Il Padrino
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 675
- 1,604
Influence ya US imeanza kupungua au kuwa more contested kuliko zamani.
Zamani dunia baada ya kuanguka kwa USSR na kufa kwa Ukomunisti ilikuwa karibu kama US-led system.
Sasa dunia inabadilika kuwa negotiated system ambapo nchi nyingi zina nguvu zaidi ya kujadili
Baadhi ya nchi hazitikisiki sana na vitisho vya Donald Trump kama zamani.
Dunia imekuwa more multipolar
Baada ya Vita Baridi, US ilikuwa karibu superpower pekee yenye ushawishi mkubwa. Lakini sasa dunia imebadilika.
Sasa kuna nguvu nyingine kama:
China yenye economic power kubwa sana
Russia bado ipo strong kijeshi Ulaya na geopolitics za ukanda wake
India ni growing strategic power kwenye BRICS
Kwa hiyo nchi nyingi zina alternative partners. Kama zamani US ikisema “do this or else,” nchi nyingi zilikuwa na chaguo chache. Sasa zina options.
Trump mara nyingi hutumia very strong language kama vitisho, tariffs, sanctions, etc.
Lakini katika international politics, credibility ni muhimu. Nchi zinauliza:
“Will he actually follow through?”
Kama threats zinatolewa mara nyingi sana, baadhi ya viongozi huanza kuziona kama negotiation tactics badala ya hatua halisi.
Nchi nyingine pia zinaangalia political divisions ndani ya Marekani.
Wanaona Congress, Mahakama, Elections cycles na inter-Party conflicts na sera zinavyobadilika mara kwa mara
Hivyo wakati mwingine viongozi wa nchi nyingine wanafikiri:
“Policy hii inaweza kubadilika baada ya uchaguzi.” Kwa hiyo wanakuwa less reactive.
Nchi nyingi Asia, Africa, na Latin America (Global South block) sasa zinajiona sio lazima kufuata Washington kila wakati.
Kuna Trade blocs mpya , Regional alliances na Energy partnerships ambazo hazihitaji mkono wa US
Hii inawapa confidence kidogo ya kusema no.
Matokeo yake babu anabaki kulalama na kulaumu wengjne kwa vita inayomshinda