Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

One step at a time.
Zimeanza kwanza kupigwa base, Zinapigwa balozi zake, zitapigwa melivita na kisha kuondoshwa Gulf countries zote, WAmarekani wote wataondoka middle east. Bร ada ya hapo atafuatwa huko huko (Washington & othrer states) kuendelea kupewa kichapo.
Marekani ni haki yake kupewa kichapo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค“๐Ÿ˜€ Just kidding.
Sio mda Iran itakua kama Tanzania ๐Ÿ˜€
 

Attachments

  • MASHAMBULIZI MAKALI TEHRAN___(Itazame video hii mpaka mwisho)__Tarehe 15 machi 2026 taasisi ya...mp4
    4.2 MB
Tunaendelea
Hapa Wana wa Israel wakishangaa watu wamekwama kwenye Jengo na Miili ikionekana baada ya Mashambulizi ya Iran hii leo

๐Ÿ“๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ NOW: A large crowd of Zionists is watching the extraction of the trapped, dead & injured from the building targeted by an Iranian missile in Tel Aviv


View: https://x.com/i/status/2033151525875245183

Nimeona video Jengo lipo Sawa Ila apartment moja Tu ndio imepigwa, na Iran Wana tease Nani kafa? Someone mkubwa kapigwa hapo, soon tutaambiwa


Hapo unaona vizuri
 
Moja ya hoja za kijinga kabisa za Israel na Marekani ni kwamba hawataki Iran iwe na makombora.

Wao wanayo hayo makombora lakini hawataki Iran awe nayo.

Yaani Iran asiwe na zana zozote za maana za kujilinda ili baadaye wakitaka kumvamia, wamvamie kirahisi bila shida yoyote ile.

Huo ni ucenge na unafiki wa kiwango cha pekee kabisa.

Nani mwenye akili timamu na mwenye kujiheshimu anayeweza kukubali huo ucenge?
Huna akili ya kuelewa kwanini adui anashambulia kabla ya KUJIANDAA vya kutosha
Nilikuwa nakuona una akili za Geopolitics kumbe hewani

Kitendo Cha Iran kugombana na majirani zake wote Tena wa dini Moja hiyo ni ishara hastahili kuachiwa awe na nyuklia

SIlikuwa una akili ndogo hivyo ya kiandazi
 
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Bandar abbas
 
Vitu vinashuka tu kama mvua, kwa msio fahamu hizi Mk-82-83 na 84 zinapewa kit za JDAM zinakua GBU-31,32,38 nk

Kibaya zaidi kwa timu Iran ni kua hayo mabmu ya MK 82,83 na 84 ni unlimited kwenye jeshi la marekani ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kama ulikua unajiuliza kwanini Israel iliigeuza Gaza mavumbi ni sababu ya haya mabomu

Kama anga la Iran litaendelea kua chujio Tehran kua magofu ni suala la muda tu

Gharama ya hayo mabomu ni sawa na yaani Dola elfu 3 hadi 10 ukiongeza na kit za JDAM inafika hadi Dola 25k
 

Attachments

  • This is the moment an Iranian research centre was hit by Israeli strikes._ _Israel launched _w...mp4
    3 MB
Huna akili ya kuelewa kwanini adui anashambulia kabla ya KUJIANDAA vya kutosha
Nilikuwa nakuona una akili za Geopolitics kumbe hewani

Kitendo Cha Iran kugombana na majirani zake wote Tena wa dini Moja hiyo ni ishara hastahili kuachiwa awe na nyuklia

SIlikuwa una akili ndogo hivyo ya kiandazi
You are so lame! And honestly, youโ€™re dumb.

Come up with better lines than that tired old โ€˜I use to see you as smartโ€™.
 
Hivi mnajua Sasahivi Hawa Wa Israel wanapitia wakati Mgumu sana
Watu wanafichwa tu ila uhalisia jamaa Hawana Furaha kabisa.
Ukisoma Maandishi ya huyu jamaa unaona kabisa wanajua kabisa Dunia nzima Inawachukia wao


View: https://x.com/i/status/2033168682659021025

Israel wanachukiwa sababu ya Palestine, yaani ukiwatizama Palestine na majengo yao kama una roho ya kibainadamu na ukaacha upuuzi wa kidini ,utaelewa wale jamaa wamepitia kipindi kigumu, tena kwa miaka zaidi ya hamsini ila mwaka jana ilikuwa too much. Yaani mwanajeshi wa kiyahudi anafanya gender reveal ya mwanae kwa kulipua bomu majengo ya Wapalestina.Yaani ukiwatizama Wapalestina mwezi huu wa Ramadhani wanavyo futuru wamezungukwa na vifusi, yaani wanaye mtegemea ni Mungu tu.

Baasi ni hizi dini Myahudi anajiona bora kuliko kiumbe kingine chochote kile na kila sehemu anataka kuichukua, mara Lebanon aseme sehemu yake,mara Syria, mara Misri, mara Turkey mara Saudi. Iran kureact sawa kabisa lazima wamuheshimu na ndicho anacho kipigania heshima ya taifa lake, yaani leo hii Iran angekuwa na Nuclear kusingekuwa na vita. North Korea hawasogezi pua pale na jana katest Ballistic kumi baharini.
 
You are so lame! And honestly, youโ€™re dumb.

Come up with better lines than that tired old โ€˜I use to see you as smartโ€™.

FOH you dumbass. Go suck your mother.
Hapa umethibisha huna akili Kweli ,
Unamtishia nani na kiingereza Cha kipuuzi

KWANZIA sasa nakuweka kwenye list ya watu wajinga
 
IMG-20260315-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom