hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
UISLAMU bila uongo hausimami,hii vita ya Iran inaonesha jinsi jamaa wanavyoendesha mambo Yao kwa propagandawanasema ni aina ya mtume wao
UISLAMU bila uongo hausimami,hii vita ya Iran inaonesha jinsi jamaa wanavyoendesha mambo Yao kwa propagandawanasema ni aina ya mtume wao
We ni umerogwa au una tatizo la akili!??we mzee acha ujinga wakati nyie nyote yaani hujui kila ambalo hao hizbolah na houth na hata hamas huwa wanashambulia kwa kutumia silaha wanazopewa na bwana zao na hata wamekuwa wakipokea wataalamu wa milipuko kutoka kwa huyo bwana yenu
Hizo habari za Radars mbona hata vyombo vyao wenyewe zimeripoti, ikiwemo New York Times.Kwanza, kama kweli ndege ya Marekani imetunguliwa, hilo si jambo dogo la kufichwa. Leo kuna satellites, OSINT analysts na media huru duniani. Ndege ikianguka lazima kuwe na wreckage, coordinates au picha zinazothibitisha.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho huru kwamba ndege ya Marekani imetunguliwa na wanamgambo wa Iraq.
Pili, madai kwamba carrier zimepigwa ni propaganda tu.
USS Gerald R. Ford na USS Abraham Lincoln ni sehemu ya carrier strike group yenye tabaka nyingi za ulinzi destroyers, cruisers, rada na mifumo ya makombora. Tukio la carrier kupigwa lingekuwa headline ya dunia nzima, sio tetesi kutoka Telegram au vyanzo visivyo rasmi.
Halafu unasema radars zaidi ya 10 za Marekani zimepigwa lakini hakuna ripoti huru kuthibitisha hilo. Marekani ina vituo vikubwa vya kijeshi kama Al Udeid Air Base na Al Dhafra Air Base ambavyo vina mtandao mkubwa wa rada. Claims kama hizi bila ushahidi ni propaganda za kawaida za vita.
Kuhusu mifumo ya ulinzi wa anga, hakuna mfumo duniani unaokamata makombora 100%, hilo ni kweli.
Lakini mifumo kama Iron Dome, THAAD na Patriot missile system imeonyesha mara nyingi uwezo mkubwa wa kuzuia mashambulizi. Ndio maana nchi nyingi duniani bado zinaitumia.
Na kuhusu stealth bomber, Northrop B-2 Spirit haimaanishi haionekani kabisa kwenye radar, bali imeundwa kupunguza sana uwezekano wa kugunduliwa. Ndiyo sababu bado ni moja ya ndege za kimkakati muhimu zaidi za Marekani.
Kwa kifupi, kwenye vita kila upande hutumia propaganda. Lakini tofauti ya propaganda na reality ni ushahidi. Claims nyingi unazotaja zinatoka kwenye posts za wanamgambo na media zinazopendelea upande mmoja, sio uthibitisho wa vyanzo huru.
Hizo habari za Radars mbona hata vyombo vyao wenyewe zimeripoti, ikiwemo New York Times.
Hii ya leo lisaa limoja,lilopita huko Iraq na bila shaka watakuwa wanamgambo wanao isupport Iran
View: https://m.youtube.com/watch?v=D7u2zQCL0Cc&pp=ygUXRm9yZCB3YXJzaGlwIGdldCBoaXR0ZWQ%3D
Hivi juzi kati US wakati wakiripoti mlipukobwa meli yao ya Ford walisemaje? Na wewe ukaamini kabisa mlipuko wa kawaida uliotokea kwenye meli yao?
View: https://m.youtube.com/watch?v=lAhrAUov9uo&t=20s&pp=ygUXRm9yZCB3YXJzaGlwIGdldCBoaXR0ZWQ%3D
So hizo B-2 zikipigwa US watakubali zimepigwa?
Hizo habari za Radars mbona hata vyombo vyao wenyewe zimeripoti, ikiwemo New York Times.
Hii ya leo lisaa limoja,lilopita huko Iraq na bila shaka watakuwa wanamgambo wanao isupport Iran
View: https://m.youtube.com/watch?v=D7u2zQCL0Cc&pp=ygUXRm9yZCB3YXJzaGlwIGdldCBoaXR0ZWQ%3D
Hivi juzi kati US wakati wakiripoti mlipukobwa meli yao ya Ford walisemaje? Na wewe ukaamini kabisa mlipuko wa kawaida uliotokea kwenye meli yao?
View: https://m.youtube.com/watch?v=lAhrAUov9uo&t=20s&pp=ygUXRm9yZCB3YXJzaGlwIGdldCBoaXR0ZWQ%3D
So hizo B-2 zikipigwa US watakubali zimepigwa?
New York Times walithibitisha tena walionyesha moja ya Radars iliyo haribiwa yenye thamani ya USD 1.1b.ukitaja The New York Times, mara nyingi wanaripoti claims za pande zote kwenye vita. Kuripoti kwamba wanamgambo wamedai kupiga kitu fulani si sawa na kusema tukio limethibitishwa.
