Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Katibu wa baraza la usalama Iran(Ali Larijan): ametoa wito kwa waislamu ba nchi za kiislamu
20260316_202225.jpg

20260316_202231.jpg
 
Donald Trump kuhusu makombora ya Iran:
“Wanarusha makombora mawili au matatu tu. Bado wana baadhi yake; huenda wamebakiwa na takribani asilimia 8.”

Trump alikuwa akidai kwamba uwezo wa Iran wa kushambulia kwa makombora umepungua sana, akisema mashambulizi ya Marekani yameharibu sehemu kubwa ya viwanda na vifaa vya kurushia makombora, hivyo Iran sasa inarusha makombora machache sana ikilinganishwa na mwanzo wa vita.
 
Uelewa wako mdogo sana kwenye haya mambo kwani mtu akimsaidia ndio hadi ujue wewe? Hujui siasa zinabadilika? Si huwa mnasema humu Urus na China wana msaidia Iran nyuma ya pazia ila uliwahi kuwasikia wakisema? Au wakiulizwa unadhani watakubali?
Yani hata kukujibu nashindwa,😆😆😆😆.
Sera za siasa za kikanda unazifahamu kwanza!??
NATO ni organization ya war pact,hivyo lazima itangaze inapomsaidia mshirika wake kwasababu ni international organization ya war na security pact.
China na Urusi hawana war pact wala security pact na Iran,hivyo hata wakiisaidia Iran kisiri inafaa zaidi geopolitically.
Haya yote huyafahamu.
 
Back
Top Bottom