Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Watasema ni Ai 🤣🤣

Watu wa humu waliowengi pro USA na pro Israel wanataka kusikia habari mbaya tu za Iran

Ila zile zile habari nzuri zote wanasema ni fake news

All in all tuna la kujifunza Toka Kwa USA na Israel wamefanikiwa Kwa kiwango kikubwa sana kuwapiga brainwashe watu mpaka wamegeuka kuwa kama waumini wa dini kwaajili ya ushabiki wa Nchi zao , Hii PR waliyo ifanya ni kitu Cha mataifa mengine kuiga yaani watu wamegeuzwa kama Makondoo. Yaani unakuta mtu anaona kabisa hii ni nyeusi lakini atabishana mpaka panakucha Kwa kukuambia hii sio nyeusi ni njano
Ni Ujinga wa hao hao watu wenyewe
Hawataki kutumia Akili
Hayawezi kutumia Akili
Mijitu imelishwa Uongo na BBC Swahili huliambii kitu kuhusu Marekani
 
Screenshot_20260314-210035.png
wazee wa kuhesabu vidole tusaidiane hapo
 
Back
Top Bottom