Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump anataka kumaliza vita, anadai there is nothing left to target
Wapi regime change, au kumuua Khamenei Snr ndiyo regime change?
Base zake zote walizotumia gharama kubwa na resources nyingi kuzijemga zaidi ya miaka 40 zimekuwa obliterated completely
Mshirika wa vita ndiyo huyo anapelekewa missiles kila siku na hiyo ineffective “Iron” dome yao na tayari kelele za wananchi kuanza kuchoshwa na maisha ya kwenye mahandaki
Aircraft carriers zimejificha kama daladala wakati wa maandamano

Iran inaibuka kama mshindi wa vita, (the total war not the battle) wakati nguvu za kimataifa za United States na Israel zinaonekana kudhoofika polepole katika mfumo wa global power structure.

Ikiangaliwa kwa analytical perspective, Iran inaonekana kuwa inapigana anti-colonial war yaani vita vya kulinda rasilimali (aka vita ya kiuchumi) zake za mafuta (oil), gas na sovereignty ya taifa. Kwa mantiki hiyo, mtu angeweza kutarajia kwamba jamii katika bara la Africa ambazo bado zinakabiliwa na athari za ukoloni wa kiuchumi zingekuwa zinaishangilia Iran, kwa sababu kwa namna fulani inaonekana kupigania mapambano yanayofanana na yao.

Hata hivyo, waAfrika wa kipindi cha neoliberal era hawalioni jambo hilo kwa mtazamo huo.
Watu wanashabikia zaidi kwa emotions na itikadi za kidini
Jamii nyingi zimekuwa miseducated politically, kiasi kwamba hawatambui kwamba colonialism bado ipo katika zama za sasa, lakini katika sura tofauti. Ukoloni wa leo hauji kwa mfumo wa utawala wa moja kwa moja kama zamani; badala yake umebadilika kuwa technical na depoliticised systems kama vile debt structures, international banking systems na global monopolies za kiuchumi

Wengi hawakuwahi kufikiria kwamba kile kinachoitwa Imperialist United States pamoja na Zionist Israel wangeweza kukabiliwa na kile kinachoonekana kama strategic embarrassment katika vita dhidi ya Iran.

Iran imeonyesha kile ambacho jeshi linalochota inspiration kutoka katika historia yake, utamaduni wake, na national identity linaweza kufanya katika uwanja wa geopolitics.

Katika mtazamo huu, free and righteous world pamoja na allies wa Iran wanapaswa kujivunia kile kinachoonekana kama exposure na dismantling ya aura ya US hegemony. Hegemony hiyo imedumu kwa muda mrefu kwa sababu ya perception ya nguvu kubwa ya Marekani, ambayo imekuwa ikiathiri na kudhibiti nchi nyingi zilizoendelea kidogo kiuchumi.

Kwa mantiki hiyo ya kisiasa, Iran imeonyesha kwamba Marekani ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama nguvu isiyopingika inaweza kuwa “paper tiger”, yaani nguvu ambayo taswira yake ni kubwa kuliko uwezo wake halisi.

Mfumo wa kimataifa ambao uliwahi kulazimisha baadhi ya mataifa yaliyoendelea kidogo kuingia katika dependency au subordinate position, sasa unaonekana kudhoofika polepole.

Bila kujali outcome ya mwisho ya vita, katika siku zijazo dunia inaweza kuanza kuheshimu Iran zaidi kama nguvu ya kisiasa na kijeshi, kwa sababu hatua zake zinaonekana kuwa sehemu ya kuibuka kwa multipolar world order au mfumo wa dunia ambapo nguvu za kimataifa hazitatawaliwa tena na taifa moja pekee, bali zitagawanyika kati ya mataifa kadhaa yenye ushawishi.

Uthubutu, courage pamoja na resilience ya Iran vinaweza kuwa mojawapo ya sababu zinazochochea mwanzo wa mfumo huo mpya wa kimataifa.

Mara tu vita hii itakapomalizika, China itageuka kimya kimya kuwa superpower ya dunia, bila hata kupigana vita
Russia ina deni kidogo sana la ndani na iko katika nafasi nzuri ya ku-thrive kiuchumi na kisiasa katika siku zijazo.

Kwa hiyo dunia inaweza kuelekea kwenye multipolar world order, wakati US ikiendelea kushuka chini katika global power hierarchy, ikiwa imeelemewa na migogoro ya kisiasa ya ndani pamoja na ushawishi wa kisiasa unaohusishwa na Israel, unaonekana kama ukivuta au kutumia kwa kiasi kikubwa rasilimali na utajiri wa Marekani.
 
