Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

🤣😄😄 Ndio ujue wamezoea kudanganya watu , yaani Iran tu inawatoa jasho la Tako ndio waiguse Moscow Hawa wana Akili kweli !?
 
Acha ubishii mkuu hii vita ilisha siku ya kwanza kwa sasa yamebaki mapigano tu. Wewe hukuona Ayatolah mpya hata kujirekodi tu alishindwa ikabidi hotuba isomwe. Wewe unahakika gani kama ile hotuba ni yake? Ni kweli unaupenda uongozi wa Iran ila ki ukweli wamechapika sana hadi sasa wanatafuta huruma ya wananchi waliokuwa wanawatesa na sheria zao kali.
 

You have a right to be ignorant and imbecile, just don't flaunt it in public!
 
Vita lengo lake ni regime change,je ilifanyika hiyo regime change!?
 
Sikia Maneno haya Anakuambia Meli ilisha Zama Alafu anawaita wao wakazame naye 😂😂
🇫🇷 French General Yakovleff:

“The U.S. asks us for help and wants us to share the cost of their fiascos.

Joining Trump’s coalition today is like buying a ticket to dinner and dancing on the Titanic the evening after it hit the iceberg.”

View: https://x.com/i/status/2033762183994106308
 
Yaani Kwamba Iran anasemaje na Anamaanisha nini !!🤔🤔
🔴 🇮🇷 Iran’s Revolutionary Guards:

“We have conveyed to those who threaten us with a nuclear attack that we will respond with whatever we are threatened with.”
 
Zele wa Ukraine anipapasa Muscow kawaida TU
Kwa sasa Putin Hana maajabu
Vita ya miaka 3 inamtoa jasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…