Media kubwa huandika claims, halafu uthibitisho huja baadae kupitia ushahidi wa kujitegemea.
Pili, video za YouTube sio uthibitisho wa tukio la kijeshi.
Mara nyingi video za vita hutumiwa vibaya zile za zamani, mazoezi ya kijeshi au hata ajali za kawaida hutolewa nje ya context. Kama kweli carrier kama USS Gerald R. Ford imepigwa, hilo lingekuwa headline kubwa duniani kote kwa sababu ni moja ya meli muhimu zaidi za Marekani.
Halafu kuhusu mlipuko wa kawaida, kwenye meli kubwa za kijeshi kuna maelfu ya vifaa na mafuta ya ndege, ajali ndogo zinaweza kutokea bila kuwa mashambulizi ya adui.
Ndiyo maana lazima kuwe na uchunguzi rasmi na ushahidi kabla ya kusema imepigwa.
Kama Northrop B-2 Spirt ikipigwa why wasikubali? kumbuka kwenye vita nyingi Marekani imewahi kukubali kupoteza ndege au vifaa.
Kinachotakiwa ni uthibitisho huru wreckage, picha, au vyanzo vya kuaminika.
Kwa hiyo mpaka sasa tunachokiona ni claims nyingi kutoka kwa wanamgambo na propaganda za mitandaoni, lakini hakuna uthibitisho wa kujitegemea kwamba carrier za Marekani zimepigwa au kwamba B-2 imewahi kudunguliwa kwenye hiyo vita.
Mzee acha propagandaNew York Times walithibitisha tena walionyesha moja ya Radars iliyo haribiwa yenye thamani ya USD 1.1b.
Kupigwa kwa ndege kunahitaji uchunguzi kweli? Sema wanaficha.
Sasa kama meli hii ya Ford hawakubali kama imepigwa je watakubali hizo ndege zikipigwa?
Hivi unajuzi tu Maafisa wa Pentagon waliiomba serikali ya Iraq wawape ulinzi wanadiplomasia wao, sababu ya hao wanamgambo? Na baada ya muda hao wanadiplomasia wakashambuliwa na hao wanamgambo?
B-2 hamna sehemu nilisema imepigwa ila na jiuliza ikipigwa watasema?
Motajaba kavunjwa miguu hataki kutokeza hadharani🤣🤣Inafanywa na ndege 100 and yet still utawala wa Iran upo madarakani without Fall apart basi Iran sio watu wa kawaida ni invisible wale
Mzee acha propaganda
hata kama The New York Times imeandika kuhusu rada kuharibiwa, mara nyingi media huandika kwamba kuna shambulio lililotokea ,Hiyo haimaanishi kwamba mtandao wote wa rada wa Marekani umepoteza udhibiti.
Marekani ina mifumo mingi ya rada na vituo vya kijeshi katika eneo lote la Middle East.
Halafu kusema Marekani anaficha ndege kudunguliwa ni hoja dhaifu sana, Katika vita mbalimbali Marekani imewahi kukubali kupoteza ndege na wanajeshi wake hadharani.
Tukio kama hilo lazima lionekane pia kwa satellites, wachunguzi huru na hata nchi nyingine. Hivyo si kitu kinachoweza kufichwa kirahisi.
Kuhusu carrier kama USS Gerald R. Ford, hiyo ni moja ya meli zinazolindwa zaidi duniani. Kama kweli ingepigwa na kombora , hilo lingekuwa tukio kubwa sana kijeshi na kisiasa duniani.
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kujitegemea unaoonyesha carrier hiyo imepigwa.,zaidi ni propaganda zenu za kujifariji.
Unasema Northrop B-2 Spirit, hoja ya kusema ikidunguliwa watakubali? bado ni nadharia tu.,kwanza hao Iran hawana huo uwezo, hata kuua balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv hawawezi,
Kwenye vita vya kisasa, tukio kama hilo lingeonekana haraka kupitia picha za satellite, debris au ripoti za vyanzo huru.
Jamaa City Thunder OKC anajua hadi idadi ya ndege jeshi za USA!!!Kuna vituko sana hii thread.
Acha porojo na propaganda,hakuna reliable media unaweka zaidi ya ushabiki maandzi![]()
At Least 17 U.S. Sites Damaged in War With Iran, Analysis Shows
A New York Times analysis of satellite imagery and verified videos shows damage to more than a dozen American military sites and installations from Iran’s retaliatory strikes.www.nytimes.com
Ukifuatilia ninavyo post kila ninacho post kinatoka kwenye repitable media,tena zingine zina miaka zaidi ya mia? Silesia Propaganda labda wewe kama umeamua kubishana na hizo media.
Kama hizo picha za Satellite wakishare utakuzikubali,tuanze kushare hapa? Ikiwa mlipuko tu unasema propaganda, hizo picha za Satellite si utasema Adobe imehusika?
