Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkakati wa njia ya vita umeshafeli kwa Trump na Neta.
Kinachofanyika sasa ni kuvuruga kabisa uchumi
Watakimbia vita bila kujali kama wataonekana wamefeli. Huu muda watautumia kujipanga upya na kujiimarisha kwa round nyingine tena ya mashambulizi hapo baadae maana sasa kama wanaishiwa resources.

Wakati ambapo watakuwa wamesimamisha vita watajaribu tena kuingiza raia mtaani kutoka na haki mbaya ya uchumi Iran kama matokeo ya vita hivi ili kusababisha nchi isitawalike kwa maandamano.

Hii ni moja ya option iliyomikononi mwa trump.
 
💥💥💥💥
Hili ndio eneo ambapo assassination imefanyika
Screenshot_20260311-235340_1.jpg
 
Mkakati wa njia ya vita umeshafeli kwa Trump na Neta.
Kinachofanyika sasa ni kuvuruga kabisa uchumi
Watakimbia vita bila kujali kama wataonekana wamefeli. Huu muda watautumia kujipanga upya na kujiimarisha kwa round nyingine tena ya mashambulizi hapo baadae maana sasa kama wanaishiwa resources.

Wakati ambapo watakuwa wamesimamisha vita watajaribu tena kuingiza raia mtaani kutoka na haki mbaya ya uchumi Iran kama matokeo ya vita hivi ili kusababisha nchi isitawalike kwa maandamano.

Hii ni moja ya option iliyomikononi mwa trump.
Mkuu ni resource gani za US au Israel ulizoona wanaishiwa?
 
Vita vino nje ya matarajio
Plan ya kwanza ilitegemewa 48Hrs operations yao inapokewa na wananchi inatokea regime change. Mambo yamegeuka wameshapiga mabomu karibu nchi nzima lakini vitu vinarushwa tu jamaa kama wajapani hawana option ya kusurrender.
 
Mkuu hii 48 hrs iliwekwa na marekani au israel. Toka Vita inaanza sikuwahi kuona sehemu wanasema operation itakua ya 48hrs - labda nimesahau unaweza nikumbusha
 
Haya ni matarajio ya vita kwa mujibu wa wachambuzi mablimbali. Ndio maana vita ilivizia Ayatollah akiwa na kikao na top commanders wake ili wakiuliwa wote kwa mkupuo litokee ombwe na wananchi waingie mtaani kupitia cells zao. Research ikiwa ni maandamano yaliyopita ni kama yaliwapa motisha. Matokeo yakaja tofauti hiki kinachoendelea ni Plan B au D.
 
Nilijua israel au marekani ndio walisema hivyo, kumbe wachambuzi
Hao wachambuzi ni either waliiunderestimate Iran au walikua hawajui malengo ya walioanzisha vita. 48hrs kwa nchi kama Iran inawezekana vipi?
 
Nilijua israel au marekani ndio walisema hivyo, kumbe wachambuzia
Hao wachambuzi ni either waliiunderestimate Iran au walikua hawajui malengo ya walioanzisha vita. 48hrs kwa nchi kama Iran inawezekana vipi?
Wachambuzi wanadai hiyo ndio ilikuwa plan A. Israel na US hawawezi kukiri hivyo hadharani ni kuonyesha kufeli ila tunapoendelea kujifunza mambo mengi huko mbele yatafahamika kama masomo kutoka katika vita hivi. Kuna mengi ya kujifunza mkuu.

Inawezekana mbona hapo Bahrin vibomu vichache tu leo wananchi wako barabarani na inasemekana mfalme na watu muhimu wameshakimbia. Ukitengeneza ombwe na watu wakaingia barabarani kwa nguvu jeshi haliwezi kusaidia kitu warabu/waajemi wakicharuka.

Hiyo scenario inawezekana pia japo wahusika hawajasema hivyo
 
Inawezekana mbona hapo Bahrin vibomu vichache tu leo wananchi wako barabarani na inasemekana mfalme na watu muhimu wameshakimbia.
Mkuu hii ni fake. Mfalme sa Bahrain hajakimbia.
Sasa hivi mtandaoni kuna ombwe kubwa la taarifa, ni muda wa mavuno kwa wale ambao account zao za social media zipo monetized. Ni muda wa kuvuna views,
Bahrain kukiwa na uprising mfalme akakimbia haiwezi kuwa kificho, media zote credible ingekua ni hot news
 
Ndio maana tunasema Inawezekana. Maana taarifa zote zinaanza hivi zinamature kuwa uongo au ukweli baadae. Kwa sasa watu wako vitani wanafanya kila upande kuonyesha uko vizuri. Ila watu kuandamana huko Bahrin ni jambo ambalo linatajwa
 
Mkuu maandamano yafanyike iwe tetesi? Watu si sanaandamana barabarani watu wote wanaona?
 
Vita vino nje ya matarajio
Plan ya kwanza ilitegemewa 48Hrs operations yao inapokewa na wananchi inatokea regime change. Mambo yamegeuka wameshapiga mabomu karibu nchi nzima lakini vitu vinarushwa tu jamaa kama wajapani hawana option ya kusurrender.
Weka video hapa ya trump au netanyahu wakiwa wanazungumza hivo.
 
Back
Top Bottom