Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

Mkuu umenyoosha saana. Viva kwa ujumbe huu. Unaua wasio na hatia unaenda jificha chini ya hospital na shule na nyumba za watu wanaojifanya wanaonewa kumbe wanatunza magaidi. Burn them
 
Umeandika nn..? Waomba vita iishe au ndio kwanza wapo intro hawajaanza kazi bado ujue
 
Hawa ndugu hawafuatilii undani wa jambo bali hukurupuka kwa maneno mengi, matusi, kejeli na kelele zisizo na mashiko.
Shida zile sumu wanazolishwa kule mdrasa kwao. Yaani wanaongea vitu mpaka unajiuliza hivi huyu vipi. Imagine hawa hawa wakishangilia watoto, wazee na raia wengine wa israel walipo uliwa juzi na hawa magaidi wao. Leo eti palestina anaonewa. Tena wawe jivu kabsa. Unachokoza watu afu ulalamike.
 
Israel ipi hiyo unayoiongelea? hii ya 1948(man made Israel Ashkanaz) au Ancient Israel? be specific ueleweke vizuri...
 
Mkuu umenyoosha saana. Viva kwa ujumbe huu. Unaua wasio na hatia unaenda jificha chini ya hospital na shule na nyumba za watu wanaojifanya wanaonewa kumbe wanatunza magaidi. Burn them
Eti Israeli anapiga Hospitali, Shule na nyumba za watu. Israeli sio kichaa .. anajua anachokifanya tena kwa malengo. Mbona HAMAS hawakuwa na ujasiri na kutoa maelekezo/Tamko kwa Wayahudi kwamba tutakuja (Tutashambulia ) hapo na wale Innocent people waondoke kupisha ndani ya masaa fulani? Myahudi alisema waziwazi kwamba atakuja kufanya anachokifanya. Sasa ww unakaza fuvu? Subiri upate ushahidi.......
 
Wanadhani wao ndo watu; wengine sio watu. Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu wa uchungu. Ngoja kwanza wapigwe kama ngoma ya bugobogobo akili ziwakae sawa ili wasijerudia tena ujinga huo hata siku moja.
 
Hawa watu wa ajabu. Sema hata wapige kelele israel anakunguta mpaka aridhike na uzuri wababe watampa sapoti fasta saana. Waarabu wajichanganye kiwake haswaa
 
Hawa watu wa ajabu. Sema hata wapige kelele israel anakunguta mpaka aridhike na uzuri wababe watampa sapoti fasta saana. Waarabu wajichanganye kiwake haswaa
Hahahahaa. Nawashauri Waarabu waandike majina yao kwenye vilemba au baraghashia zao ili zikiokotwa njiani/porini ijulikane kuwa Izraeli keshafanya yake. Wajue hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe lingine.
 
Hahaha hatari saana
 
Hapo anatafutwa iran tu aingie cha kike apotezwa maana ndio Taifa jeuri lililobaki hapo middle east
 
mna uhakika mnachukia kitu sahihi au tumechongwa .....imekuwaje mkachagua upande ?
Tuendelee kuchezeshwa kizombi zombi.
 
Hio si vita hio ni genocide ukita kufahamu taifa lolote ndio mwisho wake huwa linatumia mauwaji kwa watu wasio na hatia, sa Hamasi mnasema wako kwenye mashimo sa mnavunja majumba ya nini
Mashimo yako chini ya ardhi, unaondoa kwanza nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…