Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BWANA WAKO HUYU HAPA ANAWEWESEKAtuliza kinyeo iko dogo kombora lipite apo ndukun! mwako
Ki vipi mkuu?
Ritz hupo. Kinyaa kinyaa aibu. Hii dini.
View: https://youtube.com/shorts/j3PjJ6nhQGo?si=lI1AdaVxAHZNsh8O
Hadi watoto. Yani watu wazima bila aibu wanaendekeza ushoga hadi kwa watoto? Angalia tu iyo video Aibu na kinyaa. Dah tena saudi Arabia chimbuko la uislamu.
View: https://youtube.com/shorts/DW-3Yl63MuA?si=0aZmRPuzwSRUwGDw
Hadi watoto. Yani watu wazima bila aibu wanaendekeza ushoga hadi kwa watoto? Angalia tu iyo video Aibu na kinyaa. Dah tena saudi Arabia chimbuko la uislamu.
View: https://youtube.com/shorts/DW-3Yl63MuA?si=0aZmRPuzwSRUwGDw
Tatizo la gaza amani waliyokuwa nayo walishindwa kuithamini. wakaona ni bora wakamchokoze mchokozi na madhara yake ndio hayo.
Mzee naona umeamua kujidunga nusu kaputi kuhusu Urusi anavyoharibu miundommbinu na makazi Ukraine.Kwa taarifa yako Urusi anaiba mpaka michoro ya kisanaa na kiutamaduni ya Ukraine ili kufuta kabisa Historia ya Ukraine.Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
We umesahau aliye anza kushambulia civilian ni Ukraine, Mrusi alingiza vifaru vyake mpaa karibu km 40 kufika centre Kyiv siangeweza kumaliza mji mzima kwa vile vifaru.Mzee naona umeamua kujidunga nusu kaputi kuhusu Urusi anavyoharibu miundommbinu na makazi Ukraine.Kwa taarifa yako Urusi anaiba mpaka michoro ya kisanaa na kiutamaduni ya Ukraine ili kufuta kabisa Historia ya Ukraine.
Watu wachache wanapambana na watu kibao na wanashinda. Swali jengine?Unakuta MTU na akili zake timamu anakuambia Israeli taifa teule ,How!
Hata bongo misikiti ndio wanamofanyia mafunzo ya ugaidi na kuhifadhi silaha.Msikiti ulioshambuliwa Jenin,Ukingo wa magharibi ilikuwa ni kijiwe cha magaidi/Terror Cell🤔
Mytake:Kuna dini yenyewe na ugaidi ni kama uji na mgonjwa🤔
.....
![]()
Mkipigwa mnaonewa mkiachwa mnaogopwa ila wafuasi wa mudi ni punguani wa head.Moderator wao wakiona mkristo anatuka waislam kawaida na wakiona Muislam anaongea ukweli kuhusu ukristo ndo wachukue action 😂
Nyie sikila siku mnatukana Waislam humu, au Waislam wao wamekuwa kama watu wa Gaza wakiuliwa civilian tunawau Hamasi wakiambiwa ingieni basi Gaza ohh Hamasi wako kwenye mashimo haha 😂
Kweli Yesu hajakosea kuwaita kondoo walio protea.
Sio mbaya kujifariji,waulizs gaza wana haligani sasa baada ya kupitisha vijikombora vyao.Iron dome kumbe ni mbwembwe za bure.Hamas walitumia mfumo wa kupiga kama mrusi.Unarusha kama mvua.Nyengine juu na nyengine chini.Iron dome ikipiga mahesabu kudungua ya juu za chini zinapita.Usicheze na nguvu za Mungu wa kweli.
Safari hii wakubali tu kutoa ardhi za watu au wakubali wabakie walipo na wapalestina nao waishi kwa amani.Kinyume na hivyo Jordan,Syria na Misri wakiamua kurusha vikombora vyao basi hakuna iron dome wala patriot zitakazoweza kuzidungua zote.
Nnachojua ni kwamba vile vifaru vyote mlolongo km. 64 hakikurudi hata kimoja kilikotoka na askari waliosalia walitembea/walikimbia kwa miguu kurudi Urusi.We umesahau aliye anza kushambulia civilian ni Ukraine, Mrusi alingiza vifaru vyake mpaa karibu km 40 kufika centre Kyiv siangeweza kumaliza mji mzima kwa vile vifaru.
Mmh! Mambo ya ushoga yanashabihianaje na vita au watu kuuana?
Hivi unaongea nn..? Soma ulichoandika hahah. Eti urusi hapigi vyumba za raia ulikua wapi au hukufuatilia vita vya ukraine na urusi. Aisee urusi imeharibu barabara viwanda makazi ya watu shule na hospitali kule ukraine. Acha ujjnga wa kikobazHio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Acha ushabiki mandazi yale majumba ukraine na watu waliouawa huoni ila unaona ya waarabu tu wakoloni wa babu zako?Russia anakuwaje mfano wa ustaarabu?Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini.
Au silaha ndio zipo Hospitali, makanisani, misikitini, au watoto na wanawake ndio wamezikali mtu anaye dhani Israel ndio kashinda vita ujuwe akapimwe akili hayuko sawa.
Angalia Mrusi huyo ndio anapigana vita angeweza vunja majumba ya Ukraine, lakini vita si kuvunja majumba na kuwauwa wasio na hatia.
Hawaelewi. Na walivyo wanafiki utasikia free palestina. Acha wavune wanachostahiliUjui unacho pigania unasema urusi wakati anabomoa mpaka nyumba za raia bila sababu...........wewe uangalii tv kwako? Na kuhusu hili la Israel na Palestine.........serikali ya chama cha mahamod Abbas inatakiwa kuwadhibiti hamas ili Israeli isitishe kupiga mabomu.......ndio tena bila kupepesa macho .........wale wajamaa wanatia huruma kuwa wanaonewa lakini ujasema kama mwisho jana usiku nilikuwa naangalia Al Jazeera walikuwa wanarusha mabomu kutoka gaza kwenda Israel pamoja na kupigwa kipigo cha paka jizi........wale wanapenda kufa ............badala watulie kwanza hata kama wana magomvi makubwa wanajifanya bado viburi ........sasa watachapika mpaka wanyee
Hawa ndugu hawafuatilii undani wa jambo bali hukurupuka kwa maneno mengi, matusi, kejeli na kelele zisizo na mashiko.Hivi unaongea nn..? Soma ulichoandika hahah. Eti urusi hapigi vyumba za raia ulikua wapi au hukufuatilia vita vya ukraine na urusi. Aisee urusi imeharibu barabara viwanda makazi ya watu shule na hospitali kule ukraine. Acha ujjnga wa kikobaz