Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

1. We Binti nakuuliza hivi Kwa ubinafsi wako hii nchi ingekuwa huru Leo?

2. Kama Nyerere angekuwa kama wewe angepigana kokote kusini mwa afrika?

3. Kama wewe nani atadai Katiba mpya?

4. Kama wewe si heri ya mbuzi ukimchinja utapata japo mchuzi?

Shangazi, you don't know what you're talking about. Kitulize.
 
Unafikiri hii itasaidia nini kwa wagaza ukweli ni kwamba mpaka aamue israel na mshirika wake kumaliza vita lakini hizo kula ni faraja tu ground tabu leleee

Hqpqna mkuu kutambuana ni hatua muhimu sana. Sasa inajulikana gaidi ni nani. Ndiyo maana hata yakitokea mapinduzi kutambuliwa na wengine si jambo dogo.
 
Uhuru wa kuwaondoa wayahudi kwenye aridhi ya mababu zao na sehemu walipozaliwa,,,,wayahudi sio wakoloni,,,pale ni kwao na wapo pale forever..
Usichanganye mada

TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI..
TENA UNAFIKI WA HISTORIA YA WAYAHUDI..
Upumbafu ni mzigo. Kwahiyo pale wapalestina sio kwao? Ni nani anayekataa two states solution? Ni nani anayebomoa makazi ya wakazi na kupanua eneo lake kila kukicha? Unajua mipaka ya nchi ya Israel iliyowekwa na kutambuliwa na umaja wa mataifa? Please kwenye haki, ongelea haki, usipende kuingiza udini kwenye haki kwani kujitia upofu kwenye haki ni kujizurumu mwenyewe
 
Upumbafu ni mzigo. Kwahiyo pale wapalestina sio kwao? Ni nani anayekataa two states solution? Ni nani anayebomoa makazi ya wakazk na kupanua eneo lake kila kukicha? Unajua mipaka ya nchi ya Israel iliyowekwa na kutambuliwa umaja wa mataifa. Please kwenye haki, ongelea haki, usipende kuingiza udini kwenye haki kwani kujitia upofu kwenye haki ni kujizurumu mwenyewe

Akikuelewa yeye au huyu mwoshwa bongo (MK254) au wa namna hiyo usiache kutupa mrejesho
 
Akikuelewa yeye au huyu mwoshwa bongo (MK254) au wa namna hiyo usiache kutupa mrejesho

Mnabanwa hata huku Afrika
 
Mnabanwa hata huku Afrika

Jikite kwenye mada. Kuhusiana na hao ikikupendeza, usome huku:

Napinga masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa
 
Unajua maana hoja kujibiwa kwa hoja?

Kwa mwezi mmoja nitakua nasoma hii link, maana imenifurahisha sana kwa kuona Afrika tumekataa huo upumbavu wenu Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Pia huku kuna mengine yanaendelea kufurahisha

WhatsApp_Image_2023-12-12_at_19.41.44.jpeg
 
Waswahili na Porojo ni pete na kidole. Hapa ndio utajua kwanini umaskini umetutafuna, kila jumba na kibaraza cha umbea na kupepeta mdomo. Yasiyo tuhusu tunayashadadia ya kwetu twaweka kando

Wale ni ndugu zetu, tuna haki kuwatetea

Kama inakuuma, pita pembeni
 
Kwa mwezi mmoja nitakua nasoma hii link, maana imenifurahisha sana kwa kuona Afrika tumekataa huo upumbavu wenu Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Pia huku kuna mengine yanaendelea kufurahisha

WhatsApp_Image_2023-12-12_at_19.41.44.jpeg

3257399876581579202.jpg.png
 
Kwa mwezi mmoja nitakua nasoma hii link, maana imenifurahisha sana kwa kuona Afrika tumekataa huo upumbavu wenu Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Pia huku kuna mengine yanaendelea kufurahisha

WhatsApp_Image_2023-12-12_at_19.41.44.jpeg

Screenshot_20231213-210527~2.jpg

Colonel mmoja akifa kwenye mapigano wamekufa wangapi chini yake?
 
Back
Top Bottom