hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Pole Kwa ban bwege wewe 😁😁😁💥💥💥
Back again.!
Kaa tayari kwa UPDATES
😁
Ndio ukome
Pole Kwa ban bwege wewe 😁😁😁💥💥💥
Back again.!
Kaa tayari kwa UPDATES
😁
Pole bibie! Usichukilie seriously kila kituMbona unamsema mwanaume mwenzako kwani ushawahi mpa hata mlo mmoja 💩
Wajinga sana hao watu.Uzi Umeshavamiwa na walokole huu , Walokole Huwa hawajadili mambo for fact ni mwendo wa bwana kasema bwana kasema
Guys kwaherini 🤣🤣🤣
B-2 SPIRITDuh! Yale waliyosema hayaonekani ambayo yalishambulia mara ya mwiso Iran kwenye sehemu za nyukilia kwenye vita ya siku 12 yanaitwaje mkuu?!
We hapo una furahaaa!! Bogus
Wapeane na nani?Hawa jamaa mpaka kumaliza vita watakuwa wamepeana hasara kubwa sana ya uhai na miundombinu yao.
Hata Hezbollah sidhani kama anawapa Silaha Hamas, wanatumia Silaha za zamani Sana, wangekua na silaha za kisasa kama Hezbollah pangewaka Sana hapo.We ni umerogwa au una tatizo la akili!??
Hamas haijawahi kupelekewa wataalam kutoka Iran kuhusu silaha. Bali hupewa silaha na Hizbollah.
Hizbollah na Houthi kupewa silaha na kupelekewa wataalam wa silaha ndio sawa na kusema JOINT OPERATION!?
Ni wazee walisomesha mbuzi ama mtu!?
Hakuna vita ambayo Iran ilifanya joint operation na proxies zake zaidi ya hii mwaka huu.
Hizo vita zingine Hizbollah alisimama mwenyewe na kupewa msaada wa silaha na wataalam tu. Ila Iran haikuhusika na mashambulizi ya direct.
Labda hapo utaelewa kidogo.
Yaanikwa hali hii Netanyahu atawapiga sana na sidhani ksma kuna kiongozi yeyote wa Iran kwa sasa anaweza tembea na kuacha sura yake wazi.Hizo hazizuiliki, pili Iran hana tena uwezo wa kuzuia ndege yoyote kuingia Iran kwa sasa. Israel na marekani ndio wenye air superiority ndani ya Iran
Mashambulizi makubwa yamefanyika eneo hili kiasi cha mitetemo imefika mashariki mwa tabrizJeshi la Israel lilotoa tahadhali ya kuhama na kukaa mbali kwenye eneo la viwanda magharibi mwa Tabriz
View attachment 3557828