Serikali inayoshindwa kumlinda kiongozi wake mkuu Haina uimara wowote
Ayatollah ameharibu Iran Kwa chuki na itikadi zake za ovyo
Mipasho alikuwa nayo Ayatollah Khomeini kilichompata hata huko kuzimu anahadithia
Serikali ya Iran imezidiwa Hadi na wadudu wanaolinda Malkia wao Kwa gharama yoyote
UMsikilizeni Dr Sule achaneni mashekh wasio na Elimu
Ayatollah alisema haina maana yeye kupata ulinzi wa kipekee na tofauti na raia wake, na alisema kiongozi ambae hafahamu na wala hapitii yale wanapitia wananchi wake huyo si kiongozi.
Netanyahu mwanae yupo US anakula maisha, vijana wa rika lake (30s) wapo front kupigana na HEzbplah, Netanyahu yupo shimoni nyuma ya concrete imara na kila aina ya ulinzi ikiwemo vifaa vya kiteknolojia.
Uongozi wa Iran na nchi za magharibi una tofauti sana, kwa falsafa za Ayatollah imepelekea hata makamanda wa jeshi la IRGC wawe front na kuwa mfano kwa wanavyojituma, kitu kilichopelekea wao kuwa easy target kwa MOSSAD na mapandikizi ya MOSSAD.
Ujinga ni pale Netanyahu na washenzi wenzake walipofikiri kwa sababu tu makamanda wa jeshi na viongozi wa Iran ni easy target basi hata kuiangusha Iran ni rahisi, ndipo hata wewe akili zako zinakutuma.
Hivi sasa hakuna silaha zinatafutwa kwa hali na mali na jeshi la US na IDF kama missiles za Iran zilizopo chini ya ardhi, na bado hawajazipata, Unafikri Ayatollah angekuwa mbinafsi kama Netanyahu angeshindwa kutengenezewa sehemu salama ya kujihifadhi kama walipo weka hayo makombora ?.
Suala la mipasho hakuna rais anamzidi Trump, nadhani hilo unaelewa...