Kwani meli ukilindwa zalidi ndio haipigwi?
So New York Times sio reliable media? Sasa unabishana na gazeti, huoni wewe ndio mbishi .Acha porojo na propaganda,hakuna reliable media unaweka zaidi ya ushabiki maandzi
Uzuri itajulikana tu soon ,
We hapo una furahaaa!! BogusUsiku wa Jana kwa watu wa Iran walichokiona watakisimulia kwa vizazi na vizazi
Umechambua kisomi sana!! sio kishabiki.Ile ndege iliyojazwa mafuta habari ya kwanza tuliambiwa imedondoka? Ila baadae ndipo wanamgambo wa Iraq wamesema wameipiga na mpaka sasa US bado hajasema kama ile ndege imetunguliwa so husitegemee US kusema meli zake mbili zimepigwa. Jana walisema meli ya Ford iliwaka moto na watu wao wawili wamejeruhiwa? So kwenye vita kuna Propaganda hata hizi za US ni Propaganda.Yaani leo Mwakinyo akipigana Wema,akianguka atasema kateleza ni ngumu US kukubali kapigwa ngumi. Ila kwa kinacho endelea kweli amepigwa, ila hata yy lazima afiche Propaganda za uongo.
Pili mpaka US hili Radars zake zaidi ya kumi zimepigwa? Sasa hii nayo utasema Propaganda, kwa sasa uwezo wa maswala ya anga umepungua ktk hali ya kawaida ya kufikirika huwezi kusema unadominate anga, kwani Iran anapiga na kurusha mabomu atakavyo,mpaka US wanalalamika na kudai Russia anamsaidia Iran kulocate their millitary resources (Huu mjadala ulikuwepo CNN juzi).Hisibolah nao kwa siku mbili mfululizo wamerusha mabomu ambayo mengi yamefika kwenye ardhi ya Myahudi na wafanikiwa kupiga kambi mbili za kijeshi za kukusanya taarifa na vilevile wakashare video wakilipua ya vituo vya satellite vya kijeshi vya kiyahudi(source Times of India and Hindustan Times),wale wanamgambo wa Iraq wamerusha mabomu mengi kwenye kambi za US na mengi yamefika na hatimae jana wakaitungua ndege na wa tech za kienyeji, ktk hali tu ya kufikirika anga la Middle East limechafukwa,ngumu kusema kuna ndege 100 angani,hilo ni uwongo,maana hawa Hisbolah na wanamgambo wa Iraq wanatech za kawaida.
Halafu kwenye maswala ya kisayansi ,huwaga tunasema hamna machine inayofanya kazi kwa asilimia 100 kwa usahihi, haipo na haito kuwepo. Iron Dome sasa hivi wanayahudi wanaulizana ,ukweli kuhusu ufanisi wake baada ya kugeuka chujio na Myahudi analayer kama tatu kwenye anga za ulinzi,ila zote zipo hoi. THAAD Himars and Patriot tuliambiwa hivyo ni mifumo ya kisasa ya kuzuia mabomu, ila leo kiko wapi maana hata yenye imelipuliwa.
Turudi kwenye ndege according tu wao B-2 wanasema haionekani kwenye radar,lkn huu ni ulimwengu wa Tech, hii ni products US kaidesign yeye na kutest kwa mabomu yake yeye na hata kesho hizo ndege zikipigwa watakataa zimepigwa na wewe ukimbiwa bado utaamini Propaganda za uongo. Bomu la Tomahawk lilopiga shule Iran mpaka sasa ,US anasema ni Propaganda za uwongo kuanzia Trump na Secretary of Defence wote wanasema ni uwongo, ila media zote kubwa wameshare clips video ya bomu lilipo anzia na mabaki ya lile bomu. Sitoshaga hata hizo ndege zikipiga bado utasema ni uongo? Ila Russia na Iran mpaka sasa,wao wanampa msaada Iran kwenye maswala ya anga,sitoshangaa hizo ndege zikiwa detected na kupigwa,kwenye maswala ya kisayansi inawezekana.Hata hizo meli kweli ni kubwa mfano Lincoln ina uwezo wa kubeba ndege tisini huku ikizungukwa na meli nyingine kumi,ila juzi tu Mchina alikubali kumpa Iran mabomu ya kuzamisha meli,mimi na kubali hizo meli hali yake sio nzuri. US kukubali kama anahali mbaya kwa sasa ni sawa Mwakinyo akubali amepigwa ngumi na wema akaanguka.
Mbona unamsema mwanaume mwenzako kwani ushawahi mpa hata mlo mmoja 💩Jamaa City Thunder OKC anajua hadi idadi ya ndege jeshi za USA!!!
ukute hapo ana life ngumu balaa, huo muda ni bora kuutumia kusaka life kuliko kuwa bize na habari zakutunga za western, bongo kuna wachambuzi wa vita utadhani na wenyewe wapo kwenye iyo battle.