Japo kila mtu ana mtazamo wake lakini saa nyingine mkuu maoni yako yanatia kinyaa.
Mpaka sasa Urusi imesha tumia tani 18000 za mabomu ndani ya Ukraine yenye jeshi lenye nguvu na yenye ukubwa wa eneo karibia na Tz kwa miaka 2, Marekani imetumia mabomu yenye uzito wa tani 28,000 nchini Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20.
Lakini mpaka sasa Israel imesha dondosha zaidi ya tani 52,000 ndani ya gaza eneo linalo zidiwa ukubwa na kigamboni ndani ya miezi mitatu tu, hayo ni mashambulizi ya kiwango cha maangamizi makubwa,kwa hiyo hoja zako ulizo ziandika hapo hazina mashiko.
Kujaribu kuaminisha watu kuwa Israel ni bora ni sawa na kupamba mavi ukitaka watu waamini kuwa ni keki,au ni sawa na kupamba uharo na uwaaminishe watu kuwa ni mayai ya kukaangwa.
Kila mtu anaona kinacho endelea gaza mpaka sasa na jeshi la Israel halina uwezo zaidi ya huu wanao uonesha gaza.
Israel ingekuwa bora kama unavyo jaribu kutuaminisha basi Marekani asingekuwa anahaha kupeleka mameli na kuzilinda meli za Israel zinazo shambuliwa na wauthi.
Hizo hadithi zenu za sijui vita ya siku 6 zimesha pitwa na wakati , hata wauthi walipigana na mataifa karibia yote kiarabu yenye kila aina ya silaha na walio kuwa wanapokea habari za kijasusi kutoka kwa Marekani na Uingereza na wakashizishinda.
Kwenye vita ya siku sita Israel haukupata upinzani wowote ule ina maana sehemu kubwa aliiteka bila upinzani wowote hivyo alinufaika na woga na Unafiki wa waarabu na mpaka sasa anaendelea kunufaika nao, kama vipi nitajie ni battle gani ya maana alisha wahi kupigana Israel mfano battle ya Maliupol na Bhakhiumut.
Hizbulah na Israel wakiingia kwenye vita ya moja kwa moja Lebanon itachakaa , lakini pia Israel nayo itachakaa maana Hizbulah haina maroketi ya kienyeji kama Hamas bali yana makombora yanayo ongozwa kwa usahihi alafu mengi, alafu hiyo Israel ilisha furushwa na hiyo Hizbulah kwenye eneo la Lebanon.