Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

1. We Binti nakuuliza hivi Kwa ubinafsi wako hii nchi ingekuwa huru Leo?

2. Kama Nyerere angekuwa kama wewe angepigana kokote kusini mwa afrika?

3. Kama wewe nani atadai Katiba mpya?

4. Kama wewe si heri ya mbuzi ukimchinja utapata japo mchuzi?

Shangazi, you don't know what you're talking about. Kitulize.
 
Unafikiri hii itasaidia nini kwa wagaza ukweli ni kwamba mpaka aamue israel na mshirika wake kumaliza vita lakini hizo kula ni faraja tu ground tabu leleee

Hqpqna mkuu kutambuana ni hatua muhimu sana. Sasa inajulikana gaidi ni nani. Ndiyo maana hata yakitokea mapinduzi kutambuliwa na wengine si jambo dogo.
 
Uhuru wa kuwaondoa wayahudi kwenye aridhi ya mababu zao na sehemu walipozaliwa,,,,wayahudi sio wakoloni,,,pale ni kwao na wapo pale forever..
Usichanganye mada

TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI..
TENA UNAFIKI WA HISTORIA YA WAYAHUDI..
Upumbafu ni mzigo. Kwahiyo pale wapalestina sio kwao? Ni nani anayekataa two states solution? Ni nani anayebomoa makazi ya wakazi na kupanua eneo lake kila kukicha? Unajua mipaka ya nchi ya Israel iliyowekwa na kutambuliwa na umaja wa mataifa? Please kwenye haki, ongelea haki, usipende kuingiza udini kwenye haki kwani kujitia upofu kwenye haki ni kujizurumu mwenyewe
 

Akikuelewa yeye au huyu mwoshwa bongo (MK254) au wa namna hiyo usiache kutupa mrejesho
 
Akikuelewa yeye au huyu mwoshwa bongo (MK254) au wa namna hiyo usiache kutupa mrejesho

Mnabanwa hata huku Afrika
 

Jikite kwenye mada. Kuhusiana na hao ikikupendeza, usome huku:

Napinga masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa
 
Unajua maana hoja kujibiwa kwa hoja?

Kwa mwezi mmoja nitakua nasoma hii link, maana imenifurahisha sana kwa kuona Afrika tumekataa huo upumbavu wenu Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Pia huku kuna mengine yanaendelea kufurahisha

 
Waswahili na Porojo ni pete na kidole. Hapa ndio utajua kwanini umaskini umetutafuna, kila jumba na kibaraza cha umbea na kupepeta mdomo. Yasiyo tuhusu tunayashadadia ya kwetu twaweka kando

Wale ni ndugu zetu, tuna haki kuwatetea

Kama inakuuma, pita pembeni
 

 



Colonel mmoja akifa kwenye mapigano wamekufa wangapi chini yake?
 
Maamuzi yoyote ya UN hayawezi kuwa na nguvu kama US haitaunga mkono kwa 100%.
Sasa hapo jibu si ni kwamba hiyo UN ni kivuli tu cha US? Uwepo wake unasaidia nini sasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…