Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

‼️🇮🇷🇺🇸Iran's retaliatory strikes surprised US officials.

▪️Tehran fired more than 3,000 missiles and drones at the Persian Gulf states and hundreds at Israel, according to the FT.
▪️A former US official said: "No one has done more for less than the Iranians."
▪️Cheap Shahed drones helped hit radars, ports, bases, and oil facilities.
▪️US officials admit: "We didn't expect them to retaliate like this."
 
💥💥💥💥
Trump
20260314_022009.jpg
 
⚡️⚠️🛩🇮🇷🇺🇸🗣 Zelensky continues to insist that the US asked him for help with drones.
📍Today, Trump stated that they do not need Ukraine's help and that they are not taking any part in repelling Iran's attacks.
Kwani huku kusaidiana lazima anaeombwa msaada atangaze? Kwamba fulani ananiomba msaada.
 
Duh! Iran ataweza kuzizuia kweli au ndo piga nikupige tu. Wanabadirishana mashambulizi haijarishi unampigaje mwenzio. Sema vita siyo nzuri ila ndo wababe wa dunia wanaamua tu kukushambulia. Nashukuru Jeshi langu ni la sita duniani kwa ubora hata tukivamiwa tutawanyoosha wavamizi.
Hizo hazizuiliki, pili Iran hana tena uwezo wa kuzuia ndege yoyote kuingia Iran kwa sasa. Israel na marekani ndio wenye air superiority ndani ya Iran
 
‼️🇮🇷🇺🇸Iran's retaliatory strikes surprised US officials.

▪️Tehran fired more than 3,000 missiles and drones at the Persian Gulf states and hundreds at Israel, according to the FT.
▪️A former US official said: "No one has done more for less than the Iranians."
▪️Cheap Shahed drones helped hit radars, ports, bases, and oil facilities.
▪️US officials admit: "We didn't expect them to retaliate like this."
Hivi haya madrone na missiles huwa hayachukui mda kuyatengeneza hata wakati wa vita? Maana yanarushwa tu kila siku au ndo stock ya MuIrani bado iko vzuri.
 
Kuna mmoja anajaribu kujipendeza wakati wake wa kung'aa na kuwa kwenye spotlight ya world media ulifunikwa na hii vita
Duh! Jamaa kama masihara wanavyocheza na uhai wa watu. Ukraine sahizi haisikiki ni kama vile hawapigani ila watu wanakufa huko.
 
Duh! Iran ataweza kuzizuia kweli au ndo piga nikupige tu. Wanabadirishana mashambulizi haijarishi unampigaje mwenzio. Sema vita siyo nzuri ila ndo wababe wa dunia wanaamua tu kukushambulia. Nashukuru Jeshi langu ni la sita duniani kwa ubora hata tukivamiwa tutawanyoosha wavamizi.
Jeshi la nchi gani Mkuu?
 
US anataka kudiploy 5k US Marine kwa ajili ya kusindikiza meli Hormuz ,ngojea tumuone.Naona ile ndege inayo tumika kufanya refueling nipo pigo kubwa, kwani ilikuwa inaisupport ndege inayotumika kama radar inayo elea angani, ambayo kila baada masaa sita ,ilikuwa inajazwa mafuta angani,hii ndege ilikuwa inazunguka Jordan, Iraq na Saudi na ndio maana wanamgambo wa Iraq wakaiona na kuitungua ndege ya mafuta na jamaa wanataka kuhakikisha hamna kambi yoyote ya US Iraq.
 
Back
Top Bottom