Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Waambie wache kujificha kwa watoto na kina mama!

Waambie nao watokee live kama wenzao tuone
 
Hata Israel itageuzwa magofu, Hizbulah wana makombora yenye uwezo mkubwa tofauti na Hamas wenye vijiroketi vya kienyeji.
Hezbollah wangekuwa vizuri kama unavyodai hapa wangekuwa wameshaichakaza Israel siku nyingi tu tangu huu mzozo uanze.

Wamekuwa wakiwavizia Idf mara chache chache na idf imekuwa ikiwapelekea moto na imewauwa wengi tu


Acheni haya mahaba yenu huku wenzenu wanahenyeka huko gaza
 
Israel haina uwezo wa kupambana na Hezbollah, Israel waendelee na covert mission zao za kuvizia wanajeshi wa Iran na wanasayansi, lakini kwenye ground hamna rangi wataacha kuiona.

We unakuwa una jeshi unajifanya eti haki za binadamu, hadi kuna wakuu wa jeshi ni gays, lazima upigwe usambae, kwanza hata Mungu mwenyewe anakulaani tu.
 
Mkuu umemaliza sina la kuongeza.
 
Israel ilichobakiza kutumia pale Gaza ni nuclear tu, mbinu zote za kivita zime fail, intelligence imefeli, morali ya askari yao imekufa, mipango yote imekwisha, Labda kama unazungumzia watumie long range ballistic missiles, sasa si kituko hiko, yaani eti unafyatua ballistic missile kutoka Temeke kuelekea Kigamboni kama si kuchanganyikiwa ni kitu gani.

Kila silaha ina matuizi yake maalumu, wakati maalumu na eneo maalumu la kuitumia, kushindwa kutumia silaha inayostahili katika wakati na eneo stahiki ndio kuchanganyikiwa na kushindwa vita.

Silaha zote na mbinu ambazo zilifaa kutumiwa Gaza zimekwisha, sikatai Israel bado ana silaha lakini sio efficient kwa matumizi pale Gaza.
 
Mkuu acha mahaba basi, kama Israel Iko vizuri USA anahangaika kuwapa msaada Kwa nini?. Inapambana nakikundi kinachorusha mawe miezi mitatu imekaribia halafu unasema haijashindwa?. Israel imetumia mabomu yenye uzito Gani mpaka Sasa Gaza kwa muda wa miezi mitatu?.

Kisha linganisha nanchi nyingine zilizoenda vitani utaona kama ISRAEL kashindwa au laa. Mengine wadau washakujibu Sina haja yakurudi.
 
Hezbollah inao uwezo wa kupigana na jeshi la Syria hii ya sasa iliyodhoofika?
Hizbullah iliisaidia sana serikali ya Syria ilipokuwa imelemewa mno na waasi mwaka 2013-2014, kabla ya Urusi kutia mguu pia mwaka 2015.

Hizbullah ina askari wenye uzoefu mkubwa, ila pia ni ukweli haina uwezo kuizidi Israel.
 
okey basi tuombe aman dunian na si gaza pekee kuna ukrain,congo,nigeria tuombe aman na tuitunze aman yetu tusiruhusu udini wala siasa kutuingiza katika vta vya wenyew kw wenyew.au unasemaje shekhe wng
 
Waambie israhell wavuke mpakua waingie upande wa Hizbullah ndio tutajua eidha wanauunguvu ama laa
sasa siku zote mwenye nguvu ndio huanza kumfuata yule asiye na nguvu na kumpiga sababu ya nguvu zake, na kama ujuavo slogan ya hezbola na iran ni kufuta israel kwenye map ya dunia, kwa hiyo sababu mnasema hezbolah wana nguvu za kutosha wao ndio waanze kufanya hivo, israel yeye hana sababu ya kugombana na mtu sabab yeye hana malengo ya kulifuta taifa lolote.. upo hapo shehe ubwabwa?
 
Enzi zimebadilika.Kwa sasa Israel hawezi kupiga wala kujitanua popote.Binadamu sasa hawapigiki kirahisi kama zamani.
 
okey basi tuombe aman dunian na si gaza pekee kuna ukrain,congo,nigeria tuombe aman na tuitunze aman yetu tusiruhusu udini wala siasa kutuingiza katika vta vya wenyew kw wenyew.au unasemaje shekhe wng
Huna ulilobakisha mzee yote umemaliza ndugu yangu
Amani amani amani
 
Kwahio hamas ina nguvu kuliko israhell maana wao ndio walianza kuwafyeka wazayuni
Iran anaifuta israhell kisayanas yaani anawapiga wakati yeye katulia barazani anakunywa kahwa
Uchumi wa iran unaendelea kama kawaida wakati israhell huko unaambiwa hali tete
 
Ukiona Israel anaomba mazungumzo na nchi wapate muafaka wa kisiasa basi ufahami hali mbaya kwake, huo ni mkwala tu anaishambulia Lebanon na yeye miji yake itachaka kwa makombora siyo mara ya kwanza vita vya mwanzo mpaka UN akaingilia kati.
Hawa kima ndio wa kupambana Iran [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama waliwaunganisha middle East yote na kuwatandika, vipi hao Lebanon
Middle East nzima ilipigwa ndani ya siku 6 mnamo mwaka 1967

2023 pamoja na usaidizi wote wa NATO sasa hivi inaelekea siku ya 90 wameshindwa kukomboa Raia wao waliotekwa na wahuni wa Ghaza eneo lisilozidi kilometa za mraba 1000, kweli Kizazi cha 1967 kimeshindwa kujizaa

Israel imekuwa kama Manchester tu inatembelea legacy

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kuwa wana drone kila jengo linatokea mbele yao ni hamasi
 
sasa kama hamas ndo ina nguvu au haina we jibu si unalo ambae anapoteza vitani ni nani? waarabu wote sasa hivi wanalia kila siku kazi ni kuandamana tu vita visimame kupigana hawawezi, GDP ya israel imeiziidi ya Iran kwa zaidi ya dola bilioni 200 sasa sijui unaongelea uchumi upi shehe ubwabwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…