Da Huyu jamaa Anaongea Safi hana maneno mengi ya Kuropoka kawa Upende ule
Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi:
“When we say we don’t want a ceasefire, it isn’t because we seek war. This war must end in a way that ensures our enemies never again think of repeating these attacks. They have now seen what kind of nation they are dealing with, one that will defend itself and will take this fight as far as necessary.”
View: https://x.com/i/status/2033507908961669397
Wewe Kula Matobwe tu ya Iran huyajuiHawa wanatia huruma! Kabla ya vita nchi yao ilikuwa ishakufa kiuchumi sijui saiv itakuwaje.
HIi ndio vita sasa unamtafuna adui kila angle. Nadhan raia wa Iran walio wengi wanafurahi sana wakiona hii sio kwamba kwa sababu wanaipenda Israel au Marekan ila ni kwa sababu mtesi wao wa muda mrefu naye anateswa.💥💥💥💥
Jeshi la Israel: tumeshambulia na kuharibu ndege za viongozi wa Iran.
Hii ndege ilikua inatumiwa na Khamenei na viongozi wengine wa juu wa serikali pamoja na jeshi
Ndege hizi zilikua zinatumiwa kwa ajili ya safari mbalimbali na pia ushirika kwa mchi washirika.
Pia tutashambulia magari yote yanayomilikiwa/yanayotumika na viongozi wa serikali
View attachment 3558630
Mbona nguvu bado anayo. JUSA mbona kama inataka kutengwa hivi na Tayari imesha poteza nguvu ya ushawishi katika siasa za kimataifa, mambo kama haya hatukuwahi kutegemea kuyaona miaka 20 iliyopita 😄🤣
USA walikuwa wakibweka tu watu wote ndani , what was happen!?
Acha uzwazwa weweFicha Upumbavu wako
Bagheri expressway💥💥💥💥
Assassination operation imefanyika katika eneo la kaghani mashariki mwa Tehran
View attachment 3558633