Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

Hakuna vita ngumu kama ile ya kupigana na adui ambaye havai sare, na ambaye amejichanganya na raia. Nadhani Marekani ana uzoefu wa kutosha sana kupitia ile vita yake ya miaka 1970's dhidi ya Vietnam.
 
Exactly, wale magaidi wa Hamas ni lazima waharibiwe kabisa ndio pawepo na ceasefire, kinyume na hapo Israel wajiandae siku yoyote kushambuliwa tena kwa kushtukiza kama ile October 7.

Sambaratisha kwanza hao magaidi wa Hamas wote ndio mawazo ya kuweka silaha chini yaanze kufanyiwa kazi. Magaidi wa Hamas ni tishio kwa raia wote wa ulimwengu kwani yanaua kila anaepita mbele yao, naunga mkono yaangamizwe.
Hamas ni magaidi ? toka lini ?
 
Hii issue ishakuwa ngumu kwa Netanyau mambo kama haya nchi inatakiwa kuwa na umoja, wanasiasa vigeugeu pamoja na wananchi wanafiki wachache wanamkwamisha kwenye majukumu yake kama vipi aondoe majeshi Gaza baadae watamkumbuka maana hao wapuuzi wa Hamas wasipomalizwa kamwe hawatoacha kurusha rockets.
Unawamalizaje Hamas wakati hata uhuru wa Palestine huutaki ?

Yaani unataka kumaliza Hamas hapo hapo unaona kuikoloni Palestine ni sahihi kwako unless uwe mwendawazimu ndio utafikiri Hamas itakwisha.
 
Mnyonge?Mnyonge anavamia,kuua,kutesa,kuteka,kubaka,kulawiti na kurusha viroketi?Mnyonge hutulia aonewe huruma.Mnyonge huishi na wenzie kwa amani.Mnyonge havimbishi misuli wala mishipa.To hell with wanyonge.Wanyongwe tu.
Kwamba harakati za uhuru zilizo kua zikifanywa na waafrika unasema waafrika hawakuwa wanyonge kwa wakoloni ?
 
Hamas hadi wateketezwe kabisa, ndio vita vitaisha, nimependa sana misimamo ya wayahudi, hakuna kuongea na magaidi, ni kuwateketeza, msisahau hao magaidi Hamas ndio walianzisha vita kwa kuvamia na kuua na kuteka raia wa nchi mbali mbali nchini Israel tena wakiwa katika sherehe zao, sasa kwanini vita visimame? Hadi magaidi Hamas waishe ndio vita vitaisha, yaani wao Hamas waanzishe vita alafu waombe vita viishe? Vita vitaisha hadi Hamas waishe, huo ndio msimamo wa Serikali ya Netanyahu, excellent..!!

Hamas must be destroyed first kabla ya vita kumalizika, Netanyahu said many times..!!
Kwamba Israel itamaliza Hamas kwa kuuwa wapalestine hapo unaangamiza Hamas au unachochea chuki zaidi juu yako ?

Vitu vingine vinahitaji akili ndogo tu kutambua ukifanyacho ni sahihi au si sahihi.
 
Hao wanawake na watoto wanaouliwa ni kwasababu huwaruhusu magaidi wa Hamas wajifiche kwenye makazi yao, Israel walishawahi kutoa mpaka ultimutum kuwataka raia waondoke maeneo ambayo wangeshambulia kabla hawajaanza kushambulia, nia yao njema inaonekana wazi kabisa.
Kwamba kitoto kichanga kuwa hospital ni kosa kwake ?

Kichwani umebeba akili au kinyesi ?!.

Hao IDF si walisema Raffah ni safe area inakuwaje wanaipiga mabomu tena ?
 
Kwamba kitoto kichanga kuwa hospital ni kosa kwake ?

Kichwani umebeba akili au kinyesi ?!.

Hao IDF si walisema Raffah ni safe area inakuwaje wanaipiga mabomu tena ?
Vibaka wenzio wapo pale.Lazima wanyukwe sana hadi adabu iwarudi.
 
Hakuna vita ngumu kama ile ya kupigana na adui ambaye havai sare, na ambaye amejichanganya na raia. Nadhani Marekani ana uzoefu wa kutosha sana kupitia ile vita yake ya miaka 1970's dhidi ya Vietnam.
Vita yoyote ile inayohusu ukoloni na ukombozi sio rahisi kuishinda na ndicho anacho pambana nacho Israel kuzuia ukombozi kwa mabavu.

Hana support yoyote ile ya raia wa Palestine kuunga mkono udhalimu wake.

Ingekuwa vita dhidi ya ugaidi angeshinda lakini vita dhidi ya ukombozi hawezi shinda kamwe anapoteza muda tu hapo Gaza.
 
Palestinians wanajikomboa na nini wewe?Umezaliwa lini wewe?Hebu tulia unywe maji kwanza.
 
Back
Top Bottom