Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Brigedia henerali Ebrahim mortazavi ambae ni kamanda wa vikosi vya basij ameuwawa leo
20260316_234052.jpg
 
💥💥💥💥
Netanyahu: watu werevu wa Iran kama ambavyo ninafanya kila mwaka ninawapongeza na kuwatakia heri ya msimu wa likizo na kwenye hii shamrashamra ya mwanga.
Hii inathibitisha Imani mliyonayo kwa muda mrefu kuwa mwanga hushinda giza
 
💥💥💥💥
Netanyahu: mwaka huu hii sherehe Ina maana tofauti, msheherekee na marafiki, familia na muwapendao
Ninachukua nafasi hii kuwataka heri ya sikukuu ya nowruz - mwaka wa Uhuru
Mwanzo wa matumaini mapya kwenu nyote rafiki zangu.
 
💥💥💥💥
Brigedia henerali Ebrahim mortazavinasab ambae ni kamanda wa vikosi vya basij ameuwawa leo
View attachment 3558805
Wewe ni Muongo huyu anaitwa ebrahim Zolfighari na hajafariki..huyu ni Spokes person wa IRGC aliye fariki sio huyu you need to filter your details to make readers enjoy the thread..
 
💥💥💥💥
Trump: Iran wanaposema "death to America" unapaswa kuwaamini sababu wangekua na nuclear wangeitumia
 
💥💥💥💥
Trump: hatutamaliza vita wili hii , lakini tutamaliza muda si mrefu. Sijui kiongozi wa kuongea nae huko Iran, kila mmoja ameshafariki
 
Back
Top Bottom