Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hii Vita nikama Naona Nchi nyingi zilikuwa zinamsubiria Kubwa jinga na Kitoto chake
Walisha Mchoka
Maana kila nchi Inamzodoa 😂😂
It seems yaweza kuwa ni mkakati ulipangwa kitambo jamaa wajichanganye waingie kwenye 18 zao Kisha mataifa yaliyo kuwa kondoo waionyeshe USA kuwa wameshakuwa chui now , kitendo Cha kupewa mkong'oto na Iran hapo middle east ndio kabisaaaa kimezidi kuwapa nguvu na wengine waone kumbe USA ni paper tiger Tulikuwa tunamuogopa bure ,

Bad enough if nchi hizo zikiwa zimesha advance in tech ndio kabisaaa hawawezi kukubali kuyumbishwa , so USA kama anapigika na Iran kiasi hicho licha ya kuwa na masilaha , sijui hayo masilaha yake ya mchongo atamuuzia nani Tena , watu hawawezi kununua hizo THAARD sijui IRON dome wakati wameona zinazo pokea mkong'oto badala ya kuzuia mabomu ndio kwanza zinaya pitisha utadhani chujio 😄😄
 
Ukiona waziri wa Afya wa Israhell Anasema Zaidi ya watu 3000+ wanajeshi na Raia wamejeruhiwa basi Jua hali ni Mbaya huko
Na Idadi hiyo Ongeza Zero mbele

Israel’s Health Ministry says at least 3,369 people, including civilians and military personnel, have been injured and hospitalised since the start of the US-Israel war on Iran.

🔴Live updates: aje.news/s2q1rc

View: https://x.com/i/status/2033483911691411473
 
Waathirika wakubwa ni Europe, Asia na Africa.. USA na Israel wanafanya kazi ya kubonda kichwa hapo kwenye mfereji wa Hormuz anataka wote wahusike sababu ni faida kwao pio

USA na Israel kazi yao kubwa ni kumchapa Iran hadi ashindwe kutembea na huko USA na Israel hawajaomba msaada 😀

Iran haina tofauti na Japan ya 1945, walipigwa sana USA ila waligoma kusurrender ila mwisho wa siku Iran lazma aombe poo

Hii itaenda muda mrefu sana kwasasa USA hatumii mabomu ya gharama kama mwanzo wa operation kwasasa zinashuka MK 82 83 na 84 za kutosha hapo mjini Tehran
Marekani hapo anataka dunia nzima ihusike hii pia itaifanya funia kuichukia Iran endapo atashambulia meli zinazopita hapo kitachofuatia wababe wote wataungana na Marekan kumpa kichapo.
 
Iran kachafukwa huko
Saivi anajipigia tu
EXPECT OIL PRICES TO SKYROCKET…

Iran has launched a new wave of missile strikes toward Israel…
With reports indicating that energy and petroleum infrastructure were among the intended targets.
 
Ndio nyie machoko wenyewe walokole
mavi wa vijijini mnameza kila upupu
Yaani jinga moja liandike kuna milipuko bila taarifa kamili halafu mko huko maporini mnashangilia
Nenda kaangalie update za Russia na Ukraine kama utamkuta huyo kilaza mwenzenu
Matusi ya nini mkuu mbona sisi wote ni wabantu, hivi unamtukana mbantu mwenzako kisa vita ya ambayo wanapiga wenyewe?
 
Mlima sayuni umeona isiwe tabu naww umejiunga kutu update 😜😜😜😜😜😜😜 itakuwaje sasa Walokole nyuso mtadhiweka wapi kwa kipondo ichi kutoka kwa Islamic Republic of Iran!!!!!!!!
Watu tupo kwenye huu uzi kupata update za vita.

Sasa wasipotoa update huone uzi utakuwa useless
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: Sasa Tumeanza tena mfululizo wa mashambulizi kwenye miundombinu ya serikali ya kigaidi ya Iran kwenye miji ya Tehran, Shiraz na tabriz
Israel walikuwa wanataka pa kuanzia tu, hii vita Israel hawezi kubali iishe Marekan anaweza toka baada ya Iran kuwa dhoho lihal then Israel akaendelea kujiligia tu.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mehrabad airport
20260316_152413.jpg
 
Da Huyu jamaa Anaongea Safi hana maneno mengi ya Kuropoka kawa Upende ule

Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi:

“When we say we don’t want a ceasefire, it isn’t because we seek war. This war must end in a way that ensures our enemies never again think of repeating these attacks. They have now seen what kind of nation they are dealing with, one that will defend itself and will take this fight as far as necessary.”


View: https://x.com/i/status/2033507908961669397
 
Back
Top Bottom