Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Watu wengi tunafurahia USA na Israel wanavyomchangia Iran ila hatutaki kujua sababu ni nini. Anachokifanya Marekani kwa Iran amewahi kukifanya kwa nchi nyingine nyingi tu na matokeo hayakuwa kuwa mazuri kwa ubinadamu. Kwa mtu anayetafakari kwa kina, sidhani kama kuna la kujivunia kwa ubabe wa marekani kwa mataifa mengine.
Kwani sababu ni nini? Nawashangaa mnaoumia. Nishasema humu kwa US au Israel au Iran watu weusi kwao ni nyani tu wala hawakujali. Sasa wakiamua kuchapana nihuzunike iki iweje? Acha wauane. Hii vita kwangu ni kama naangalia mafahari wawili wakidundana au Mayeeather vs Pacman wacha wachapane. Wakichoka wataacha.
 
angalia ulivyo kichaa hujui hata mahandaki ya hamas yaliyojengwa kwa mfadhili wa Iran unasema hamas inapata misaada kutoka hizbolah wakati huo hizbolah wanapata misaada toka Iran
Ona huyu kiazi mbatata!
Hamas haijawahi kujengewa mahandaki na Iran.
Kama una ushahidi lete hapa.
Hizbollah ina vyanzo vyake vya kujiendesha japo kuwa inapokea ruzuku toka Iran.
Ila pia Hizbollah ina vyanzo vyake vya kujiendesha.
Embu nyamaza acha kubwatuka unaongea ukulaandindi mtupu.
 
Majuzi tu hapa Trump alikuwa anazungumzia kuiteka Greenland 🤣.

Halafu watu bado wanaiona Marekani kuwa ni nchi yenye wema sana.

Marekani ina mengi sana yaliyo mazuri lakini pia ina mengi yaliyo mabaya.
Ukiwauliza watu wa greenlanda kama wanataka kuwa chini ya US unadhan watakataa?
 
Ona huyu kiazi mbatata!
Hamas haijawahi kujengewa mahandaki na Iran.
Kama una ushahidi lete hapa.
Hizbollah ina vyanzo vyake vya kujiendesha japo kuwa inapokea ruzuku toka Iran.
Ila pia Hizbollah ina vyanzo vyake vya kujiendesha.
Embu nyamaza acha kubwatuka unaongea ukulaandindi mtupu.
angalia alivyo mjinga eti hizbolah ina vyanzo vya mapato jinga kweli
 
angalia alivyo mjinga eti hizbolah ina vyanzo vya mapato jinga kweli
Sa nyengine humu tunabishana na watu wajinga Sana.
.hujui kama Hezbollah ni part ya serikali? Lebanon ya Leo imejengwa na Hezbollah, Shule, Hospital etc. Wana Viongozi serikalini, Mawaziri, Wabunge etc.

Inshort Lebanon imegawanyika mara 3, Wakristo, waisilamu wa Shia na Sunni, Hezbollah ni chama cha Siasa kama unavyosema Chadema kinacho represent Shia.

Na chama cha Sasa cha Wakristo kimeingia madarakani sababu kilijiunga na Hezbollah, washia wakawapigia kura, ila Tu kiongozi wa sasa ndio Puppet wa Israel, ila Michael Aoun alikua hadharani anawasupport Hezbollah.
 
angalia alivyo mjinga eti hizbolah ina vyanzo vya mapato jinga kweli
We kijana nakufundisha mara ya mwisho.
Hizbollah haikuundwa na Iran bali ilikuja kusapotiwa na Iran miaka kuanzia ya 2000.
Ila ilikuwepo back way na chimbuko lake ilikua ni vita ya Beirut crisis 1958 kama sijakosea.
Ilikua ni jumuiya inayojiendesha na vyanzo vyake vya mapato.
Kuja kwake Iran alikuja kuwapa nguvu zaidi kijeshi na kifedha.
Usipoelewa hapo usije ukani quote.
 
Sa nyengine humu tunabishana na watu wajinga Sana.
.hujui kama Hezbollah ni part ya serikali? Lebanon ya Leo imejengwa na Hezbollah, Shule, Hospital etc. Wana Viongozi serikalini, Mawaziri, Wabunge etc.

Inshort Lebanon imegawanyika mara 3, Wakristo, waisilamu wa Shia na Sunni, Hezbollah ni chama cha Siasa kama unavyosema Chadema kinacho represent Shia.

Na chama cha Sasa cha Wakristo kimeingia madarakani sababu kilijiunga na Hezbollah, washia wakawapigia kura, ila Tu kiongozi wa sasa ndio Puppet wa Israel, ila Michael Aoun alikua hadharani anawasupport Hezbollah.
Waziri mkuu ambaye ni sunni ndio anaonekana kuwaunga mkono Israel kuliko rais.
Huyo kijana mbishi halafu hajui anachobishania nini.
Anashindwa kufahamu hizbollah ilikuwepo tangu enzi za 1958 na ilishiriki katika civil war za Beirut.
 
Back
Top Bottom