Trump anaendelea kujitengenezea mwanya wa kuchomoka kwenye vita!

Leo kasema hakuna tena sehemu za kulengwa na mashambulizi zilizobaki huko Iran na vita inaweza kuisha muda wowote ule atakaoamua yeye.

Mimi naona hii haikuwa kabisa vita yenye ulazima wowote ule.

Sababu zote za vita walizozitoa naamini ni za uongo.

Na sasa hata lengo lao la kubadili utawala huko Iran linaelekea kushindwa.

Ndani ya Marekani athari za vita zishaanza kuwagusa watu wa kawaida.

Bei ya mafuta imepanda sana.

Trump hawezi kuendelea na hii vita.

Na huko Iran mwelekeo ni kwamba Ayatollah Khamenei ataendelea kutawala.

Hii haikuwa vita yenye ulazima.
Exactly Ngabu,Mwanzoni tulitangaziwa objectives za vita kuwa ni
1)Regime change
2)Kuneutralize uwezo wa kijeshi wa Iran
3)Kuharibu na kuangamiza kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran.

Lakini mpaka sasa tulichokiona
1)No regime change despite the killings of Ayatollah

2)Pande zote zimepata hasara ya kijeshi hivyo naweza kusema kupunguza uwezo wa kijeshi wa Iran kumeenda sambamba na hasara na kutikiswa kwa nguvu za kijeshi Marekani ukanda wa Ghuba,wote tunajua kambi 27 za Marekani kwenye nchi za Ghuba zimeharibiwa vibaya sanabna kukaa sawa itachukua miaka kutokana na uwekezaji uliokuwepo,Radar bora kabisa za Marekani nchi za Ghuba zimeharibiwa kabisa na hivyo kushindwa kufanya kazi hence hasara hiyo kwa Marekani

2)Kupungua kwa ushawishi wa Marekani pande mablimbali za dunia,sidhani kama kuna nchi tena hapo Ghuba itakuwa inamsikiliza Marekani kwa lolote analosema,hatukuwahi kutegemea nchi yoyote ya Ulaya kumdindia USA lkn Spain imefanya hivyo.

3)Iran kuonekana mbabe na tishio na superpower hapo Mashariki ya kati pamoja na hasara zote alizozipata kutokana na mashambulizi kitendo cha kuendelea kushikilia kete muhimu ya kufunga mlango wa Homuz ni ushindi kwake kwemye tasnia ya ushwishi.

Hivyo,in Generally tukiambiwa mpaka sasa tutoe comment tutasema Iran kadinda na kashinda hii vita na baada ya hii vita sidhan kama USA atamsunbua Iran kwa miaka mingi ijayo
 
Kulipua milango ya kuingilia kutaleta athari gani kwa hifadhi ya makombora!??
Mwisho ndio yaleyale wanasema wamelipua Navy yote ya Iran meli zinaweza kupita kumbe wenzao wana makombora ya majini na washalipua meli mbili leo ikiwemo ya Thailand.
Ni hivi hayo makombora yanahitaji watu kurushwa, kama watu hawayafikii yanakuwa Useless, Ndio maana Iran tempo imepungua
 
Kabla hawajamaliza lazima wataripua nuclear facilities zote za Iran na kuharibu infrastructure zote za kijeshi kitu ambacho wamefanikiwa kiasi kikubwa sana,weak and no nuclear program Iran ndio ilikuwa mission then sanctions za kuua mtu zitafuata
 
💥💥💥💥
Fars media👆
20260311_205246.jpg
 
Trump anataka kumaliza vita, anadai there is nothing left to target
Wapi regime change, au kumuua Khamenei Snr ndiyo regime change?
Base zake zote walizotumia gharama kubwa na resources nyingi kuzijemga zaidi ya miaka 40 zimekuwa obliterated completely
Mshirika wa vita ndiyo huyo anapelekewa missiles kila siku na hiyo ineffective “Iron” dome yao na tayari kelele za wananchi kuanza kuchoshwa na maisha ya kwenye mahandaki
Aircraft carriers zimejificha kama daladala wakati wa maandamano

Iran inaibuka kama mshindi wa vita, (the total war not the battle) wakati nguvu za kimataifa za United States na Israel zinaonekana kudhoofika polepole katika mfumo wa global power structure.

