Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Serikali inayoshindwa kumlinda kiongozi wake mkuu Haina uimara wowote
Ayatollah ameharibu Iran Kwa chuki na itikadi zake za ovyo

Mipasho alikuwa nayo Ayatollah Khomeini kilichompata hata huko kuzimu anahadithia

Serikali ya Iran imezidiwa Hadi na wadudu wanaolinda Malkia wao Kwa gharama yoyote

UMsikilizeni Dr Sule achaneni mashekh wasio na Elimu
Ayatollah alisema haina maana yeye kupata ulinzi wa kipekee na tofauti na raia wake, na alisema kiongozi ambae hafahamu na wala hapitii yale wanapitia wananchi wake huyo si kiongozi.

Netanyahu mwanae yupo US anakula maisha, vijana wa rika lake (30s) wapo front kupigana na HEzbplah, Netanyahu yupo shimoni nyuma ya concrete imara na kila aina ya ulinzi ikiwemo vifaa vya kiteknolojia.

Uongozi wa Iran na nchi za magharibi una tofauti sana, kwa falsafa za Ayatollah imepelekea hata makamanda wa jeshi la IRGC wawe front na kuwa mfano kwa wanavyojituma, kitu kilichopelekea wao kuwa easy target kwa MOSSAD na mapandikizi ya MOSSAD.

Ujinga ni pale Netanyahu na washenzi wenzake walipofikiri kwa sababu tu makamanda wa jeshi na viongozi wa Iran ni easy target basi hata kuiangusha Iran ni rahisi, ndipo hata wewe akili zako zinakutuma.

Hivi sasa hakuna silaha zinatafutwa kwa hali na mali na jeshi la US na IDF kama missiles za Iran zilizopo chini ya ardhi, na bado hawajazipata, Unafikri Ayatollah angekuwa mbinafsi kama Netanyahu angeshindwa kutengenezewa sehemu salama ya kujihifadhi kama walipo weka hayo makombora ?.

Suala la mipasho hakuna rais anamzidi Trump, nadhani hilo unaelewa...
 
✡️💥 US-Israeli strikes target Iran’s oil infrastructure

US-Israeli airstrikes have hit an oil refinery south of Tehran, with additional attacks targeting Iranian oil storage facilities, Quds reported.
 

Attachments

  • VID_20260307_230057_365.mp4
    4.5 MB
  • VID_20260307_230054_308.mp4
    6.3 MB
✡️💥 US-Israeli strikes target Iran’s oil infrastructure

US-Israeli airstrikes have hit an oil refinery south of Tehran, with additional attacks targeting Iranian oil storage facilities, Quds reported.
Jamaa sasa ni dalili ya kuzidiwa, wanavuka red line, tutarajie mashambulizi makali zaidi toka Iran.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran
Screenshot_20260307-230654_1.jpg
 
Jamaa sasa ni dalili ya kuzidiwa, wanavuka red line, tutarajie mashambulizi makali zaidi toka Iran.
Mkuu unaambiwa hivi mazayuni wanapigika vibaya mno na kama wasingekua wananaminya taarifa sijui tu ingekuaje lakini pia kulikua na tetesi za IRGC kutaka kumua Netanyahu maana mpaka mda huu Iran Ana idadi kubwa ya location za bunker za ndani ya isreal. Ndioo maana alivyozipiga ilikua ni kuwapa onyo na ujumbe sio tu kwa raia bali viongozi kuwa humo wanapojificha sio salama.
 
Back
Top Bottom