Ile ndege iliyojazwa mafuta habari ya kwanza tuliambiwa imedondoka? Ila baadae ndipo wanamgambo wa Iraq wamesema wameipiga na mpaka sasa US bado hajasema kama ile ndege imetunguliwa so husitegemee US kusema meli zake mbili zimepigwa. Jana walisema meli ya Ford iliwaka moto na watu wao wawili wamejeruhiwa? So kwenye vita kuna Propaganda hata hizi za US ni Propaganda.Yaani leo Mwakinyo akipigana Wema,akianguka atasema kateleza ni ngumu US kukubali kapigwa ngumi. Ila kwa kinacho endelea kweli amepigwa, ila hata yy lazima afiche Propaganda za uongo.
Pili mpaka US hili Radars zake zaidi ya kumi zimepigwa? Sasa hii nayo utasema Propaganda, kwa sasa uwezo wa maswala ya anga umepungua ktk hali ya kawaida ya kufikirika huwezi kusema unadominate anga, kwani Iran anapiga na kurusha mabomu atakavyo,mpaka US wanalalamika na kudai Russia anamsaidia Iran kulocate their millitary resources (Huu mjadala ulikuwepo CNN juzi).Hisibolah nao kwa siku mbili mfululizo wamerusha mabomu ambayo mengi yamefika kwenye ardhi ya Myahudi na wafanikiwa kupiga kambi mbili za kijeshi za kukusanya taarifa na vilevile wakashare video wakilipua ya vituo vya satellite vya kijeshi vya kiyahudi(source Times of India and Hindustan Times),wale wanamgambo wa Iraq wamerusha mabomu mengi kwenye kambi za US na mengi yamefika na hatimae jana wakaitungua ndege na wa tech za kienyeji, ktk hali tu ya kufikirika anga la Middle East limechafukwa,ngumu kusema kuna ndege 100 angani,hilo ni uwongo,maana hawa Hisbolah na wanamgambo wa Iraq wanatech za kawaida.
Halafu kwenye maswala ya kisayansi ,huwaga tunasema hamna machine inayofanya kazi kwa asilimia 100 kwa usahihi, haipo na haito kuwepo. Iron Dome sasa hivi wanayahudi wanaulizana ,ukweli kuhusu ufanisi wake baada ya kugeuka chujio na Myahudi analayer kama tatu kwenye anga za ulinzi,ila zote zipo hoi. THAAD Himars and Patriot tuliambiwa hivyo ni mifumo ya kisasa ya kuzuia mabomu, ila leo kiko wapi maana hata yenye imelipuliwa.
Turudi kwenye ndege according tu wao B-2 wanasema haionekani kwenye radar,lkn huu ni ulimwengu wa Tech, hii ni products US kaidesign yeye na kutest kwa mabomu yake yeye na hata kesho hizo ndege zikipigwa watakataa zimepigwa na wewe ukimbiwa bado utaamini Propaganda za uongo. Bomu la Tomahawk lilopiga shule Iran mpaka sasa ,US anasema ni Propaganda za uwongo kuanzia Trump na Secretary of Defence wote wanasema ni uwongo, ila media zote kubwa wameshare clips video ya bomu lilipo anzia na mabaki ya lile bomu. Sitoshaga hata hizo ndege zikipiga bado utasema ni uongo? Ila Russia na Iran mpaka sasa,wao wanampa msaada Iran kwenye maswala ya anga,sitoshangaa hizo ndege zikiwa detected na kupigwa,kwenye maswala ya kisayansi inawezekana.Hata hizo meli kweli ni kubwa mfano Lincoln ina uwezo wa kubeba ndege tisini huku ikizungukwa na meli nyingine kumi,ila juzi tu Mchina alikubali kumpa Iran mabomu ya kuzamisha meli,mimi na kubali hizo meli hali yake sio nzuri. US kukubali kama anahali mbaya kwa sasa ni sawa Mwakinyo akubali amepigwa ngumi na wema akaanguka.