Ikiangaliwa kwa analytical perspective, Iran inaonekana kuwa inapigana anti-colonial war yaani vita vya kulinda rasilimali (aka vita ya kiuchumi) zake za mafuta (oil), gas na sovereignty ya taifa. Kwa mantiki hiyo, mtu angeweza kutarajia kwamba jamii katika bara la Africa ambazo bado zinakabiliwa na athari za ukoloni wa kiuchumi zingekuwa zinaishangilia Iran, kwa sababu kwa namna fulani inaonekana kupigania mapambano yanayofanana na yao.

Hata hivyo, waAfrika wa kipindi cha neoliberal era hawalioni jambo hilo kwa mtazamo huo.
Watu wanashabikia zaidi kwa emotions na itikadi za kidini
Jamii nyingi zimekuwa miseducated politically, kiasi kwamba hawatambui kwamba colonialism bado ipo katika zama za sasa, lakini katika sura tofauti. Ukoloni wa leo hauji kwa mfumo wa utawala wa moja kwa moja kama zamani; badala yake umebadilika kuwa technical na depoliticised systems kama vile debt structures, international banking systems na global monopolies za kiuchumi

Wengi hawakuwahi kufikiria kwamba kile kinachoitwa Imperialist United States pamoja na Zionist Israel wangeweza kukabiliwa na kile kinachoonekana kama strategic embarrassment katika vita dhidi ya Iran.

Iran imeonyesha kile ambacho jeshi linalochota inspiration kutoka katika historia yake, utamaduni wake, na national identity linaweza kufanya katika uwanja wa geopolitics.

Katika mtazamo huu, free and righteous world pamoja na allies wa Iran wanapaswa kujivunia kile kinachoonekana kama exposure na dismantling ya aura ya US hegemony. Hegemony hiyo imedumu kwa muda mrefu kwa sababu ya perception ya nguvu kubwa ya Marekani, ambayo imekuwa ikiathiri na kudhibiti nchi nyingi zilizoendelea kidogo kiuchumi.

Kwa mantiki hiyo ya kisiasa, Iran imeonyesha kwamba Marekani ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama nguvu isiyopingika inaweza kuwa “paper tiger”, yaani nguvu ambayo taswira yake ni kubwa kuliko uwezo wake halisi.

Mfumo wa kimataifa ambao uliwahi kulazimisha baadhi ya mataifa yaliyoendelea kidogo kuingia katika dependency au subordinate position, sasa unaonekana kudhoofika polepole.

Bila kujali outcome ya mwisho ya vita, katika siku zijazo dunia inaweza kuanza kuheshimu Iran zaidi kama nguvu ya kisiasa na kijeshi, kwa sababu hatua zake zinaonekana kuwa sehemu ya kuibuka kwa multipolar world order au mfumo wa dunia ambapo nguvu za kimataifa hazitatawaliwa tena na taifa moja pekee, bali zitagawanyika kati ya mataifa kadhaa yenye ushawishi.

Uthubutu, courage pamoja na resilience ya Iran vinaweza kuwa mojawapo ya sababu zinazochochea mwanzo wa mfumo huo mpya wa kimataifa.
Nimeipenda sn ujumbe mzuri sn.
 
Swali la mtego!!! Mzee kalikimbia!!!!!!!!

Trump asked if war has succeeded if Iran's new supreme leader stays in power​

Asked directly if the US could claim victory in Iran if the new supreme leader remains the son of the late Ali Khamenei, Trump said he didn't want to comment on that.

20:21

Kabla hawajamaliza lazima wataripua nuclear facilities zote za Iran na kuharibu infrastructure zote za kijeshi kitu ambacho wamefanikiwa kiasi kikubwa sana,weak and no nuclear program Iran ndio ilikuwa mission then sanctions za kuua mtu zitafuata
Ni unajiropokea tu.
Kama walishindwa kuharibu nuke facility mwaka jana wataweza mwaka huu!?
 
🇺🇸 🇮🇷 US at war with Iran because ‘Israel made us do it’ – Democratic senator

💬 “The simplest explanation might be that […] Netanyahu decided he wanted to attack, and he convinced Trump to join him by scaring Trump into believing that US assets in the region would be at risk,” Chris Murphy argued.

He was quick to add “that isn't the full explanation,” but then reiterated “it might just be that Israel forced our hand.”
Hawa democrats ndo waliruhusu haki za mashoga
Akili zao zina matatizo
 
Back
Top Bottom