Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu pengine hatukuelewana vizuri. Mimi nilichojua Kuna maandamano yanafanyika na si hii one day event ya one week ago.
Hata Israel wapo waliojua furious na kuandamana hawapendi vita, but it was a one day event, marekani hivyo pia

Monarchy state Hadi kuitoa kwa maandamano basi lazima kuwe machafuko makubwa
 
Mambo yameanza kunoga
 

Attachments

  • 1773266485754.jpg
    1773266485754.jpg
    39.6 KB · Views: 12
Vita vino nje ya matarajio
Plan ya kwanza ilitegemewa 48Hrs operations yao inapokewa na wananchi inatokea regime change. Mambo yamegeuka wameshapiga mabomu karibu nchi nzima lakini vitu vinarushwa tu jamaa kama wajapani hawana option ya kusurrender.
Hiyo plan aliisema nani kuwa ni saa48 au umekariri ile ya Putin unaigeuza kwa Trump?
 
Ndio maana tunasema Inawezekana. Maana taarifa zote zinaanza hivi zinamature kuwa uongo au ukweli baadae. Kwa sasa watu wako vitani wanafanya kila upande kuonyesha uko vizuri. Ila watu kuandamana huko Bahrin ni jambo ambalo linatajwa
Mnaokoteza taarifa zinazowafurahisha nyinyi tuu,hamtaki check and balance.
 
Iran wanatumia how much $$$ per day? Au hawatumii $$$ yoyote? Costs zao hazitoki kwa tax payers?
Pennies, budget ya Jeshi Iran ni hela ndogo Sana hata Tanzania tukifunga mikanda tunaweza kuafford. Ni chini ya 10B USD kwa mwaka mzima na Silaha zao hawanunui wanatengeneza wenyewe.

Hizo drones zinacost kama 10K USD, hata ukirusha drone 2000 kama walivyoreport ni 20M USD. So interceptor moja ya Marekani high-end inacost Sawa na Drones 1000 za Muiran.
 
Back
Top Bottom