea nn..? Soma ulichoandika hahah. Eti urusi hapigi vyumba za raia ulikua wapi au hukufuatilia vita vya ukraine na urusi. Aisee urusi imeharibu barabara viwanda makazi ya watu shule na hospitali kule ukraine. Acha ujjnga wa kikobaz
Hawa ndugu hawafuatilii undani wa jambo bali hukurupuka kwa maneno mengi, matusi, kejeli na kelele zisizo na mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…